Salamu zenu wakuu,
Kwa mara ya kwanza nami nikiwa Kama kijana nikatia nia ya kugombea udiwani kupitia CCM huko Katani kwetu.
Namshukuru Mungu mwingi wa rehema kwangu kwa kunipa ninachostahili katika zoezi lile la kura za maoni zilizofanyika jana siku ya Jumamosi ya tarehe 25/07/2020.
Kwanza...
Mambo yamebadilika ndani ya CCM. Dosari kubwa ni jinsi mchakato wa kupata wagombea unavyoendeshwa ambapo hakuna tena muda wa mwanachama anayegombea kujieleza kwa undani na kumwaga sera na mipango yake ya maendeleo.
HAKUNA mgombea yoyote katika jimbo lolote aliyepata kura tano na kuendelea...
Kwa utaratibu uliowekwa na CCM kwa wagombea kutofanya Kampeni kwenye kura za maoni,ni wazi sasa wote waliopata kura moja au sifuri ndio ambao hawajatoa rushwa au kukutana na wajumbe.
Swali ni je CCM ambayo huchukua mshindi wa kwanza hadi wa nne,inaweza kuvunja utaratibu mwaka huu na kuchukua...
Katika jambo lilowashangaza wafuatiliaji wa mchakato mzima wa kura za maoni (Ubunge) CCM, ni jinsi Wabunge au watia nia waliokuwa wanatetea nafasi zao za majimbo jinsi walivyoweza kujipanga mapema katika kuhakikisha wanatetea nafasi zao "by hook or by crook".
Mkakati mkuu walioutumia mara hii...
1. Vyama vya Upinzani nchini vina nafuu kubwa ya kulelea vijana na kuwafanya kuwa wanasiasa wakubwa mbeleni.
Ni rahisi sana kwa kijana ambaye hana fedha lakini yupo Smart kushinda Ubunge akiwa Upinzani kuliko kwenye chama chetu tawala.
Tuna mifano Halisi kabisa angalia Umri aliopata nao Ubunge...
Uchaguzi wa wabunge wa viti maalumu CCM unaendelea katika mikoa mbalimbali na hapa DSM jumla ya akina mama 252 wametia nia na wajumbe wa mkutano wa uchaguzi ni 263.
Maendeleo hayana vyama!
Mchakato wa kura za maoni ulitawaliwa na vitendo vya Rushwa kwa wajumbe wa mkutano kiasi kwamba aliyetoa pesa nyingi kwa wajumbe ndiye aliyepata Kura nyingi.
Kwa mantiki hii, wagombea wote waliofanikiwa kujizolea kura nyingi Ni wale ambao kwa kutumia utajiri wa pesa walionao waliofanikiwa...
Mapacha Selestine na Imelda wameshinda kura za maoni katika majimbo ya Ulanga na Malinyi mkoani Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Awali mapacha wa CCM Kulwa na Dotto Biteko walishinda kura za maoni katika majimbo ya Busanda na Bukombe.
Tofauti na mapacha wa CCM hawa wa CHADEMA ni wanawake hivyo...
Jana tarehe 21/07/2020, katika harakati za wajumbe kupiga kura Bukoba Vijijini kwa wajumbe waliotia nia Ubunge kupitia CCM, kulitokea utofauti asubuhi ambapo mbunge Rweikiza alituma vijana wake kutoa rushwa na kukamatwa jana ile ile Asubuhi.
Naamini TAKUKURU watalitolea taarifa sakata hili...
Habari wana jamvi? 😁😁😁🤪🤪🤪😏😏
Nacheka kwa dharau sana hasa waliokurupuka kuchukua form na kuangukia pua kama paskal Mayala,Stive Nyerere,Gwajma n.k
Kwanini nawacheka? Ukiangalia wengi wamekurupuka kisa JPM anadaiwa kurudisha heshima chamani na ni mchapa kazi sana. Kutokana na wapinzani wengi...
Mlihama CUF na CHADEMA kwa mbwembwe sana kuhamia CCM. Mkatupa karata zenu kuwania Ubunge. Sasa mmeshindwa kwenye kura za maoni ndani ya CCM. Tena mmepigwa 'kipigo cha mbwa koko'.
Sasa mmeamini kuwa CCM ina wenyewe na wenyewe ndio hao waliowapita kura za maoni na waliowakataa kupitia kura zao...
DHANA YA "MKONO MTUPU HAULAMBWI" YAENDELEA KUONEKANA KATIKA KURA ZA MAONI.
Leo 20:45pm 21/07/2020
Nimeamini aliyevaa kiatu ndie mwenye kujua kiatu kinabana wapi,nimeshiriki katika kura za maoni juzi nikiwa na mapenzi tu ya Jimbo langu la Morogoro kichwani nikijua sasa naenda kuwaeleza wana...
Ukifuatilia vizuri na kuhoji watu mbalimbali wanaonaje matokeo yanayoendelea kura za maoni za CCM jibu utakalopewa ni kuwa yale makundi yaliypshindwa kuchukua nchi 2015 yakiwemo mafisadi na vibaraka wao na waliohujumu CCM uchaguzi wa 2015 yameanza kujikusanya kwa kushinda kura za maoni maeneo...
Habari,
Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?
Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?
Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
Kuna msemo usema mwenzio akinyolewa wewe tia maji
CHADEMA msichelee wabunge wenu waliohamia CCM kupigwa chini kura za maoni ndani ya CCM
Hao wenu Waliobaki huko wasijione kuwa salama watashinda na kuzomea wenzao wahamiaji walioshindwa kura za maoni !!! Hao waliobaki CHADEMA watakoshindana na...
Huu Uzi hauna kejeli, matusi wala dhihaka. Huu uzi umebeba ukweli mchungu (a bitter truth) ambao wengi hawaupendi.
Kama Magufuli angesimamishwa na MwanaCCM yeyote imara kuwania tiketi ya kupeperusha bendera ya CCM 2020 katika ngazi ya Urais asingeshinda.
Mioyoni mwa wanaCCM kuna siri na ajenda...
Mambo pekee niliyoyabaini katika uchaguzi huu wa kura za maoni ni kama yafuatayo:-
Ni mara 100 urudi utaratibu wa zamani wa kila mwanachama wa CCM arudi kupiga kura za maoni. Huu mchakato wa sasa hivi ndio una rushwa zaidi.
Angalia wajumbe ukumbini wanakaa katika kata zao, wanakwenda kupiga...
Katika hli isiyo ya kawaida, harakati za kuwania kuliwakilisha Jimbo la Kalenga katika Uchaguzi Mkuu ujao unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba 2020 zimeingia dosari baada ya watendaji mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kukubali kununuliwa na Wagombea ambao wana ushawishi mkubwa kwa kutumia...
Haya kumeshakucha tena La mgambo likilia ujue kuna jambo.
Kwa mujibu wa ratiba ya CCM, leo na kesho ni siku ya Mikutano Mikuu ya CCM ya Majimbo/Wilaya kupiga kura za maoni za wagombea wa ubunge na ujumbe wa baraza la wawakilishi
Kwa Mujibu wa Mwenyekiti wa CCM, Dkt. Magufuli waliochukua...
arusha
askofu gwajima
ccm
dodoma
freeman mbowe
furaha
halima mdee
jerry silaa
jpm
kigamboni
kigoma
kurazamaoni
makamba
makonda
matokeo
mbunge
mkono
mshindi
mtu
mwakyembe
pascal mayalla
paul makonda
pesa
rais magufuli
rushwa
tarime
ubunge
uchaguzi
watanzania
wote
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.