Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Hivyo kampuni inawakaribisha abiria wote kufika bandarini Saa 1:30 Jioni au kabla ya muda huo kwa ajili ya maandalizi ya safari na meli itaondoka saa 3:00 usiku.
Mwisho wa kupokea mizigo ni Saa 12:00 jioni
TASHICO inawakaribisha wote.
~ TASHICO: Maboresho ya Meli ya New MV Victoria yapo hatua za mwisho, tutatoa tamko hivi karibuni
~ Nimekosa huduma ya Meli ya MV. Victoria, inadaiwa haifanyi kazi wiki ya pili sasa, Mamlaka mbona mpo
~ Kampuni ya Meli Tanzania (TASHICO) yasema Meli ya New MV Victoria inaendelea na maboresho
~ Miezi miwili imepita bado meli ya Mv-Victoria haifanyi kazi, wananchi tuelezwe nini kinaendelea