kutangaza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Dondoo muhimu 10 kuelekea uzinduzi wa filamu ya kutangaza utalii wa Tanzania ya Royal Tour

    DONDOO MUHIMU 10 KUELEKEA UZINDUZI WA FILAMU YA KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YA ROYAL TOUR USIKU HUU. Na Bwanku M Bwanku. Usiku wa Leo Jumatatu Aprili 18, 2022 kuanzia Majira ya Saa 8 na nusu Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki, Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan itaweka historia kubwa...
  2. Nyankurungu2020

    Swali fikirishi, mabalozi wetu nchi za nje hawawezi kutangaza na mpaka hiyo kazi afanye mkuu wa nchi?

    Taifa letu lina mabalozi sehemu mbalimbali nje ya taifa letu. Karibu nchi zote tulizo na mahusiano nayo mazuri tumeweka balozi. Ofisi ya ubalozi huwa ni sehemu ya taifa letu huko nje. Kwa sheria za kimataifa ofisi ya ubalozi huko China mfano ni sehemu ya eneo la Tanzania lililopo China...
  3. Magazetini

    Serikali kutangaza ajira mpya 32,000 wiki ijayo, Afya na Elimu kunufaika zaidi

    Waziri Jenister Mhagama akitoa kauli ya Serikali bungeni kuhusu upungufu wa watumishi nchini, amesema Rais ameridhia na kutoa kibali cha kuajiri watumishi 30,000 na wiki ijayo atazitangaza. Waziri Jenister Muhagama: Nasimama hapa kwa heshima kubwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  4. JanguKamaJangu

    Viongozi NCCR Mageuzi wahudhuria mkutano wa TCD licha ya tamko la chama kutangaza kutoshiriki

    Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2022 Mkutano huo unajadili maridhiano ya kitaifa katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. Viongozi...
  5. Roving Journalist

    Kamati ya Bunge: Uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE), Jikite kutangaza fursa za Shahada za Umahiri

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Stanslaus Nyongo (Mb) ameushauri uongozi wa Chuo Kishiriki cha Elimu Mkwawa (MUCE) kujikita kutangaza fursa hasa za Shahada za Umahirii ili kuongeza mapato ya ndani ya chuo hicho. Ameyasema hayo mkoani Iringa mara...
  6. B

    Rais Samia ndani ya Dubai EXPO 2020 kutangaza fursa za biashara na uwekezaji Tanzania

    Na Bwanku M Bwanku. Kwenye Gazeti la TANZANIA LEO la Leo Ijumaa Februari 25, 2022 kwenye ukurasa wa 3 nimechambua hatua ya Rais Samia kushiriki maonyesho makubwa ya Kimataifa ya Uwekezaji na biashara ya Dubai Expo 2020 huko Dubai. Kesho Februari 26, 2022 ni Siku ya Tanzania (Tanzania Day)...
  7. Richard

    Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

    Rais Vladimir Putin akitia saini amri (the Decree) kutambua majimbo ya Donestk na Luhansk kuwa majimbo huru. Picha na Reuters. Rais wa Russia Vladimir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru. Majimbo haya mawili yaliyo upande wa Mashariki mwa...
  8. John Haramba

    Wanajeshi Mali wauawa siku chache baada ya Ufaransa kutangaza kuondoa vikosi vyake

    Jeshi nchini Mali limesema wanajeshi wake wanane wameuawa na watano hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na waasi katika eneo la Kaskazini-Mashariki la Archam. Mapigano hayo yanakuja siku chache baada ya Ufaransa na washirika wake kusema kuwa wanaondoa vikosi vyao kutoka Mali. Taarifa ya...
  9. L

    Kutangaza kwa lugha nyingi na kukumbatia teknolojia kutadumisha umuhimu wa radio

    Na Ronald Mutie Tarehe 13 Februari ni Siku ya Radio Duniani, na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limechagua kauli mbinu ya Siku hiyo kuwa ni “Ndio kwa Redio, Ndio kwa Uaminifu”. Tafsiri yake ni kwamba, bado radio inaendelea kuwa chombo muhimu cha kupasha...
  10. U

