kusoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Usipite bila kusoma

    Tunakodisha Ng'ombe Kwa Ajili Ya Kulipia Kama Mahari, Namna Watakavyopotea Huko Ukweni Niachie mimi. Karibuni🙏🙏🙏
  2. TCU yasema hakuna Mwanafunzi atakayelazimishwa kusoma katika chuo ambacho hakitaki

    Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa Baada ya kuibuka kwa malalamiko kadhaa mitandaoni kuhusu udahili wa Wanafunzi wanaofanya maombi ya kujiunga na Vyuo Vikuu wakati huu ambao dirisha la udahili limefunguliwa, Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imetoa...
  3. Barua kwa mama

    Mama, sio kila mwanga unaweza kuonesha au kuangaza kile king'aacho katika uso wa Dunia... Japo macho yako yana angaza na kuona hata punje ya mchanga...ILA Kuna viang'aavyo huvioni sababu Kuna Maumbo na kingo zinazo tengeneza vimvuli vinavyo "Over shadow" the brilliant sparkels... Vimvuli...
  4. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  5. D

    Nashauri katoliki waendelee kusoma waraka wa bandari kila wiki baada ya misa hadi Desemba

    Popote walipo TEC chukueni ushauri huu! Waraka uendelee kusomwa kila wiki baada ya misa hadi disemba! Wiki hii serikali waliandaa kila aina ya vigisu na spinning kwa kumtumia Mzee Kikwete na majukwaa, matamasha na maelekezo kwa waandishi ili kukava story zao katika kufumba habari ya waraka...
  6. Kusoma sana sio kigezo cha utendaji: Nehemiah Mchechu ana degree moja

    Katika Kikao cha Wenyeviti na watendaji wa taasisi za Umma kinachoendelea Jijini Arusha ambacho kinaongozwa na Msajili wa Hazina Ndg. Nehemia Mchechu, katika moja ya maongezi yake amekiri ana degree moja na hana mpango wa kuongeza nyingine kwa sasa. Amezungumza hayo baada ya kuzungumzia suala...
  7. Kati ya advance na chuo ipi njia nzuri zaidi?

    Kati ya kwenda hge hgk au kwenda chuo course ya bussness administration au human resource qu accountancy ipi ni bora zaid naombe msaada
  8. Nimesoma nimerudia kusoma na kusoma ila nimeshindwa kuielewa hii habari ya US Dola na mafuta

    Dola 747 milioni zahitajika ununuzi wa mafuta Dar es Salaam. Mjadala wa kunusuru mkwamo wa waagizaji wa mafuta huenda ukafikia ukomo endapo Serikali itawezesha upatikanaji wa Dola 747 milioni (Sh1.9 trilioni) kwa ajili ya kufuta malipo ya bidhaa za petroli zilizoingizwa nchini kati ya Machi na...
  9. Je, mwenye alama 28 kidato cha nne anaruhusiwa kuchaguliwa kujiunga na advanced level?

    Naomba kuuliza wakuu, eti mtu mwenye division four ya 28 anaweza kupata nafasi ya kusoma advance shule ya private?
  10. Vijana wanaoenda kusoma Ulaya wakirudi wanafanikiwa kwenye biashara tofauti na wenzao waliosoma nchi za Asia, tatizo nini?

    Nimeona vijana wanaoenda kusoma huko nchi za ulaya wakirudi wana kuwa na moto mkali wa kufanya biashara, hata wakiajiriwa basi kuna biashara pembeni, watu hawa nimeona biashara zao huwa zinafanikiwa sana japo simaanishi ni wote ila wengi, nimeona vijana wa kundi hili wanajituma zaidi na wana...
  11. T

    Ni kwanini serikali imewachagulia wanafunzi wa sayansi kusoma art 'A' level ilihali wanapenda sayansi!?

