kutia nia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bovan Mwakyambiki achukua Fomu kutia nia Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

    Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAMWA yataka wanawake watakaojitokeza kutia nia kwenye Uchaguzi waungwe mkono

    Wakuu, Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA) Joyce Shebe amesema wanawake watakaoonesha nia ya kugombea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 wanapaswa kuungwa mkono na jamii ili waweze kutimiza ndoto zao za kuwa viongozi. Ushauri huo ameutoa Jijini Dodoma katika...
  4. JamiiForums Tanzania Lisu Kutia Nia, Kwa Nini Kelele Za Kuchanganyikiwa Zinatoka Zaidi CCM?

    Jana Tundu Lisu, kwa kutekeleza matakwa, uhuru na haki ambayo chama chake kinatoa kwa wanachama wote, alitangaza nia yake ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Chake Ngazi ya Taifa. Wakati jambo hili ni la kawaida kabisa kwa vyama vyenye demokrasia, huko CCM watu wamechanganyikiwa na kutoa...
  5. JamiiForums Tanzania Nguzo 7 za Mafanikio Kupitia Manifestation, Nguzo Kwanza ni Kuijua Asili ya Manifestation, Kuwa na Ndoto, Kutia Nia, Kuamini, Kuthubutu, na Kutenda

    Wanabodi, Nipashe ya Leo 16/06/2024 NGUZO 7 ZA MANISTATION Hili ni bandiko mwendelezo wa wiki iliyopita. Kama hukulisoma bandiko la kwanza, anzia hapa Siri ya Mafanikio Kupitia Manifestation -1: Manifestation ni Nini? Kwa wasomaji wapya, wiki iliyopita niliintruduce topic ya kitu kinachoitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…