kupendezesha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni nani mwenye jukumu la kupendezesha kijijini kwenu?

    Wengi hatuendi vijijini tulipo toka kutokana na labda mazingira sio rafiki. Inawezekana labda, bado kuna nyumba za nyasi, udongo, choo kisichokuwa na ushirikiano, hakuna umeme, au mazingira ni machafu. Ingawa huku mjini tunajimwambafai kuwa tuko vizuri, kwa kuendekeza starehe, kujifanya...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana watu masikini wakaishia kuutupia matope na mambo ya kufikirika huu mti mzuri wenye kupendezesha mazingira

    Mara sijui mwanaume lazima afe, afirisike , wanandoa kugombana, blah blah. Sasa nashidwa kuelewa ina maana amba hawajapanda huu mti ndoa na uhai wao uko imara Tanzania nzima eti. Hukl ethiopia chimbuko lake wanaipenda sana na wala hakuna upuuzi kama huu uliopo bongo lala. Unakuuta mtu...
  3. Son of the universe

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ujenzi wa barabara mpya uzingatie na upandaji wa miti na maua ili kupendezesha mandhari ya barabara hizo

    Kwanza nitumie fursa hii kuipongeza serikali kupitia wizara ya ujenzi, TANROADS na TARURA kwa miradi yote ya ujenzi wa barabara iliyokwisha kamilika, inayoendelea kukamilishwa na itakayokamilishwa nchini kote. Napenda kuzungumzia barabara kuu zinazopatikana ndani ya majiji katika nchi yetu ya...
  4. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Eng: Rogatus Mativila akielezea Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa Barabara nchini pamoja na kupendezesha miji yetu

    Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila akitoa taarifa fupi ya mradi huo amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) ilitenga fedha kwa ajili ya kuboresha Barabara hiyo ikiwa ni sehemu ya Mkakati wa Serikali wa kuboresha mtandao wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Bilioni 9.45 zitapelekwa Kasulu kupendezesha mji

    BILIONI 9.45 ZITAPELEKWA KASULU KUPENDEZESHA MJI: WAZIRI KAIRUKI OR -TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amesema Serikali kupitia miradi ya kupendezesha miji (TACTIC), itapeleka shilingi bilioni 9.45 katika bajeti ya mwaka wa fedha...
Back
Top Bottom