kutengeneza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mlionielewa, nisaidieni kutengeneza playlist moja hatari

    Kuna mskaji kanipa mizuka, kanikumbusha mbaaaali saaaana. Aisee embu turudi nyuma kidogo... Crazy gk - sauti ya manka J nature - mtoto idi Ay - yule Fa - unaowa lini, alikufa kwa ngoma, hawajui tulipotoka, natamani, ingekuwa vipi, mabinti, kiboko yangu Mandojo n domo - dingi, taswira, wanoknok...
  2. I

    Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana. Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha...
  3. R

    Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni

    Niko na ujuzi wa kutengeneza sabuni Aina tatu nazo ni sabuni za miche, sabuni za maji, sabuni za unga, pamoja na mufata ya mgando na lotion tofauti tofauti. Ila mpaka sasa nimebaki na ujuzi mtaji sina hivyo naomba kwa mwenye kuvutiwa na hili njoo tufanye biashara
  4. M

    Kama unatoka ukoo huu jukumu la kutengeneza ukoo mwingine tajiri linakuhusu

    Dhana kuwa mambo hufuata watu ndani ya ukoo ina ukweli wake na mifano yake ipo wazi tu, tukiachana na mfanano wa vinasaba pia hata mazingira huchangia hali hiyo japo kwa ulimwengu wa kiroho watalaam wanasema kuna roho huwa zinatembea ndani ya ukoo fulani. Ulimwengu wa kitajiri na maskini kuna...
  5. Nadhani Mgawo wa umeme ni wa kutengeneza na TANESCO wahujumu uchumi

    MASWALI MAGUMU KWA TANESCO NA SERIKALI YA CCM. 1.Miaka 5 ya Magufuli umeme haukukatika hovyo hovyo kama sasa, hayati alitoa wapi umeme? 2.Hivi TANESCO na CCM hamkujua ya kwamba mpaka kufikia 2024 population ya Tanzani itakua watu milion 62 na matumizi ya umeme yataongezeka? Long term plans...
  6. Jinsi ya kutengeneza kinywaji cha lemonade mocktail (mojito) nyumbani

    I hope mko vyema Ni kinywaji kinachopendwa na watu wengi na ni kitamu sana Naomba kushare nanyi sikumoja moja muwe mnaenjoy hata mkiwa nyumbani LEMONADE MOCKTAIL mahitaji: Glass 1 Msukumio au kifaa Cha kupondea mchanganyiko wako Ndimu/limao 1 Majani ya mnanaa(mint) Sukari kijiko kimoja sio...
  7. T

    Putin: Urusi iko Karibu kuzindua Chanjo ya Saratani

    Rais Putin amesema leo kwamba nchi yake ya Urusi iko mbioni kizundua chanjo dhidi ya Saratani ama Cancer. --- MOSCOW, Feb 14 (Reuters) - President Vladimir Putin said on Wednesday that Russian scientists were close to creating vaccines for cancer that could soon be available to patients. Putin...
  8. eBay kulipa Dola Milioni 59 kwa mauzo ya zana za kutengeneza dawa kinyume cha Sheria

    eBay imekubali kulipa $59m (£46.3m) kutokana na madai kuwa iliuza vifaa vinavyoweza kutengeneza dawa za kulevya. Idara ya sheria ya Marekani ilikuwa imedai kuwa maelfu ya mashine za kutengenezea vidonge na mashine za kufungia ziliuzwa kwenye tovuti, ikiwa ni pamoja na kwa watu ambao baadaye...
  9. Kampuni ya Energizer imeanza kutengeneza Simu ya Smartphone Yenye Uwezo wa kukaa na Chaji kwa Muda wa usiopungua Siku 50 bila kucharge tena

    Simu kutokaa na chaji huwenda ikawani ni moja kati ya lalamiko kubwa kwa wamiliki walio wengi wa simu janja (smartphone). Vipi ukipata simu ambayo inakaa na chaji kwa muda mrefu, huwenda ikawa ni furaha ya kudumu kwako. Basi fahamu kuwa kampuni ya ''Energizer'' imekuja na aina mpya ya simu...
  10. Siku Atheists wakiweza kutengeneza pumzi ya uhai na ku-escape death basi ntaungana nao

