AFADHALI urejeo wa TUNDU LISSU unaweza ukawa na nguvu flani katika chama ukilinganisha na hapo kabla.
Kila mwanachama wa CHADEMA amefurahi urejeo wake, sasa ni wakati sahihi kwa Chama kuanza kurejesha matumaini kwa wananchi wake ambao tayari walikuwa wamekata tamaa kutokana na matokeo ya...