TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
View attachment 3417082
Enzi za utoto, tuliburudika na muvi zake sana huyu jamaa
 
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
View attachment 3417082
Lilikuwa bonge la baguzi
 
ulikuwa unamuangalia wapi mkuu miaka 70/80
live ulingoni au kwa TELEVISHENI
Mimi nmemuona miaka ya 90 na kina Shawn Michael’s Undertaker, Public Enemy, Ric Flair nk kipindi hi ho tuli kiwa tunaona kupi tia “satelite dishes” Yale maungo meusi World Cup 90 Italia tumeiona tukiwa nyumbani kupitia madishi so ni possible pia kuna watu waliwaona 70’s na 80’s
 
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
View attachment 3417082
 
ulikuwa unamuangalia wapi mkuu miaka 70/80
live ulingoni au kwa TELEVISHENI
Kwenye Tv ila haikuwa
huko
Niko nje zaidi ya miaka 40 sasa
Huko Middle East walikuwa wanaweka sana mieleka tena kwenye migahawa yote kama wewe unavyoangalia Mpira kwenye vibanda umiza

Leo kuna watoto wa wana mieleka wa zamani ambao wamerithi mchezo huu
Tena wengi tu
 
Hata wewe umeshtuka yani ITV ilikuwa miaka hiyo.
😂😂😂😂
Sio kila anaechangia humu anaishi bongo maisha yake yote

Wengine wamezaliwa nje ila wanaongea Kiswahili kama wanangu.

Hapo sijasema nilikuwa naangalizia nchi gani ila waswahili wachoree Duara tu watakuambia ni mtu, wataweka masikio na pua 😂😂😂
 
71 ukitoa umri wa Samia?
Sasa anajichosha nin?
 
Back
Top Bottom