kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    Tayari mmeshamfungia Ali Kamwe 'Mvua Mbili Kavu' sasa mnaogopa nini Kutangaza leo? Wanafiki wakubwa nyie

    Kama tunajua Nyeti za Mzanzibari Myemeni ndiyo tushindwe kuzijua zenu tena za hapo jirani tu Karume Ilala? Hovyoooo!!!
  2. Braza Kede

    Trump effect: Je, kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada

    Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko? Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6. Hali...
  3. M

    CHADEMA ya LISSU na HECHE ijizuie Mikutano yake kuwa mikutano ya kutangaza Injili

    Kuna jambo linafanyika katika mikutano ya CHADEMA ambalo kama CHADEMA haitolifanyia kazi litageuka msumari wa kisiasa kwa chama hicho. Ninatambua kuwa CHADEMA siku hizi imekuwa ikiweka viongozi wa dini mbele katika mikutano yao. Lakini kitendo cha kuleta wachungaji na kuanza kuhutubia...
  4. chizcom

    Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  5. K

    Kagame: Rwanda is ready for a confrontation with South Africa if necessary!

    Jinsi Kagame anavyojibizana na Ramaphosa naona kama anajisahau sana Sidhani kama Rwanda itaiweza South Africa. Hii ni kutoka X (Twitter) I held two conversations this week with President Ramaphosa on the situation in Eastern DRC, including earlier today. What has been said about these...
  6. Mwanadiplomasia Mahiri

    NECTA kutangaza matokeo ya Kidato cha Nne kwa mwaka 2024 kesho

  7. Greatest Of All Time

    Baraza la Mitihani (NECTA) kutangaza matokeo ya Upimaji Darasa la Nne na Kidato cha Pili leo

    Habari wakuu, Wazazi mmefikiwa, matokeo ya upimaji wa mitihani kitaifa kwa darasa la nne na kidato cha pili kwa mwaka 2024 yatatangazwa leo kuanzia majira ya saa 5:00 asubuhi na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA). Majukumu ya January yanaanza, mjiandae punde matokeo yakitoka yatawekwa hapa...
  8. L

    Kama Lissu Anakubalika CHADEMA Kwanini Sasa Wafuasi Wake Wanalialia Na kupiga Mayowe Baada ya Mwamba Mbowe kutangaza Kugombea?

    Ndugu zangu Watanzania, Kweli Dunia ina maajabu yake,kweli kuna watu wana matatizo sana vichwani Mwao,kweli kuna watu hawajitambui,kweli kuna watu wana uwezo mdogo sana wa kufikiri na kupambanua mambo. inasikitisha ,kushangaza na kufikirisha sana kwa mtu mwenye akili Timamu na anayejitambua...
  9. F

    Tuache kutangaza dosari za wanawake zetu

    Nawashauri wanaume,tusitangaze dosari za wanawake zetu,iwe ni mkeo au mchepuko,badala yake tuwasaidie kuziondoa hizo dosari.Kumbukeni mwanamke ni muhimu sana kwa maisha yetu sisi wanaume,watusaidia mambo mengi sana
  10. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Chongolo awavuruga vigogo CCM asema sijaja kutangaza nia yoyote

    Wakati joto la Uchaguzi Mkuu katika nafasi za Udiwani na Ubunge unaotarajiwa kufanyika hapo mwakani 2025 likiendelea kupanda, imeelezwa kuwa baadhi ya wanasiasa waliopo madarakani wameanza kupata shida kwenye maeneo yao kutokana na vigogo waliowahi kushika nafasi mbalimbali na wengine ambao bado...
  11. Erythrocyte

    Pre GE2025 Freeman Mbowe: Nitatoa uamuzi wa kugombea Uenyekiti siku ya Jumamosi saa 5 asubuhi

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Mwenyekiti wa Chadema anayemaliza muda Wake, atazungumza na Dunia kupitia Waandishi wa Habari muda wowote kuanzia sasa. Usiondoke JF kwa Taarifa zaidi ==================================================== Akiwa anazungumza na waandishi wa habari nyumbani kwake...
  12. Waufukweni

    John Mnyika ajibu kuhusu Freeman Mbowe kutangaza nia ya Uenyekiti CHADEMA

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika, amejibu juu ya Mhe. Freeman Mbowe kama atachukua fomu ya Uenyekiti wa Chama hicho, wakati alipokuwa akizungumza na wanahabari Jijini Dar es Salaam, ambapo alikuwa akiwatangazia wanachama juu ya uchaguzi wa viongozi wa Chama na Mabaraza kwa ngazi ya Taifa...
  13. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  14. L

    Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  15. M

    Wakuu wa Mikoa wanapogeuka madalali wa kutangaza biashara za makampuni

    Juzi hapa kulifanyika tamasha la Landrover. Mkuu wa mkoa wa Arusha akapigia debe kwelikweli jambo hilo. Akatumia resources za ofisi ya umma ikiwemo wakati kupigia promo jambo hilo. Lakini hayo yakifanyika, bila shaka anatambua wazi kuwa anapigia debe kampuni ya magari ya Landrover. Hasa...
  16. Nehemia Kilave

    LGE2024 Tamko la kutangaza siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuwa siku ya mapumziko la mwaka 2024

    TAMKO LA KUTANGAZA SIKU YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KUWA SIKU YA MAPUMZIKO LA MWAKA 2024 KWA KUWA kifungu cha 3 cha Sheria ya Sikukuu za Kitaifa, Sura ya 35, kinampa Rais mamlaka ya kutangaza siku yoyote kuwa siku ya mapumziko kama nyongeza ya siku zilizoainishwa kwenye Jedwali la Sheria...
  17. Hismastersvoice

    WAPO Radio msijilazimishe kutangaza habari zinazohusu Upinzani kama Mungu wenu hataki

    Ni nadra sana kusikia WAPO RADIO ikitangaza jambo linalohusu upinzani, labda jambo hilo liwe linaifurahisha CCM. WAPO RADIO mnacho kipindi cha asubuhi kinachohusu matukio, ambacho wasikilizaji hushauriwa kuwatumia ujumbe kuhusu matukio mliyoyatangaza. Cha ajabu, mara nyingi mnakuwa na...
  18. Mindyou

    EWURA yatoa wito na kutangaza kipindi cha kupokea mapingamizi wa waliopata leseni ya kufanya biashara ya mafuta Tanzania

    Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli mbalimbali katika sekta ya mafuta ya petroli. Taarifa hiyo ya EWURA imewataja waliiomba vibali vya ujenzi...
  19. chiembe

    TBC mnampaje mtangazaji kama huyu kazi ya kutangaza tukio la ngazi ya kitaifa?

    UWT ni jumuiya ya chama, lakini mtangazaji mara kadhaa anarudia kuiita chama cha UWT, ina maana hawa watangazaji hawana usimamizi? Hata huko TBC nani anasikiliza wanachotangaza? Hivi watangazaji wanapangiwa majukumu kulingana na seniority na ukubwa wa tukio?
  20. mahindi hayaoti mjini

    Baada ya vyombo vya habari vya nje kutangaza, nimeamini rasmi kwamba ni hujuma

    Sasa nimeamini kweli maadui zetu si watanzania, bali mabeberu wakishirikiana na chadema, Watanzania kuweni makini na amani iliyopo, tukiiharibu ndio furaha kwa maadui zetu Kuweni makini sana
Back
Top Bottom