TANTRADE ni moja ya taasisi ambazo kwa kiasi kikubwa imeweza kuendana na mahitaji ya biashara kwa Dunia ya sasa. Wameondoka kuendesha maonyesho ya sabasaba na sasa wanaangalia fursa za maonyesho nje na kuwapa opportunity hata wale ambao wanashindwa kuvuka mipaka kupeleka bidhaa zao.
Uimara wa...
Viongozi wa Dini zote Mkoani Ruvuma wanatakiwa kuwa mstari wa mbele Kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi katika kutangaza umuhimu wa amani na kusaidia kutoa elimu kwenye maeneo tofauti tofauti ya nyumba za ibada kupitia mahubiri yao ili wananchi waweze kufuta sheria za Nchi na kuepukana na...
Nawaandikia wanachama wenzangu wa ccm popote pale mlipo!
Kuna ka tabia kame zuka ka hovyo sana ka kuwapigia kampeni viongozi waliopo kabla ya muda wa uchaguzi wakati bado hawajatimiza KAZI waliotumwa na chama kupitia ilani yetu,Tabia hii huwatoa viongozi kwenye Reli na kuanza kufikiria uchaguzi...
MKUU wa Wilaya ya Chato, Deusdedith Katwale amesema wanatarajia kufanya tamasha la utalii kwa lengo la kutangaza vivutio na fursa mbalimbali za utalii zilizoko katika ukanda huo.
Akizungumza na waandishi wa habari leo mkoani Dar es Salaam, Katwale, amesema tamasha hilo linatarajiwa kufanyika...
Ukikaa ukafikiria karibia vitu vyote vinavotumika kutangaza neno la Mungu vinatengenezwa na watu wasio amini upande wa mungu au wanamwabudu shetani,
Mfano: Magari, vinanda, vipaza sauti, majenereta, magari, kiujumla ni kila kitu mpaka hizo mitambo ya kuchapisha hivo vitabu.
Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo.
Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
Kwa wachache tuliobarikiwa kuielewa vizuri nchi hii na jamii yake pamoja na siasa zake tunaposimamia jambo kwa maslahi ya taifa naomba tuheshimiwe na tueleweke vizuri.
Kwa miezi 2 sasa kuna kikundi cha wanasiasa na viongozi wa dini, kwa maslahi binafsi na kutumiwa na watu ambao kila siku...
Kwanza niwapongeze Tamisemi kwa kuja na hii huduma ya kupata leseni mtandaoni. Haya ni mapinduzi makubwa sana kwenye uwezeshaji wa biashara. Lakini nina kero moja amabyo kijuu juu inaweza kuonekana ndogo lakini ni kubwa sana. Kwa nini mmetumia jina na nembo ya ndege tausi.
Nilidhani TAUSI ni...
#Madini mkakati yapewa kipaumbele na Uingereza
#Wafanyabiashara wa madini Uingereza kushiriki Jukwaa la Kimataifa Sekta ya Madini mwezi Oktoba
Wizara ya Madini na Serikali ya Uingereza kupitia Ubalozi wake nchini zimekutana leo Agosti 1, 2023 katika ofisi za Wizara Mji wa Serikali Mtumba...
Kwa hii Mbinu Jezi #6 FC nawasifu hakika Marketing mnaijua kuifanya vyema.
Mlianza kwa Kumvalisha Jezi yenu mpya ya 'Magemu Magemu' ili Kuwaaminisha Mashabiki.
Wafuatiliaji wa mambo tunajua kuwa tayari ni DONE DEAL Uarabuni ila mmeuchuna Kutangaza na mkalianzisha la Chama ili Kufunika bado...
Kwanza poleni kwa misiba. Japo mpo kwenye huzuni lakini tuongee hili suala la kutangaza misiba barabarani.
Mbeya kama msiba unasafiri, basi msafara unakuwa na gari la matangazo ambalo linakuwa na MC akitangaza msiba. Utasikia, "Ni huzuni ni huzuni kwa wafanyakazi wa benki ya NMB kufiwa na...
MBUNGE COSATO CHUMI - TUTUMIE MICHEZO KUTANGAZA UTALII
"Wawindaji wazawa hawawezi kushindana na wawindaji Wakubwa, nashauri Wizara ya Maliasili na Utalii itenge 70% kwa ajili ya wawindaji wageni na 30% kwa ajili ya wawindaji wa ndani" - Mhe. Cosato Chumi, Mbunge wa Jimbo la Mafinga Mjini...
Kamati ya Pamoja (Joint Committee) ya Bunge ya Mindombinu na ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) inawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Azimio la Bunge kuhusu Mapendekezo ya Kuridhia Makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kluchumi...
Mahakama ya Wilaya ya Kilwa masoko mkoani Lindi imemuhukumu Muharami Ngayoma maarufu Kibwege (30) kwenda jela miaka 30 kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile.
Hukumu hiyo ya kesi namba 27 ya mwaka 2023 imetolewa Aprili 17,2023 na hakimu mkazi wa mahakama hiyo Carolini Mtui...
Ni muda sasa naona Lavalava hajulikani yupo wapi post zake za mda mrefu alionekana na mpenzi wake namzungu wake sasa naona post hizo nazo zimefutwa account yake inatumika kutangaza matangazo ya wasafi bet kampuni ya wasafi ni kubwa ni vyema wakatujulisha kinachoendelea
Nimejaribu kufikiria, kwa upande wangu naona wanaume wanapenda sana kutangaza wapenzi/wake wao. Yaani iwe kwa wema au ubaya. Utasikia mke wangu hajui kabisa kupika! Au yule demu akilala kama gogo!
Wanawake ni nadra sana kusema, wengi hustruggle kumbadili ili awe vile anavyotaka awe.
Au wewe...
Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.