alikuwa na shida ya muda mrefu, na nimehangaika kweli kumsaidia nikiwa kama msimamizi wake wa kituo. Katika kumsaidia huko nimejikuta nikikaripiwa, nikizodolewa, nikishutumiwa n.k. Juzi, baada ya miaka kama mitatu ya kuhangaika, amefanikiwa. Cha ajabu baada tu ya mafanikio anatuma ujumbe, 'dunia...