    Ndugu wanabodi nimekutana na huu mkanganyiko hasa kwa wahitimu wa jinsia ya kiume, ambao katika uchaguzi wao wa masomo walichagua kusoma sayansi, isitoshe wamepata credit zinazokidhi kuendelea na masomo ya sayansi. Kwa mshtuko na mshangao wengi wao wamechaguliwa wakasome masomo ya art Kwa...
  12. Matumizi Mbadala ya Mkaa/Matumizi usiyoyajua kuhusu Mkaa

    MATUMIZI USIYOYAJUA YA MKAA.. 1. Kama raba yako inatoa harufu mbaya weka mkaa .. itaondoka ..😂.. 2. Kama chumba chako kinanukanuka weka mkaa harufu yote itaondoka .. itaingia kwenye mkaa .. 3. Kama furiji yako inatoa harufu mbaya safisha Kisha weka mkaa 4. Kama mwili wako unatoa harufu...
  13. N

    Tanzania kusoma imekuwa nongwa sana sijui tufanyeje

    Elimu Tanzania imegeuka kichekesho maana hakuna anae jali sana kuhusu umuhimu wa elimu. Watu hawataki tena kujifunza na kutatua changomoto za jamii ila wanatafuta vitu ili kujitoa kwenye midomo ya wacheshi. Ajabu hii wasomi wanadharauliana wao kwa wao kila mmoja anamuona mwenzie kilaza...
  14. Kozi ya kusoma halafu baada ya kumaliza chuo isaidie kujiajiri .

    Wadau poleni na majukumu kuna dogo home kamaliza HKL na ana division 1 ya 5 ni kozi gani nzuri anaweza kusomea na chuo kipi ili akimaliza aweze kujiajiri maana uwezekano wa ajira kwa sasa ni mdogo sana naomba mawazo yenu wadau.
  15. Elimu ya form four iongezwe masomo zaidi, kuna maprofesa hawajui umuhumu wa kusoma topic electrolysis na electroless

    Nimekutana na professor mmoja mbobezi katika kupractise na kufundisha sheria shule kuu ya sheria chuo kikuu Dar es salaam katika hotel Moja hapa Kariakoo. Ghafla tulifikia mada ya ubora wa elimu Tanzania. Nikamwambia watoto wanamaliza wapo weupe na mbaya zaidi hawajui hata haki zao. Akaniambia...
  16. C

    Pixel 3xl inakataa kusoma line

    Habari ya wakati huu wadau wa taknolojia. Nina shida na pixel 3xl yangu, nilikua naitumia Vizuri ghafla ikaniandikia there is no sim card though nimeweka sim card, nikarajibu kutoa Line na kuweka, kubadilisha line, kureboot, kureset network settings lakin haijasaidia shida bado Iko. Naombeni...
  17. J

    SoC03 Umuhimu wa kusoma mapato na matumizi yaliyopita kwa wizara

    Kwa kila mwaka, serikali inahitaji makadilio ya mapato na matumizi ili iweze kuendesha nchi na kutekeleza miradi mbalimbali ili kunufaisha wananchi na kuleta maendeleo yaliyo thabiti. Hii pia huchagizwa na uwepo wa katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania ambayo kwa kila mwaka lazima likae...
  18. Mke achoma vyeti vya mumewe kwa kutokujua kusoma.

    Jamaa mmoja alioa mke asiejua kusoma wala kuandika ikatokea siku moja mke akaamua kufanya usafi ndipo alipochoma academic certificates za mumewe akijua ni makaratasi. Mme alipokuja alipomuuliza mkewe akajibu kimasihara nimechoma makaratasi pamoja na matakataka pale chumbani. Jamaa alilia kama...
  19. Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  20. Chuo gani cha afya ni kizuri kusoma Diploma ya Clinical Officer?

    Tafadhali rejea kichwa Cha habari tajwa hapo juu. Nina mdogo wangu amemaliza form four anataka aende kusoma diploma ya C.O, je chuo gani ni kizuri nimsaidie kuapply? Namaanisha uzuri wa mazingira ya ufundishaji na pia ufaulishaji. Nasikia vyuo vya government ndio hufaulisha kuliko private je...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…