Akizungumza Oktoba 27, 2026 Jijiji Dar es Salaam, Katibu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika amesema chama hicho kimemuandikia barua rais wa Kenya William Ruto kufuatia taarifa za kutekwa kwa kada wa chama hicho Twaha Mwaipaya nchini humo.
Soma Pia: Twaha Mwaipaya atekwa...
Hii ndio hatus waliochukua wanaharakati nchini Kenya na kesho ndio watatinga mahakamani
Chanzo; Akaunti ya X ya Hilder Newton yenye taarifa rasmi kuhusu habari hii.
Kuna baadhi ya watu wanaona kama vile CCM au Serikali yao inaonewa Kwa kutumiwa kuhusika na utekaji mfano mzuri suala lile la mabinti waliomaliza form iv walivyorecord na kutoa maneno ambavyo hayana maadili Serikali ilireact haraka kupitia waziri Gwajima na Sio tu hili mambo mengi ambavyo...
Serikali ya Kenya kupitia Ofisi ya Msemaji wake Charles Owino Wahong'o imesema bado haijapokea taarifa rasmi kutoka kwa taasisi yoyote kuhusu madai ya kutekwa kwa mwanaharakati na Mwanachama wa CHADEMA Twaha Mwaipaya, anayedaiwa kutekwa katika eneo la Kamulu, Kaunti ya Machakos nchini Kenya...