kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mag3

    Kutotimia kwa ndoto yangu jana ya Mwigulu Nchemba kutangaza kujiuzulu hakunishangaza!

    Toka siku niliposikia kuwa WIZARA ya Fedha ingetoaa ufafanuzi kuhusu tozo ya miamala ya simu na benki, nimekuwa nikiota ndoto. Kuna ndoto na kuna ndoto. Kuna ndoto za usiku na kuna ndoto za mchana. Ndoto za usiku ama ni za kuleta tumaini au kutia hofu na ingawa kwa muda huweza kuleta tumaini...
  2. J

    Serikali yaipa kongole Multichoice kutangaza Kombe la Dunia kwa Kiswahili

    Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imeipongeza kampuni ya Multichoice kupitia DStv kuamua kutangaza kwa Kiswahili Mashindano ya Kombe la Dunia yanayotarajiwa kufanyika baadae mwaka huu nchini Qatar. Akizungumza Septemba 01, 2022 Dar es Salaam katika hafla ya Maonesho kwa Vyombo vya Habari...
  3. MK254

    Ukraine watumia ujanja wa kutengeneza HIMARS za mbao, Urusi wanazipiga na kutangaza

    Jameni Mrusi anateswa hadi basi tu, Ukraine wamekua wanatengeneza mifano ya HIMARS za mbao, kisha wanazianika Urusi wanazinyeshea kwa mvua ya mizinga kisha wanatangaza "leo tumelipua HIMARS 20".... Ukraine is reportedly using wooden decoys of advanced US rocket systems to trick Russia into...
  4. Lady Whistledown

    Machafuko yazuka Iraq baada ya kiongozi wa Washia kutangaza kuachana na Siasa

    Takriban watu 15 wameuawa na makumi kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama vya Iraq na wafuasi wa kiongozi mwenye nguvu wa Kishia Muqtada al-Sadr, baada ya wafuasi hao kuvamia ikulu katika mji mkuu wa Baghdad. Kambi ya kiongozi huyo wa Kijeshi ilishinda viti vingi bungeni Oktoba...
  5. Nobunaga

    Kenya 2022 Raila Odinga agoma kushiriki hafla ya IEBC kutangaza matokeo ya Urais kabla hajayaona na kujiridhisha

    Raila Odinga kwa sasa ndiye anasubiriwa kwenye ukumbi wa IEBC yatakapotangazwa matokeo ya mshindi wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Ikiwa Mgombea wa Kenya Kwanza Coalition, Willium Ruto ameshawasili zaidi ya saa moja iliyopita, hali ni tofauti kwa mpinzani wake mkuu Raila Odinga ambaye...
  6. Poppy Hatonn

    Kenya 2022 Wakenya wanapaswa kuwa na subira matokeo yatangazwe

    Wakenya lazima wawe na subira. Hakuna njia nyingine ama sivyo inaweza kutokea vurugu wakiwa impatient. Kuchelewa kutangazwa matokeo does not necessarily mean kwamba kuna mtu anataka kuiba kura. Wapo makarani wa Uchaguzi, ambao kila siku wanapokuwa kazini wanalipwa hela. Kwa hiyo they may want...
  7. Nasema Uongo Ndugu Zangu

    Nasikitika kutangaza kuwa CHADEMA na ACT hawana uwezo wa kuongoza nchi.

    Nasikitika kwasababu ukweli ni kuwa mabadiliko kwenye hii nchi yanaweza kuletwa na kiongozi wa CCM tu kama alivyojaribu JPM kwa muda alio hudumu kama Rais. Nje ya CCM hakuna chama chenye uwezo wala mpango wa kuchukua hii nchi, hakipo labda kama kitatokea huko mbele. Kwahiyo watanzania poleni...
  8. Mohamed Said

    Bi Maunda Plantan ndiye mwanamke wa kwanza kutangaza radioni

    BI. MAUNDA PLANTAN NDIYE MWANAMKE WA KWANZA KUTANGAZA SAUTI YA DAR ES SALAAM Bi. Khadija Said ni mama yangu nafungua macho namuona akiishi Mtaa wa Narung'ombe na huku Swahili na huku Sikukuu na katikati ni Mtaa wa Gogo. Mtaa wa Gogo kulikuwa na nyumba yetu halikadhalika Mtaa wa Swahili na Mtaa...
  9. JanguKamaJangu

    WHO wajadiliana kuhusu kutangaza Monkeypox hali ya dharura Kiafya

    Wataalamu wa Afya wa Shirika la Afya Duniani (WHO) wamekutana kujadiliana kuona kama kuna ulazima wa kutangaza Monkeypox kuwa hali ya dharura kiafya. Hicho ni kikao cha pili ambapo inaelezwa kuwa kuna watu zaidi ya 15,400 walioripotiwa kupata maambukizi ya Virusi hivyo katika Nchi 71 tangu...
  10. JanguKamaJangu

    Chelsea kutangaza usajili wa Koulibaly leo Julai 14, 2022

    Beki Kalidou Koulibaly amesafiri Jijini London kwa ajili ya kukamilisha usajili wake kutua Chelsea ambapo anatarajiwa vipimo vya afya, lei Julai 14, 2022 kabla ya kuungana na wenzake. Raia huyo wa Senegal anatarajiwa kusajiliwa kwa ada ya Paundi Milioni 34 baada ya kuitumikia Napoli kwa miaka...
  11. J

    Site gani yenye traffic kubwa kutangaza real estate?

