Hivi ni Mimi peke yangu kama mechi inatangazwa na Peter Drury naongeza sauti EPL?..kuna mtangazaji yeyote anae mkaribia Tu huyu jamaa?
Ndo maana mechi kubwa zote huyu jamaa lazima atangaze yeye...jamaa anajua kuweka maneno ya kishairi
Poetic.
- It is one those places ,one of those...