kusema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mbowe siku zote alijua watekaji na wauaji ni nani na kituo chao kipo wapi, hakutaka kusema hadi alipoona itamnufaisha binafsi kisiasa?

    Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
  2. Pre GE2025 Musiba: Tundu Lissu hafai kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, ni mkweli mno

    Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema Tundu Lissu amekosa sifa za kuwa Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kwa sababu ya tabia yake ya kusema ukweli kila wakati kitendo ambacho sio kizuri kwa kiongozi wa ngazi ya Kitaifa. Soma, Pia: Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea...
  3. Freeman Mbowe kusema aliokoa maisha ya Tundu Lissu ni kauli ya kufuru na ya ovyo

    Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu. WanaCCM wengi tu walishiriki kumkimbiza Lissu hospitalini. Kauli ya Mbowe kuwa aliokoa uhai wa Lissu ni...
  4. Hivi kila kilichoandikwa au kusemwa kuhusu Idd Amin kilikuwa cha kweli?

    Wahenga Wenzangu wanaweza kukumbuka vizuri taarifa mbalimbali tulizokuwa tukizisikia kumuhusu Idd Amin Dada.Kuna baadhi ambazo nani nilifanikiwa kuzisikia kama vile kusomba Walemavu ombaomba wote pale Kampala na kwenda kuwamwaga ziwa Victoria ili jiji libaki safi,kuwepo kwa vichwa vya Watu...
  5. Kabendera anawezaje kusema Hayati Magufuli alienda na pajama kwa Makamu wake je walinzi wake na Walinzi wa Makamu walikuwa wapi?

    Kabendera sisi tunauelewa wa kutosha ni kweli unachuki na jpm lakini uongo huu uliouandika hauna tofauti na vitabu vya yericko nyerere mwenye elimu ya hapa na pale. Wote tunafahamu raisi ni kiongozi wa umma na makamu wake hao wote safari yoyote hutoka na walinzi. Pili wabapoishi huishi na...
  6. Jipige kifua mara tatu na kusema; mwaka 2025 nitafanya mambo yafuatayo:

    1. Kufanya ibada kama ilivyo amriwa; 2. Kufanya mazoezi na kula kwa staha na kiasi kama anavyoshauri Prof. Janabi; 3. Kuchamgamkia fursa na kupiga vita umasikini na ufukara; 4. Kupunguza liabilities, mke, mchepuko na mademu kausha damu; 5. KUshiriki kikamilifu kwenye siasa, kuchagua au...
  7. Ni mtu mjinga ndo anaweza kusema CCM itatawala milele , jibu ni wakati wa CCM ukifika kuondoka itaondoka kama MBOWE.

    Leo mgefikiria mtu Kama Mbowe kukataliwa na kila mtu . Hii ni weak up call kuwa katika kila kitu kuna majira yake . Hivyo ikifika wakati wa Ccm kuondoka wataondoka . Ni swala la muda tu.
  8. E

    Itoshe kusema Wenje alijitaja mwenyewe kuwasiliana na kujuana na Abdul , Tundu lissu ni mkweli na hana pengine pa kusemea

    TL alitwambia muda mrefu sana Abdul na Kiongozi CDM kumfuata kutaka kumpa Rushwa. Muda umeongea , Tumuamini lissu
  9. Kwa haya majibu ya lissu itoshe kusema Chadema ni wa kuogopwa kama ukoma

    Ifike mahali tuwaache wapasuane wavuane nguo hawa ni genge la wahuni, Genge la watu wasio na busara je hii vita ya maneno ni uenyekiti tu au kuna jengine limejificha, Lissu yupo kwenye koma ya hasira ameamua kurusha kila silaha bila staha lissu hana tofauti na slaa ile siku ya hotuba yake serena...
  10. Unalipi la kusema juu ya mtandao wa YAS

    Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha ikiitwa MIXX by YAS badala ya TIGO PESA?? Je tutegemee mafanikio makubwa ama kifo cha mende??
  11. Abdul jitokeze hadharani usema ukweli wote wa fedha za mama Abdul. Kunyamaza kwako kunaleta sintofahamu

    Popote ulipo Abdul njoo hadhani kwa kuitisha press useme ukweli juu ya fedha za mama Abdul. Tundu Lissu na Wenje wameshasema ya kwao kuhusu fedha za mama Abdul. Sasa ni zamu yako na wewe kusema kinagaubaga tujue muongo ni nani kati ya Lissu na Wenje. Njoo baba hadharani ukate mzizi wa fitina...
  12. D

    Kumbuka sumaye aliwahi kusema kwamba sumu haionjwi kwa ulimi akimaanisha uenyekiti chadema ni sumu

    Kile kiti ni zaidi ya siasa ni channel maalumu ya kufanya money laundering in anyway. Hivyo bora ufe kiti kibaki kwa mwenye nacho
  13. Narudia kusema! hakuna adui mbaya kama pombe!

    Kwakweli hakuna adui mbaya wa binadamu ambaye hatumtambui kama POMBE! Pombe ni mbaya jamani! Ubaya wa pombe unakamata fikra! Pombe Ikishakamata fikra zako inakulazimisha uitetee na kuipigania huku ikiendelea kuharibu afya na uchumi wako! Pombe ni mbaya! Ebu fikiria kitu kinaharibu afya yako...
  14. YERICKO NYERERE KUSIFIA WENZIE WENYE 'CONNECTIONS ' NA ABDUL INA MAANISHA HAONI SHIDA WANANCHI KUPEWA STAHIKI ZAO KWA MILANGO YA NYUMA.

    Yericko Nyerere katika andiko lake refu juzi ambalo lililenga kumjenga zaidi Mbowe katika namna ya kumshusha thamani Lissu ili kumpigia kampeni Mbowe katika nafasi ya uenyekiti Chdema alisema kitu kimoja ambacho wasomaji wengi hawajakigusia. Katika jaribio lake lake la kutaka Lissu asiaminike...
  15. Yanga imshitaki Ahmed Ally kwa kusema Yanga inagawa Utamu

    Nisikiliza Crown FM hapa, yupo Semaji na mashabiki wa Simba wanaendelea na hamasa. Sasa anasema wenzetu wanagawa Utamu nje na ndani. Na sasa wapo Lubumbashi ambapo pana vumbi. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwisho nawatakia TP Mazembe ushindi hapo kesho
  16. Kwanini "Mungu" aliumba vitu vyote kwa kusema viwe na vikawa isipokuwa binadamu toka kwenye udongo kama ni kweli?

    Ukisoma vitabu vya ngano viitwavyo vitakatifu vinadai kuwa Mungu alimuumba Adam tokana na udongo. Ajabu ya maajabu na kujichanganya, vitabu hivyo hivyo, vinasema: Mosi, Pili aliumbwa kwa kufinyanga udongo. Pili, je Mungu tunayesema hafananishwi na chochote, ilikuwaje akaumba kiumbe/viumbe kwa...
  17. Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  18. Mnatoa wapi ujasiri wa kusema uongo?

    Kuna watu wakisema uongo Huwa wanatetemeka balaa ila Kuna wengine asalaleee!! Anadanganya macho makavuuuu hata kupepesa hapepesi. Hivi nguvu yenu Huwa nini hasa!?. πŸ€”
  19. Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

    Kama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
  20. Polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele je wewe mwana jamiiforum unaliona hilo aliloliona humphrey polepole likitimia?

    Mwanasiasa na balozi polepole aliwahi kusema ccm itaishi miaka 75 mbele ikiwa strong and firm je hii ajali ya wabunge imetoa majibu kwa utabiri wa polepole?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…