    Bora TANESCO Muache kutangaza makato ya umeme, maana ni kila siku

    Lazma mjielewe TANESCO Mtangaze msitangaze lazma mkate umeme, kitu kinachopaswa kutangazwa ni kile kinachotokea kwa nadra sana, Sasa nyie kila siku mnakata umeme, acheni kututangazia fanyeni kazi zenu ukiwepo sawa hata usipokuwepo sawa. Mnatumia mamilioni kila siku kutangaza makatizo ya umeme...
  11. P

    Kutangaza na Jamii Forums

    Habari zenu JF expert members. Nahitaji kujua kutangaza na Jamii Forums gharama zake (kama ni Admin/mod inbox Kwa maelezo zaidi) na wewe mwingine share ujuzi wako kuhusu kutangaza na Jamii Forums. Asante
  12. J

    Waziri Dkt. Kijaji avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru

    Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru Na. Paschal Dotto-MAELEZO Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema kuwa Serikali itaendelea kushirikiana na kufanya kazi na vyombo vya habari katika kutangaza mambo...
  13. The Boss

    Peter Drury huyu jamaa anajua kutangaza

    Hivi ni Mimi peke yangu kama mechi inatangazwa na Peter Drury naongeza sauti EPL?..kuna mtangazaji yeyote anae mkaribia Tu huyu jamaa? Ndo maana mechi kubwa zote huyu jamaa lazima atangaze yeye...jamaa anajua kuweka maneno ya kishairi Poetic. - It is one those places ,one of those...
  14. Greatest Of All Time

    Yanga kutangaza utalii kwenye jezi yao kimataifa

    Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro. Yanga itatangaza bure Mlima Kilimanjaro pamoja na Visiwa vya marashi na karafuu (Zanzibar). "Tumeamu...
  15. James Martin

    Rais Samia amenikosha sana kwa kutangaza azma yake, watoto wa mjini wanaita kupindua meza kibabe

    Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine. Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida. Bila shaka sasa watu...
  16. T

    Royal Tour: Rais Samia aeleza Watanzania faida ya kutangaza utalii kimataifa

    Leo Alhamisi Septemba 02, 2021 Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakati akisalimia wananchi wa eneo la Tegeta Jijini Dar es Salaam amewaeleza Watanzania faida ya kipindi cha filamu maarufu cha Royal Tour chenye lengo la kuitangaza Tanzania Kimataifa kwenye eneo la vivutio vya utalii...
  17. T

    Royal Tour: Faida ya Rais Samia kurekodi kipindi kutangaza utalii kimataifa

    Rais wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ameanza kurekodi kipindi maarufu cha 'The Royal Tour' kwa lengo la kuitangaza Tanzania kwenye Sekta ya Utalii, Biashara na Uwekezaji Kimataifa. Faida ya Mhe. Rais kurekodi Kipindi cha 'The Royal Tour' ●Kipindi kitarushwa kwenye Mabara na Nchi Kubwa...
  18. mshale21

    Rais kurekodi kipindi ili kutangaza utalii, je, waziri wa utalii anafanya nini?

    Wakuu, natumai hamjambo! Jana iliripotiwa kuwa Rais Samia ameanza rasmi kurekodi kipindi kinacholenga kutangaza utalii, waziri wa utalii anafanya kazi gani? Hana ubunifu mpaka mwajiri wake anaamua kubuni njia ya kuitangaza Tanzania kiutalii?
  19. T

    #COVID19 Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu wote waliopata chanjo. Awali, wiki iliyopita, taasisi ya afya na chakula ya Marekani, FDA ilitoa...
  20. The Genius

    Rwanda katuzidi wapi kwenye kutangaza utalii?

    Huyu ni Lionel Messi wakati akiwa anawasili kwenye viunga vya Paris Saint Germain (PSG). Hii video imepostiwa kwenye official page ya PSG yenye mamillion ya followers, video hii hii imetazamwa na wapenzi wa kandanda wengi sana duniani na media kubwa duniani za football kama skysport,bt...
Back
Top Bottom