18 Aug 2020
Dodoma, Tanzania
WanaCCM waandamana kupinga maamuzi
Vurugu zinaendelea leo 18 agosti 2020 katika ofisi za CCM Wilaya ya Dodoma mjini baada ya kupokea majina ya wagombea udiwani ambao wamekatwa licha ya kuongoza.
Jana halmashauri ya CCM mkoa wa Dodoma walirudisha majina ya...
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni...
Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa.
Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
Tarehe 21 / 7 / 2020 Ulifanyika uchaguzi wa kura za maoni kupata mgombea atakayepeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 Jimbo la Kalenga mkoani Iringa.
Katika hali isiyotarajiwa RUSHWA ilikithiri sana kiasi cha wajumbe kupewa pesa eneo la uchaguzi kilipo...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu.
“Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
Mbunge wa Rombo aliyemaliza muda wake Joseph Selasini, ameviomba vyama vyote nchini kuhakikisha vinawapokea vijana wote waliohama vyao vyao na kuhamia vyama vingine lakini wakashindwa kwenye kura za maoni kwa kuwa walishaonesha wanao uwezo wa kufanya kazi.
Selasini ametoa kauli hiyo hii leo...
Katika kitu ambacho CCM kitabugi ni kupata ushahidi kutoka TAKUKURU ambao tumeona maeneo mengi kabisa nchini wameshindwa kuwajibika ipasavyo.
TAKUKURU maeneo mengi rushwa zimetolewa wazi wazi na wanaangalia bila kuchukua hatua yeyote. Mimi natoka Wilaya ya Singida Vijijini, lakini Wilaya zote...
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia.
Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
Baada ya vita kati ya wasomi na wajumbe kuisha, inaonekana wajumbe kushinda kete ya kuwaingiza wenzao kwenye bunge. Inaelekea wasomi hawajaleta tija kwao kutokana na kupwya kwa bunge lililopita. Kwa ufupi wa kulaumiwa ni hawa viongozi yani Ndugai na tulia walivyoshindwa kusimamia hhoja...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania.
Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa.
Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
Mtu unatoka bungeni ukiwa umekamilika na mzigo wako wa 200m+ kibindoni halafu kwenye kura za maoni unakuwa namba 3 huo ni uzembe uliotukuka.
Hata sheria na kanuni zitakucheka.
Maendeleo hayana vyama!
Waziri Mkuu amemtaka Shehe Majini kutokata tamaa kwani kura za maoni ni mchakato tu lakini maamuzi " yenyewe" yanafanyika huko juu.
Mh Majaliwa amesema subra ni jambo muhimu na Shehe Majini aliyegombea ubunge jimbo la Handeni kwa tiketi ya CCM anapaswa kuwa na subra.
Chanzo: TBC
My take; Hata...
Taarifa ya rushwa kwenye kura za maoni kwenye ubunge wa CCM Kyela kila mwananchi wa Kyela nikiwemo mimi anajua
Yuko mgombea mmoja ambaye alimwaga pikipiki kwa kila katibu wa kata kwenye jimbo hilo, kwa kadri ya ufahamu wangu kuhusu rushwa za uchaguzi wa ccm kyela, hii ni funga kazi, katika...
Ndugu zangu, salamu.
Napenda kuchukua fursa hii kukishukuru chama changu kwa kuendesha vizuri mchakato wa kura za maoni kwa ngazi ya majimbo na viti maalumu. Ni imani yangu kuwa michakato mingine itaendelea vyema kwa ngazi zinazofuatia.
Ninajua zipo changamoto ndogondogo za madai ya rushwa...
Habari za uzima watanzania,MwenyeziI Mungu atufariji kwa kipindi hiki kigumu kwa kuondokewa na kiongezi wetu mpendwa
Bila kupoteza muda nawaomba viongozi wa CCM kwa ujumla kufatilia nyendo za huyu SHEBILA aliekua diwani wa kata ya KERENGE muhula uliopita lakini pia kufuatilia/wamulike mwenendo...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza.
Katibu wa CCM wilaya yaHai mkoani Kilimanjaro, siku ya leo baada ya kumalizika kwa uchaguzi wa udiwani kupitia viti maalumu, amewatangaza rasmi madiwani wa kata,viti maalum na mbunge Saashisha kuwa wamepitishwa rasmi kugombea nafasi zao walioongoza kwenye...
Mheshimiwa katibu hatuna namna ya kukufikia zaidi ya njia hii tupokee
27th Julai 2020
KWA
KATIBU MKUU (CCM )TAIFA
NAKALA KWA
MWENYEKITI WA CCM TAIFA ,
KATIBU WA CCM MKOA WA PWANI,
KATIBU WA CCM WILAYA YA KISARAWE,
KATIBU WA CCM KATA YA KILUVYA
Yah: MALALAMIKO KUHUSU UCHAGUZI WA KURA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.