Haya matukio ya raia kupigwa na wanajeshi mtaani hutokea pale ambapo mwanajeshi mwenzao kafanyiwa kitendo kibaya na watu wasiojulikana hasa labda imetakea mwenzao kaibiwa, kaumizwa, kauliwa, nk.
Nimewahi shuhudia matukio haya ambayo yaliwafanya watu kuishi kama wakimbizi maeneo ya Dar Kigamboni...