TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

Zamani Sana nilikuwa namfuatilia jamaa miaka ya 90

Akiwa na

1. Tatanka
2. Ultimate warrior
3. Sid Justice
4. Yokozuna
5. British Bulldog
6. Hitman
7. Hacksaw Jim Dagan
8. Razor Ramon
9. Shawn Michaels
10. Bush Wreckers
11. Region of dooms
12. Crush
13. Doing etc

Wrestling ilikuwa njema kati ya mwaka 1993- 1995, baada ya hapo wakaiharibu.
 
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
View attachment 3417082
Mwisho wa enzi.. Rip dude.
 
Mods, naomba huu uzi ufutwe mara moja. Huyu jamaa alikuwa mbaguzi sana kwa watu weusi na ni mfuasi mkubwa wa Trump.
 
Zamani Sana nilikuwa namfuatilia jamaa miaka ya 90

Akiwa na

1. Tatanka
2. Ultimate warrior
3. Sid Justice
4. Yokozuna
5. British Bulldog
6. Hitman
7. Hacksaw Jim Dagan
8. Razor Ramon
9. Shawn Michaels
10. Bush Wreckers
11. Region of dooms
12. Crush
13. Doing etc

Wrestling ilikuwa njema kati ya mwaka 1993- 1995, baada ya hapo wakaiharibu.
Nilikuwa namkubali sana Lex Luger.
 
Nimeshangaa alikuwa na miaka 71 wakati miaka hiyo ya 90 hadi 2000 alikuwa anaonekana ni mzee, au alikuwa ana bleach nywele na ndevu?
Madawa yamewavuruga
Ila huyu labda alitumia kidogo sana
Maana wengine wamekufa hata 40 hawajafika

Huyu mwamba nae kaondoka mazima akiwa na miaka 36 tu
IMG_0796.jpeg
 
Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha.
-
Hulk Hogan alikuwa miongoni mwa nyota maarufu zaidi katika historia ya mieleka lakini pia alikuwa mmoja wa watu waliowagawa sana mashabiki.
-
Tukio lake la kumbwaga Andre the Giant litasalia katika kumbukumbu za milele za mieleka, pamoja na kipindi chake cha kushikilia taji kwa zaidi ya miaka mitatu.
-
Pambano gani au kituko gani unakumbuka kutoka kwake enzi zake za mieleka?
View attachment 3417082
cha muhimu, aliokoka kwa kumkiri Yesu kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yake kabla hajafa, na alitangaza kuwa vitu vyote vinapita, bora watu wampe Yesu maisha, akabatizwa. jifunzeni kwake basi enyi wenye mioyo migumu.
 
Back
Top Bottom