Mamlaka ya Mawasiano ya Kenya (CA) imetoa tishio hilo kwa vituo 6 vya runinga kwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja ya #Maandamano hayo ya Machi 20, 2023 yaliyolenga kuipinga Serikali yakiratibiwa na kiongozi wa Azimio La Umoja Coalition, Raila Odinga.
CA imevitaja vituo hivyo kuwa ni Citizen...
Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye kongamano la siku ya wanawake duniani ambalo limefanyika Moshi, Kilimanjaro na kuandalia na wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) amesema hakuna ambaye anakataa suala la katiba mpya hata chama chake kiko tayari kwa ajili ya katiba mpya.
"Suala la katiba hakuna...
Kuna tetesi kwamba Chadema wameamua kuweka "silaha chini", na muda si mrefu watatangaza msamaha kwa Mdee na wenzake.
Mkutano mkubwa wa hadhara unapangwa ili kutangaza msamaha huo kwa msingi huohuo wa maridhiano, na wao wajikoshe kwamba hata kwao Kuna wema (charity begins at home).
Itakumbukwa...
NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO
Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro International Marathon ili kuongeza idadi ya washiriki wa mbio hizo na hatimaye kuongeza idadi ya...
Ndugu zangu, binfasi natambua na kuheshimu kabisa hili suala la kufanya Mazoezi ya Utayari kwa sababu lina manufaa lakini bado napata shida sababu za kutangaza matukio hayo kwenye Vyombo vya Habari tena kwa kutaja idadi ya waathirika, aina ya Chombo kilichopata ajali na eneo.
Hivi hawa watu...
Karma is bitch.
Mapenzi ni upofu ila mwisho wa siku unaweza kuona bila kutarajia, wakati unataka muwe familia mmoja yeye anaweza mengine. Nilimpenda sana huyu binti mpaka maisha yangu yamepunguzwa kwake baada ya akiba yangu kumpa ili tu tuwe wote.
Mwanaume nikaona mke ndio huyu nika jitosa...
Hello walimwengu.
Nimesitika sana na kauli yenye ufinyu wa fikra na mizania mbovu sana, dhana yao ya utofauti wa mazingira ya kusomea ya wanafunzi na mashule mbalimbali mbona haijatumika kutunga mitihani tofauti tofauti kama wanalijua hilo, je hawajui kuna shule wanafunzi wanafika form4 bila...
Back to those years, huenda vijana wa Leo hamuelewi hili.
Iko ivi Enzi hizo Matokeo ya Mtihani yakitoka yalikuwa na majina pamoja na candidate numbers,
Ebana ee Kulitokea la kutokea binti wa Rais kipindi hicho 2005-2015. Alifeli peke yake darasa zima Div IV 27 shule maarufu hapo Mzizima...
Nimefuatilia kwa karibu mitizamo kinzani ya wadau wa elimu na wanaharakati mbalimbali baada ya Baraza la mitihani Tanzania kutangaza matokeo kidato cha nne 2022, na hoja kubwa iliyoleta mjadala mtandaoni ni ile ya Baraza la mitihani Tanzania kuondoa utaratibu wa kutangaza shule kumi bora...
Siku ya leo, Baraza la Taifa la Mitihani Nchini Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne na kufuta utaratibu wa muda mrefu wa kutoa orodha na mtiririko wa ubora wa shule kulingana na kiwango cha ufaulu na pia limefuta utaratibu wa kutangaza wanafunzi bora wa mitihani hiyo. NECTA...
Na je, Maadui ( wenye Utaalam na walioiva Kimedani ) hawawezi kutumia Crisis ya Kukosekana kwa Maji na Umeme katika Taifa lolote duniani katika Kujipanga Kimashambulizi na hata Kuliharibu ( Kuliteketeza ) Taifa na Kizazi chake?
ONYO
Katika haya Maelezo yangu hapa sijaitaja nchi yoyote ile sasa...
“Today there is spare capacity that is extremely low,” Saudi Aramco CEO Amin Nasser says at a conference in London. “If China opens up, [the] economy starts improving or the aviation industry starts asking for more jet fuel, you will erode this spare capacity.”
Nasser warns that oil prices...
Wale matapeli wa Vanila village Njombe sasa wamehamia Zanzibar. Na ITV iliyokuwa ikiwatangaza wakiwa Njombe (Vanila village Njombe) ndiyo Sasa inawatangaza wakiwa Zanzibar (Vanila village Zanzibar).
Hawa ITV ndiyo waliohusika kuwatangaza Kaylinda waliochezesha upatu kwenye mitandao na kisha...
Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
1. Umeme wa taabu
2. Maji hakuna hata ya Kuchambia Nnya
3. Maharage Bei Juu
4. Condoms za Kuazimana
5. Watu Milioni Saba ni Mataahira
6. Anayetakiwa kutujali Watanzania kipindi cha shida hatujali na ndiyo anataka kwenda Kuchanja tena Uviko 19 kwa Wachina
7. Wananchi hatuaminiani tena...
Nchi za Opec Plus zimekubaliana kupunguza uzalishaji wa mafuta kwa sababu za kiuchumi. Lakini marekani yakurupuka na kusema Saudia amefanya njama na Urusi ili kupitisha azimio hilo.
Matokeo yake bunge lao wameanza kusema wataanza kupitia upya sera ya mahusiano na kati yake na Saudia.
Naona...
Rais wa Al Hilal amechafua hali ya hewa, hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya leo kutangaza ofa ya kuwagharamia mashabiki wa Simba walioishangili timu yao Jumamosi kwa Mkapa kuwalipia nauli na makazi bure ili waende kuishangilia tena Al Hilal.
Na haya ndiyo majibu ya mashabiki wengi wa Al...
Wengine wanaona kura za maoni kama jaribio la Kremlin kuanzisha upya vita.
Ikiwa Urusi itachukua maeneo haya inaweza kupeleka mzozo katika kiwango kipya na hatari zaidi, huku Moscow ikionyesha juhudi zozote za Ukraine kuyarudisha maeneo hayo kama shambulizi dhidi ya eneo lake huru.
Kuunganisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.