The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
Soma, Pia: Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa
Soma, Pia: Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa