======
UPDATES
=======
Habari zinazosambaa Mtandaoni zikidai Treni ya SGR yadaiwa kusimama baada ya kupata hitilafu si za Kweli kwani Treni ipo kwenye Majaribio.
Hii ni mikopo inayotumwa halmashauri, nipo kigoma ni mtumishi mwaka wa nne nafatilia sipati, nikiingia kwenye hazina portal wanaonyesha naweza pata million 20, nimejitahidi kweli kweli kuupata lakini naona mambo yamekua magumu kweli.
Vipi Kuna namna nyingine naweza pata huu mkopo Ambao hauna...
Wakuu habari za wakati huu?
Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga)
Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
Ndoto ni kuwa na Mwanamke Nesi, Mwalimu au Askari ikishindikana hapo basi mwaajiriwa katika sekta yoyote ile sometimes maisha hayakupi kile unachotaka huu mwaka wa sita toka nimekuwa na hiyo ndoto na still inabaki kuwa ndoto.
Maana katika kipindi chote hicho wanawake niliokuwa nao wote ni...
Kocha wa Tabora United Masoud Juma akihojiwa mara baada ya match na 5imba aka Ubuntu Botho amesema sio rahisi kupata matokeo na timu inayotafuta nafasi ya pili,amesema hayo baada ya timu yake kunyimwa goli halali mnamo dakika ya 77 ya mchezo.
Source: Kwa hisani ya Tatu Malogo.
Rafiki yangu mpendwa,
Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
Nadhani bora zimwi ulijuali halikuli ukakwisha.
Uchaguzi wa chadema unaenda kuleta viongozi wala rushwa ambao wataongoza mapambano ya kupata katiba mpya ambayo, pamoja mambo mengine, itapambana na rushwa.
Chichi dodo
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini
Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate...
UTANGULIZI
Halmashauri nyingi nchini zimekua zikitumia vyanzo vya mapato vile vile miaka yote, hakuna ubunifu wa vyanzo vipya, halmashauri nyingine zimekua mizigo kwa Serikali kwa kutegemea fedha nyingi kutoka Serikali kuu ili kujiendesha huku zikiwa na vyanzo vingi vya mapato ambavyo...
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee.
Wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto.
Yaani hapa sielewi, kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Ninadhani sasa ni muda muafaka wa kulijadili suali nililotaja kwenye 'heading' kwa kina, IKIWEZEKANA LIENDE BUNGENI!, maana naona kuna watu, kwa chuki zisizo na msingi, wameamua kulitumia suala hili kiuchochezi zaidi! HEBU WADAU WAJIULIZE TU KWANINI HAWAPEWI PLOTS KUJENGA 'NGORONGORO...
Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya.
Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Hivi ukiachana na maswala ya VPN coz huwaga yanazingua sana, Kuna njia yoyote nyingine ya kupata Free internet data.
Mwenye ujuzi aniuzie, nataka niifanye fursa
Mimi si dakari wala mtaalamu wa mambo ya lishe, bali nimejaribu kusoma vyanzo mbalimbali kuhusu huu ugonjwa na kote nilikupita sijaona palipoandikwa moja kwa moja kuwa sukari ndio chanzo cha kisukari kwa maana ya mtu asie na huu ugonjwa akitumia sukari nyingi ana uwezekano wa kupata kisukari...
Habari wadau!
Naomba kujua mchakato wa kupata kibali cha uhamisho kwa Mtumishi aliyepata Barua ya Ajira kwenda Taasisi au wizara Nyingine kupitia Sekretariet ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS).
NB: Mtumishi huyu alifuata taratibu zote zinazotakiwa wakati wakati wote wa kuomba nafasi hiyo...
Salamu Wakuu,
Nimegundua Suala la uaminifu bado ni changamoto kubwa sana hapa nchini
Hivi karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya watu kupatiwa fedha pungufu kila wakichukua hela kupitia kwa benki tellers
Katika mjadala unaondelea huko X inaonesha kuna benki ambazo zinahusishwa na tabia hii...
Salaam,Shalom!!
Ndugu mmoja akapita Kwa jamaa zake katika eneo alilokuwa akifanyia biashara, akawashirikisha kuwa amepata mchumba na ataoa hivi karibuni, hivyo anaomba michango Kutoka Kwa wadau.
Jambo Hilo likawa kheri masikioni mwa Rafiki zake. Ndugu huyo, akachangisha michango pesa nyingi...
Yapo mambo mengi ambayo yametoa picha ya namna Israel na Marekani wanavyoshirikiana kimkakati ili kuhakikisha Israel inaitawala Gaza na Palestina yote bila upinzani.
Ni kweli Israel ilikuwa na nia ya kuipiga Iran kwa nguvu kubwa na kuleta madhara zaidi lakini kwa kushauriana na Marekani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.