Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma
Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka.
Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni.
UPDATES:
Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
Marekani ina jumla ya vituo vya Kijeshi (overseas military bases) 38 katika mataifa mbalimbali! Ukiacha Marekani, kuna mataifa mengine zaidi ya kumi na tano yenye vituo vya kijeshi sehemu tofauti tofauti.
Ni gharama sana kulihudumia Jeshi. Ukiona nchi inaamua kuanzisha vituo vya kijeshi nje ya...
Msaada jamani. Sasa hivi kila kitu ni kupitia Esss.
Mimi niliomba uhamisho. Na maombi yapo utumishi yanasubiri approl. Je huwa yanachukua muda gani?
Mimi Mwl muuza Kangala
TAIFA AMBALO WATU WAKE WANAJIVUNIA MAMBO YA KIJINGA KWA KISINGIZIO CHA KUPATA KIPATO NI TAIFA LA WAPUMBAVU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Nyerere Kwa maoni yake alisema taifa lina maadui watatu ambao ni Ujinga, umaskini na maradhi lakini adui ambaye alitaka Watu wapambane naye zaidi ni...
MAMABO MATATU MATATU YATAKOIBADILI TANZANIA NA KUPATA NDANI YA MIAKA 10 TU TANZANIA NITAKAYO.
Tanzania ni nchi tajiri ambayo inapsawa kuwa mbali sana kiuchumi na kuiingiza kwenye nchi tajiri duniani. Miongoni mwa mambo matatu ambayo tunapaswa kuyazingatia ili kupata maendeleo ni, Moja kuwekeza...
Rafiki yangu mpendwa,
Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana.
Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya.
Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
Kwa wahitimu wa Elimu ya juu mtakubaliana na mimi kuwa changamoto ya ajira imekuwa tatizo kubwa sana, Serikali, taasisi binafsi wamekuwa wakitafuta njia za kuondosha tatizo ili la ajira.Watu wengi wamehitimu masomo ngazi tofauti lakini baada ya kumaliza ajira zimekuwa ngumu.Taasisi za mkopo...
Kuna jirani yangu ametoka safari kumfata kijana wake Kipindi Cha likizo, amejikuta akilazimishwa na walimu kuwa mtoto aendelea na masomo Kipindi hiki cha likizo.
Kwenu wadau, naombeni mwongozo kuwa kuna ulazima wa mtoto kusoma likizo shuleni?
Elimu yetu inahitaji marekebisho makubwa sana tusiendelee kutoa elimu ya kuchora panzi tu tuendelee kutoa elimu kwa vitendo ili tusiendelee kuwa na vijana wengi waliokosa ajira mitaani.
Nilikua naamka usiku wa manane kuchora hii panzi kwa ajili ya mtihani, ila mpaka sasa sijaona application ya...
Maana ya Betting
Betting, au kamari, ni kitendo cha kuweka dau au kubashiri matokeo ya tukio fulani, mara nyingi matokeo ya michezo, kwa matumaini ya kushinda fedha au tuzo nyingine. Betting inahusisha hatari ya kupoteza dau lako la awali lakini pia inatoa fursa ya kushinda zaidi. Aina...
Habari,
Kwanza, naipongeza klabu ya Young Africans kwa mafanikio makubwa waliyoyapata katika msimu uliopita kwa kuwa mabingwa wa NBC Premier Legue ,CRDB FEDEREATION CUP na kufika hatua ya robo fainali ya klabu bingwa Africa.
Pili, nawapongeza kwa makusanyo makubwa ya fedha waliyoyapata katika...
Gharama kubwa ya tiba ya magonjwa ya saratani na figo nchini zinasababisha baadhi ya wagonjwa kuacha tiba sahihi hospitalini na na kutumia dawa za kienyeji ambazo zinachangia vifo.
Pamoja na jitihada za serikali kuboresha huduma eneo la magojwa hayo kwa kutoa msamaha wa matibabu kwa baadhi...
Mada imejieleza wakuu.
Mke shemji enu na WiFi wifu. Ana mtoto mwezi sasa ushauri wa madaktari naomba asizae tuseme asibebe mimba miaka minimum 2yrs itatakiwa.
Kwa sasa anaonekana amesha pata ujauzito. Tulitumia p2 ikawa bado mwezi unayoyoma haoni period.
Nilitumia p2. Je, atumie tena p2...
Utangulizi:
Vijana ni injini ya maendeleo ya taifa lolote. Wakiwa na nguvu, ubunifu, na ari ya kujifunza, wana uwezo wa kuleta mabadiliko makubwa chanya katika jamii. Hata hivyo, nchini Tanzania, vijana wanakabiliwa na changamoto kubwa ya ukosefu wa ajira. Takwimu zinaonyesha hali mbaya: zaidi...
DEMOKRASIA: Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa amesema ili kupata Viongozi wanaoweza kukabiliana na CCM, chama hicho kinapaswa kutumia njia ya Midahalo ya Wazi kupima uwezo wa Wagombea
Msigwa ameeleza hayo wakati akizungumza na Wanahabari na kusema "Napendekeza katika ngazi...
Kwa hapa Dar es Salaam wapi naweza kupata kuku wa kukaanga kienyeji mithili ya wale wanaouzwa KFC? Yani kuku wa kukaanga crispy au crunch lakini ni wa kienyeji.
Na ni kwa nini kuku wa kienyeji wa kuchoma au kukaanga mara nyingi huwa anakuwa mgumu kuliko wale wa kisasa? Mara nyingi watu...
1 Programs in Cluster One
Students in cluster one must be admitted in the following programs:-
i. Health and Allied Sciences
Clinical Dentistry, Diagnostic Radiotherapy, Occupational Therapy, Physiotherapy, Clinical optometry, Dental Laboratory Technology, Orthotics & Prosthetics,
Health...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.