Graduate Usipokuwa na nguvu, uwezo wa kusema NO kwa herufi kubwa Kitaa, Mafanikio utaishia kuyasikia kwenye Televisheni, Binafsi Mimi ni Graduate kutoka chuo kikuu cha Dodoma nina miaka miwili toka nimehitimu mafunzo yangu, Kimsingi kanuni ya kuishi mtaani kwa uzoefu wangu inahitaji kusema NO...