kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bila bila

    TFF kutangaza Waamuzi wa ndani ya uwanja bila waamuzi wa VAR haijakaa Sawa..

    Mwishoni mwa msimu wa ligi uliopita tuliambiwa Sasa waamuzi watasaidiwa na teknolojia saidizi ya Uamzi (VAR), lakini Jana orodha ya waamuzi wa Mechi zote 2 imetoka na hatuoni wataalamu VARs. Je bado haziko tayari japokuwa AZAM TV walishatuonyesha ziko tayari? Au uwepo wake unahitaji utashi wa...
  2. R

    Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  3. U

    Israel kutangaza vita na Hezbollah muda wowote kuanzia sasa

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Mungu ibariki Israel Shmona, June 4, 2024. (Ayal Margolin/Flash90) IDF Chief of Staff Lt. Gen. Herzi Halevi said Tuesday that Israel is close to making a decision regarding Hezbollah’s daily attacks on northern Israel amid the Gaza war. “We...
  4. O

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
  5. Shakil Bhanji

    Naomba kujuzwa taratibu na gharama za kutangaza kwenye gazeti kwa kupotea hati za ardhi

    Habari. Naomba kujua garama na utaratibu wa kutangaza kwenye gazeti kupotea hati ya ardhi. 1. Muda inayotakiwa kutangaza. 2. Garama na gazeti gani kutangaza. 3. Mawasiliano yao
  6. Roving Journalist

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  7. Nkaburu

    FIFA⚽ kutangaza Ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026: 🇹🇿Tanzania yahitaji kushinda mechi zote zilizobakia, kushiriki

    Watanzania wenzangu, ngoja nibaeleze. Kutoka kwenye Vyombo vya habari- FIFA itatangaza ratiba ya mechi za Kombe la Dunia la FIFA 2026™ leo Jumapili, tarehe 4, mwezi wa 2 2024 saa Tano usiku. Tangazo hili litaonyeshwa moja kwa moja mubashara kwenye tovuti ya FIFA.com na FIFA+1, na pia...
  8. Stephano Mgendanyi

    Shirika la Kiserikali la CTG - China Kushirikiana na Tanzania Kutangaza Utalii

    SHIRIKA LA KISERIKALI LA CTG - CHINA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUTANGAZA UTALII Shirika la Kiserikali la China linalosimamia utangazaji wa utalii na uwekezaji (China Tourism Group - CTG) limeonesha nia ya kutaka kutangaza vivutio vya utalii vilivyoko nchini Tanzania pamoja na kuwekeza katika...
  9. Teko Modise

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne 2023. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. Soma Pia Matokeo mengine...
  10. R

    Kutangaza bei elekezi ya sukari bila kuweka consequences za wauzaji watakao kiuka hakusaidii

    Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo. sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi? Au nyie mamlaka ya sukari nachukua tahadhali gani kukabiliana na watakaokiuka bei elekezi. Short of that mnakuwa wasanii nyie mamlaka...
  11. L

    Tanzania na China zapigana jeki katika kukuza na kutangaza sekta zao za utalii

    Utalii nchini Tanzania umekuwa ni moja ya sekta muhimu ambayo inaingiza mapato mengi na kutoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi nchini. Ni jambo lisilopingika kwamba Tanzania ni nchi iliyobarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili zikiwemo mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya...
  12. OKW BOBAN SUNZU

    Simba Sc kutangaza usajili muda wowote, Babacar Sarr atajwa

  13. Y

    Katika makuzi yangu nilikua nikiaminishwa kuwa viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu

    Katika makuzi yangu nlikua nkiaminishwa kua viongozi wa nchi huchaguliwa na Mungu, Pindi nasoma advance bahati nzuri uchaguzi wa rais, wabunge pamoja na madiwani nlikua kidato cha sita pale shinyanga high school maarufu kama SHY BUSH , nlishiriki kupiga kura lakin majibu yaliyobandikwa ktk...
  14. chiembe

    Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
  15. Ndagullachrles

    TCRA sasa kutangaza masafa ya redio kwa zabuni

    MAMALAKA ya mawasiliano nchini(TCRA)imetangaza kuwa kuanzia sasa masafa ya radio yatashindaniwa kwa kutangazwa zabuni huku wadau wakitaka kuwepo na uwazi ili kuwa na uwanja sawa. Kwenye kikao cha wamiliki na maneja wa vituo vya radio pamoja na waandishi wa habari kilichokaa hivi karibuni...
  16. Kingsmann

    Serikali inasubiri nini kutangaza hali ya hatari kwa haya mafuriko ya Dar?

    Toka saa saba usiku mpaka muda huu ni takribani masaa 12 mvua haijakata. Sehemu nyingi za mitaa ya Dar hapapitiki sababu ya kujaa maji. Hata yale maeneo ambayo hayakuzoeleka kujaa maji leo yamejaa. Ikiwa itaendelea kunyesha hivi kwa masaa mengine 12 yajayo sidhani kama kesho watu wataweza...
  17. D

    TV ya Azam Sasa rasmi kutangaza pombe hadharani

    KWA mujibu wa taarifa ya CEO wa Club ya Simba SC Imani Kajula Leo 02/11/2023 kwa vyombo vya habari, Club hiyo imeingia mkataba wa kibiashara na kampuni ya SBL watengenezaji wa pombe aina ya Serengeti! Ni mkataba wa sh 1.5 Bilioni Kwa miaka 3 ambapo itatoa fedha Kwa Simba kiasi cha shilingi 500...
  18. kimsboy

    Rasmi: Yemen watangaza vita na Israel

    Hii vita inaenda kuwa vita ya Ukanda wote Yemen imetangaza kuanza vita rasmi na Israel na imetangaza kuanza operesheni maalum ya kuichakaza Israel kwa makombora na Drones ‘Vikosi vyetu vilivyojihami vimerusha makombora ya balestiki na ya kusafiri, pamoja na idadi kubwa ya ndege zisizo na...
  19. Ngongo

    Picha za Rais Samia zimejaa njia nzima KIA badala kutangaza vivutio vya utalii!

    Kila mara jambo jipya huanza Afrika hasa Tanzania. Leo CPA Dr. Ngongo naelekea Uturuki kupitia Addis Ababa Ethiopia. Njia nzima (yote) zimejazwa picha za Rais Dr. Samia. Mabango yametanda yamejaa sifa kemukemu, anapenda watoto, elimu kidato cha tano na sita bure, ameifungua nchi, anatunza...
  20. Father of All

    Kuna haja ya Rais kutangaza anaoandamana nao ziarani?

    Kwa wale waliokuwapo wakati wa awamu ya kwanza, pili,na tatu kulikuwa na utaratibu ambao naweza kuuita uwazi. Katika sehemu mojawapo ilikuwa ni kutangaza orodha ya waliokuwa wakiandamana na rais kwenye ziara zake iwe nchini au nje ya nchi. Hii ni kwa sababu rais na watu wake hawasafiri kwa...
Back
Top Bottom