    Wadau site gani kwa sasa unaweza weka matangazo real estate ukapata wateja kirahi..nilikuwa natumia sana zoom, naona wamepotea(imekuwa kupatana.com-ambayo siyo strong kama zoom)... Noamba kwa mwenye kujua tafadhari....
  12. Richard

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson kutangaza kujiuzulu mchana huu

    Boris Johnson waziri mkuu wa Uingereza baada ya kukalia kuti kavu kwa masaa 24 yalopita hatimae leo mchana atatangaza kujiuzulu baada ya mawaziri 55 kujiuzulu nafasi zao na serikali kushindwa kujiendesha. === Serikali ya Waziri mkuu wa Uingereza amezama katika mzozo ambao athari zake...
  13. B

    Waziri Bashungwa alipotoshwa au aliona orodha kabla ya kutangaza?

    Kigezo cha umri wa mwombaji na kigezo cha mwaka wa kuhitimu kwenye PDF aloitoa anaona kiko Sawa? 2015 kaachwa na 2021 kachukuliwa. Mathematics kuwa arts subjects? Wale watu wa TAMISEMI huwa wanatuona hamna kitu kichwani? Mnakatisha hamu vijana kusoma makusudi ili watoto wenu waendelea kula...
  14. Suley2019

    Rasmi: Simba wamtangaza Mreno Zoran Manojlovic kuwa kocha wao mkuu

    Wameandika mwenye mafanikio yake amefika. Ingawa watu wengi wanahisi atatangazwa Manzoki lakini inadaiwa kuwa atatangazwa kocha raia wa Ureno. Tusubiri hapa mbivu na mbichi === Confirmed Zoran ni 𝗠𝗡𝗬𝗔𝗠𝗔 🦁 Kwa furaha kubwa tunapenda kumtangaza kocha wa makombe, Zoran Manojlovic...
  15. Logikos

    Tangazo la Kutangaza Utalii la Royal Tour linatangazwa kuliko kuhamasisha watu wafanye kilichopo kwenye tangazo

    Nimeona juhudi za Kutangaza nchi (Ni Vema na Haki) ila kuna hili Tangazo la Kutangaza Utalii la Royal Tour nimeona kama sasa linatangazwa na kupewa juhudi yaani ya kuangalia Filamu zaidi hata ya kuhamasisha watu wafanye / waangalie kile ambacho kinatangazwa kwenye hilo Tangazo. Sio vibaya...
  16. Lycaon pictus

    Kutangaza utalii kuendane na kujenga miji ya kitalii. Watalii hawapendi miji michafu.

    Siku hizi watalii wanataka sehemu za kupiga picha na kupost intagram, facebook, whatsapp nk nk. Ndiyo maana miji mizuri ndiyo inaongoza kwa kupokea watalii. Mtu hataki kuja kutalii halafu anakutana na takataka, open sewers, makopo ya maji, barabara za vumbi nk nk Tungerekebisha miji yetu ya...
  17. B

    TAMISEMI Kutangaza selection form 5 leo may 12 2022 ,wanafunzi kureport June 2022

    Breaking: TAMISEMI KUTANGAZA SELECTION FORM 5 LEO MAY 12 2022 ,WANAFUNZI KUREPORT JUNE 2022 Kuona selection tembela Selform.tamisemi.go.tz
  18. I

    Mkataba wa TFF kuipa TBC haki miliki ya kutangaza live mechi zote za NBC premier league ni wa kishenzi

    Kwanza mkataba huu ni wa kifisadi na unazinyima haki ya kibiashara radio za jamii. TBC ni redio ya umma na ina vyanzo vingi vya mapato ikiwa na pamoja na kodi zetu hivyo kuipa hati miliki hiyo siyo haki kabisa kwa radio binafsi ambazo pia zingependa kuwapa uzoefu watangazaji wake na kuongeza...
  19. T

    Je, Tanzania pekee ndio inahofia mfumuko wa bei kushindwa kutangaza kwa uwazi nyongeza ya mshahara?

    Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'... “Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno." "Tumejitahidi sana na kwa sababu...
  20. S

    Afadhali Rais Samia kaukwepa mtego wa kutangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi. Hongera mama!

    Angetangaza nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi hadharani angetia chumvi kwenye kidonda kibichi cha mfumuko wa bei. Jambo hili ni jema na linaonesha ni kwa kiasi gani rais SSH ana uwezo mkubwa wa kufikiri. Mambo 4 yafuatayo ndiyo husababisha mfumuko wa bei 1. Upungufu wa mafuta 2. Tangazo la...
Back
Top Bottom