Hilo Jimbo atakayegombea kupitia upinzani ajiandae kufanyiwa vitimbi.Wao wenyewe wanaosema tumerekebisha Sheria wananyimana fomu. Ndo uje kupewa fomu wewe unaegombea kupitia upinzani.
No Reform No Election ✊️✌️
Uko sahihi kabisa.Mi-ananchi ni mizoba imejikalia tu. Haijui haki zao.Katika TAIFA jepesi kuliongoza ni Tanzania HAPA Duniani.
KAZI ni kipimo cha utu
Wakiambiwa reforms zina faida hata nyie ccm, maponjoro wanaimba mitano tenaaa au mamaaaa tunatiki.Moja wapo ya sababu za kuhitaji reform
Millard Ayo ndiyo SI Unit ya habari ya kweli!!??Mpaka dakika hii , hii habari haipo millard ayo lakini kuna Habari ya Mchegerwa kuchukua form pamoja na mkewe.
Hii ndio Ccm inayo hubiri uchaguzi huru na haki.Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI.
Soma, Pia: Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa
SI wamesema reforms zimeshafanyika ??Moja wapo ya sababu za kuhitaji reform
Lengo langu ni kuonyesha Millard anavyoiharbu brand yake.Millard Ayo ndiyo SI Unit ya habari ya kweli!!??
Mkuu ukiona kaya moja hapo mtaani Baba anabaka hadi mabinti zake, mama anatembea hadi na Wavulana wake au kuwachungulia bafuni chunga sana hiyo familia isijihusishe na jamii bila kuwa na reforms katika sheria zenu mtaani maana ushenzi wao watauleta kwenye jamii!Mtawaelewa tu CHADEMA hata kwa kuchelewa.