    Kama kinavyosema kichwa cha habari siku wakiweza kufanya hayo mambo mawili basi ntaungana nao kwenye msimamo wao tofauti na hapo ni porojo tu. Hivyo vitu viwili ndo mafumbo makubwa yaliyomfanya mwanadamu na ujanja wake wote aufyate.
  11. Kutotaja jina la papa wa madawa ya kulevya ni kutengeneza mazingira ya ufisadi

    Jana Kamishina wa Mamlaka Kudhibiti na kupambana na madawa ya kulevya (DCEA) Bw. Lyimo alitangaza kumnasa mmoja wa Mapapa wakubwa duniani wa biashara ya madawa ya kulevya akiwa na wenzake watatu. Papa huyo aliyekamatwa na zaidi ya gram 600 za cocaine hajatajwa jina hivyo hakuna mwananchi ye yote...
  12. Namna gani ya kutengeneza pesa kwa kijana asiye na ajira ya kuajiriwa

    Habari wandugu, Napenda wasilisha mada hii tajwa karibuni tujadili maaa naona maisha sasa ya kukosa pesa yanatukaba koo sisi vijana tunaosubiri ajira za utumishi maana hata inaafikia hatua tunakosa laki 2 ya kukodi hekari za shamba ili kulima
  13. Kiwanda cha kutengeneza rainboot (Danlop) kiko wapi?

    Msaada kwa anayejua kilipo kiwanda cha kutengeneza rain boot (wanavyotumia wakulima) kwa hapa Dar es Salaam. Natanguliza shukran.
  14. Hivi wakemia ulimwenguni kote wameshindwa kabisa kutengeneza dawa ya kutibu UKIMWI?

    Ni kweli wameshindwa kabisa kugundua dawa ya kutibu Ugonjwa wa Ukimwi au wana maslahi na ugonjwa huu? Kwa miaka mingi tangu ugonjwa huu ulipogundulika kumekuwa na taarifa nyingi zenye utata kuhusu tiba yake, mara tiba yake inafanyiwa uchunguzi na majaribio lakini hadi leo bado ni kizungumkuti...
  15. Uchunguzi: TB Joshua aliwanyanyasa na kuwabaka wafuasi wake

    Ushahidi wa unyanyasaji ulionea na mateso kutoka kwa mwanzilishi wa mojawapo ya makanisa makubwa ya kiinjili ya Kikristo duniani umefichuliwa na BBC. Makumi ya waumini wa zamani wa Kanisa la Synagogue Church of all Nations - watano Waingereza - wanadai ukatili, ikiwa ni pamoja na ubakaji na...
  16. Njia 5 bora za kutengeneza pesa online 2024

    Watu wengi Wamekuwa wanataman kutengeneza pesa online na hawajui ipi njia bora na nzuri zaidi, kwanza toka hii kitu akilini mwako kwamba ukianza kitu after 5-7 days unaweza toboa kwa hiyo kitu. watu wengine wamekuwa wanagive up katika sehemu mbalimbali tena online tunaona vijn wengi wanasema...
  17. Naomba kufundishwa namna ya kutengeneza animation ya Automatic Power Factor Correction ya kiwanda kidogo(Small Factory)

    Wanajamii habari zenu ,ninaomba msaada wa kielimu kwenye suala hili la kutengeneza animation ya automated power factor correction system kwenye kiwanda kidogo . Pia na namna ya kuandika literature review ya project work ya hii kazi.
  18. Msaada kutengeneza picha mbao.

    Wakuu habari.... nimekuja kwenu kuomba msaada kwa mwenye ufahamu na ujuzi wa kutengeneza picha mbao anipe tips, potential info na utaalam juu ya hii issue
  19. Naomba msaada namna ya kutengeneza portfolio ya kazi

    Mwenye ujuzi ni namna gani naweza kutengeneza portfolio kwa ajili ya kuonesha kazi nilizofanya. Naomba anisaidie maana sifahamu wapi nianzie.
  20. Wanne wakamatwa kwa kutengeneza Pombe Kali 'Feki' Morogoro

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…