TANZIA Mwanamieleka maarufu Hulk Hogan amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 71, WWE imethibitisha

Mimi nmemuona miaka ya 90 na kina Shawn Michael’s Undertaker, Public Enemy, Ric Flair nk kipindi hi ho tuli kiwa tunaona kupi tia “satelite dishes” Yale maungo meusi World Cup 90 Italia tumeiona tukiwa nyumbani kupitia madishi so ni possible pia kuna watu waliwaona 70’s na 80’s
Kuna vijana wanawajua kina Rock na wengine tunamjua baba yake Rocky Johnson
Au Dusty Rhodes ambae mwanae ni Cody Rhodes

Lakini hata wao wakizeeka watabishiwa hivi hivi 😂
 
Naona kaenda kuungana na mwanae wa mega powers, mr macho man aliye fariki 2011.

#monster maniacs, #mega powers.

Kiranga, Kichuguu mna wakumbuka hawa.
View attachment 3417103
Huyu jamaa alituburudisha sana Wrestlemania. Kuna watoto walikuwa wanataka kuiga eti 😂😂😂

Umkute huyu kakutana na Dusty Rhodes (mimi nilipokuwa ndogo nilikuwa namuita Dusty Rose 😂😂) utafurahi mwenyewe.
 
Mimi nili wahi kuiga ile spear ya Goldberg, nika ishia kumfanya mtu atapike kudadadeki 😂😂.

hapo full kukodoa macho, ili uka hadithie kesho
 
Huyu jamaa alituburudisha sana Wrestlemania. Kuna watoto walikuwa wanataka kuiga eti 😂😂😂

Umkute huyu kakutana na Dusty Rhodes (mimi nilipokuwa ndogo nilikuwa namuita Dusty Rose 😂😂) utafurahi mwenyewe.
Na mwanae kafuata nyayo ila hakumfuata unene 😂
 
Back
Top Bottom