TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
Screenshot 2025-07-24 201848.png
 
JAMAA ALIjUA kunikosha SANA. Kwa kua taarifa hazijawa approval bas tusubiri tarifa SAHIHI kutoka juuu wakuuuuuuu

Kwishaaaaa

Bro Alex on da beats yooow..... Jah iz really
 
Ni kweli jamaa amefariki. Ametuburudisha sana enzi za utoto, apumzike kwa amani.
 
Wrestling legend, Hulk Hogan has passed away report says medics were dispatched to his Clearwater, Florida home early Thursday morning. Operators stated it was regarding a Cardiac arrest according to TMZ.

FB_IMG_17533754900816558.jpg
 
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
-
-
-
#bbcswahili #marekani #hulkhogan #mieleka #RIP
1000020666.jpg
 
Back
Top Bottom