Mh Kikwete aliwahi kutuambia kwamba wanaCCM hawaaminiani kwa kiasi cha kushindwa hata kuachiana maji ya kunywa mezani .
Usemi huu wa Rais Mstaafu ungali hai hadi leo .
Kuna kila dalili kuwa hakuna mwanasiasa kutoka upinzani ambaye alihamia CCM ili kuunga mkono juhudi (maarufu kama wasaliti) mwenye nafasi ya kupenya katika kinyang'anyiro kinachoendelea sasa cha kura za maoni ndani ya CCM kwenye ngazi yoyote ile, iwe ubunge, udiwani au viti maalum. Wasaliti wote...
Uzi huu ni maalum kwa ajili ya matokeo ya kura za maoni Ubunge kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo.
SEGEREA
Jumla ya kura 144
Agness lambert 76
John Mrema 56
Masatu Wasira 7
Gango Kidera 3
Andrew 1
Kura zilizoharibika 1
BUNDA MJINI
Esther Bulaya ameshinda kura za maoni Bunda mjini kwa...
Hii ni taarifa ninayoileta kwenu wana JF ili muwe wa kwanza kufahamu kinachoendelea .
Maandalizi yote yamekamilika na kaeni tayari kupewa taarifa zaidi kwa kadri zitakavyotufikia .
Mungu ibariki Chadema
UPDATES:
...................
Kishoa ameshinda Iramba
Bulaya ameshinda Bunda
Matiko...
Wana JF,
Kuna Wazee wengi mfano wa Wassira bado wana uchu wa kuingia bungeni, Wazee kama Mkuchika piga chini wazee wote kwani ndio waliotudhooofisha kwenye kwenye maendeleo kwenye miaka waliohudumu walikuwa ni ndiyooo kwenda mbele, hawa wazee so kwamba wana lolote Bali ndio waliotengeneza CCM...
MWENYEKITI UVCCM TARIME APEWA MILIONI 30 KUFANYA ZIARA KUMBEBA MWITA WAITARA NA GERALD MARTIN KUELEKEA KURA ZA MAONI TARIME MJINI NA VIJIJINI
Uongozi wa UVCCM Tarime umeamua kuchukua mkondo wa kuegemea kwa watia nia, na tayari wameunda timu yao wanayoiita chaguo la vijana kuelekea mchakato wa...
Habari!
Hali si hali kwa rais Donald Trump, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Republican kwa ujumla wakati ambapo tukielekea katika Uchaguzi wa Rais panapo mwezi Novemba mwaka huu.
Hii ni kulingana na matokeo ya hivi karibuni ya kura mpya za maoni za kitaifa za jarida la New York Times pamoja na...
Mbunge umehamia CCM tena unawatukana waliokupa ridhaa ya chama kugombea. Unatukana sana huku unajisahau kuwa unaenda kugombea ubunge kwa tiketi ya chama ambacho umehamia juzi. Chama ambacho unaenda kukutana na magwiji ha propaganda chafu yaliyojipanga tangia 2016.
Nawaambieni mtapata tabu sana...
Hakuna tena tafiti za TWAWEZA SNOVET na wengine kutuonyesha nani anaongoza mbio za urais 2020 kama ilivyokuwa 2010 na 2015. Pia vyama kwanini havipitishi kula ya maoni kwenye vyama vyao?
Vyama kama Chadema nilitegemea wapitishe kura ya maoni kwa nchi nzima na kupata sample pure ya mgombea...
Week ya kujifukiza inaendelea vizuri sana,hekima za viongozi wetu zimetamalaki na wanatuongoza vyema sana kuelekea nchi ya ahadi
Hlafu ma komredi wa ccm kama mbunge hatapost picha akiwa anajifukiza asipitishwe kura za maoni maana huo ni ukaidi wa amri halali ya mwenyekiti,tumeona miss paulina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.