Kwa miezi sasa nchi imekuwa ikisumbuliwa na mgao wa umeme
Leo nimeamka na taarifa za DG wa Tanesco kuondolewa Tanesco
Wiki iliyopita ilitrend taarifa ya kampuni kubwa ya Starlink kuanza kazi Kenya huku hapa Tanzania ikiwa ilipigwa danadana za kutosha
Sasa wameenda na Zimbabwe.
Kwa uzoefu...
Kila kona mnalalama, eti mafuta yanapatikana kwa bei juu, Chakula bei juu, umeme umekuwa unakatika masaa 24, rushwa na uonevu kila kona hii ni ishara mbaya.
Mkuu wa nchi yetu anapoapa ili atuongoze huwa anaapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT.
Sasa kama Katiba ilitungwa ili Watanzania...
Anahitajika msichana wa kusimamia ofisi ya miamala ya Tigopesa.
Vigezo
awe na uzoef kwenye kazi hiyo au uzoef katik tasnia ya uwakala.
awe mtu wa kujituma na mwenye lugha nzuri kwa watu wote.
asiwe mtu wa hasira au dharau.
awe na uwezo wa kujisimamia mwenyewe na kupangilia mambo katka ofisi...
Mke: Mume wangu, mdogo wangu kile kipindi utumishi wanasimamia ajira hakupata kabisa.
Mme: Ni kweli utumishi walikuwa pasua kichwa, walituharibia sana, mambo ya connection yalipigwa panga.
Mke: Sasa Mama karuhusu Mashirika mjisimamie msaidie basi mdogo wangu.
Mme: Ondoa shaka, mdogo wako...
Kama kuna usafiri unaotumiwa na watu wa hali ya kawaida na chini kwa wingi ni pikipiki, tunazoziita bodaboda.
Huduma hii ni rahisi, haraka na unafika uendako kwa kasi sana ukilinganisha na usafiri binafsi au hata mabasi ya Mwendokasi(DART).
Lakini sekta hii haina uratibu wa aina yoyote nchini...
MAMENEJA TARURA WAAGIZWA KUSIMAMIA MIRADI KIKAMILIFU
Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amewaagiza Mameneja TARURA wa Mikoa na Wilaya zote nchini zinazotekeleza Mradi wa kuboresha miundombinu katika Majiji, Manispaa na Miji (TACTIC) kuhakikisha wanasimamia kwa...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mbarali ametangaza zaidi ya nafasi 1200 za kusimamia uchaguzi mdogo utakao fanyika tarehe 19/ 09/ 2023. Chonde chonde wapinzani msisusie uchaguzi vijana tupate posho.
Asalam,
1. Ninaipenda CCM na Ni Mwanachama wa CCM
2. Ninaipenda Nchi yangu na ni mzalendo hasa.
3. Ninaulewa wa itikadi na misingi ya saisa ya CCM
4. Ninapinga Mkataba wa sasa wa DPW, nitauunga ukirekebishwa.
5. Ninawaheshimu viongozi wa Chama, ninawakosoa wanaokosea (rejea mwongozo wa CCM WA...
Haya ni baadhi ya maswali ambayo utapata majibu yake kwa kusoma makala hii fupi.
1: Je, mtu ambaye sio Wakili anaruhusiwa kumuwakilisha (kumsimamia) au kumtetea mtu kwenye kesi Mahakamani?
2: Je, mtu ambaye sio Wakili anaweza kuandaa, kushuhudia na kusaini nyaraka (documents) za kisheria na...
ninasikiliza mambo ambayo serikali na chama wanasema juu ya bandari najiuliza mambo mengi lakini kubwa sijui kama hawa watu wanaelewa maana ya kuongoza serikali ni nini
yaani umeewa bandari unatuambia bandari inakusanya bilioni 700 na serikali inaata bilioni tatu, sekita binafsi sisi kwa...
Kwa muda mrefu watanzania wachache walio pewa dhamana ya kuisimamia bandari yetu kuu ya Dar es salaam walikula bila kunawa, mizigo ya watu ilipotea, enzi za uwaziri wa mwakyembe kontena nzima ya vitenge ilidhibitika kupotea kontena ya mama kutoka zambia, waziri alitoa masaa kontena ikapatikana...
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI AKITAKA KITUO CHA UWEKEZAJI (TIC) KUSIMAMIA MIKATABA YA WAWEKEZAJI
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) akitaka Kituo cha Uwekezaji nchini (TIC) kusimamia mikataba ya wawekezaji mahiri na wa kimkakati ili kujenga uchumi imara wa nchi...
SERA MPYA YA KUSIMAMIA AJIRA YA WALIMU IFIKAPO SEPTEMBA 2023
Wasalaamu wapendwa, natumaini tuwazima wa afya!
Nimesikia chama cha Walimu kimepinga vikali. Mimi nadhani kuna mambo tunachanganya. Tuna haja ya kuwa na chombo maalum cha kusimamia taaluma ya ualimu. Nikimanisha Bodi ya Ualimu.
Hii...
Nilikua namsikilizambowe anasema mkataba hauna ukomo.
Anasema yupo tayari kuamsha nchi nzima Kama bunge litapitisha
Leo nimeona ameongea kwa hisia sana.
---
"Watu wengine wanasema mkataba ni wa miaka 100, kwa mujibu wa mkataba huu unaweza kuwa miaka 200, huu mkataba hauna mpaka. Waliosema...
Mahakama Kuu ya Tanzania ilisema SIO SAWA Wakurugenzi (ma-DED) Kusimamia Uchaguzi.
Mahakama ya Rufani ikatengua Maamuzi hayo👆🏿, moja ya sababu ilikuwa kwamba Wakurugenzi huwa wanakula kiapo cha kukana vyama vyao vya Siasa, pia hoja ya kwamba wanateuliwa na Rais hivyo hawawezi kukosa upendeleo...
Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
Wao wamefunzwa namna ya kusimamia bandari, hiyo knowledge yao imeshindikana kuihamisha kwa watanzania nasi tuweze kusimamia bandari yetu?
Waletwe hapa wakae hata miaka miwili na kisha waondoke, pakitokea tatizo wawe wanakuja hata kwa wiki wanarudi kwao.
Haya mambo kwa jinsi yalivyo kwa kujenga...
Moja katika habari kubwa kwenye medani ya siasa za Kimataifa inayomhusisha Mtanzania ni habari ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson kuteuliwa kuwania Urais wa Umoja wa Mabunge ya Dunia (IPU) katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Oktoba 2023.
Taarifa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.