GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
1. Mama mkwe katia mpinzani wake gerezani.
2. Mkwilima kamyima mpinzani wake fomu.
3. Mkwilima kaiba uchaguzi serikali za mitaa.
4. Binti ya mama kat... Mpinzani wake.
5. Mtoto wa mama kat... Mpinzani.
Waraabu weusi ni hatari kwa amani ya dunia.


 
Nimekuwa nawaangalia vidomo domo vya humu wanaosema nanyinyi si mkachukie fomu mnapiga kelele humu. Tuliwakalia kimya, sababu kuna watu hufikiria kwa miguu na si kichwa.

Kuna watu wanajitosa kuchukua fomu, ila hawatopitishwa, sababu wana watu wao na majina yapo tayari. Sasa huyu ndiyo kanyimwa kabisa. Haya mko wapi mje kuwaambia watu wakachukue fomu, malako yenu.
Kuna watu watapata Stroke, Maana wanatumia Pesa nyingi kuhonga then watakatwa.
Hapo ndo maumivu huanzia.
 
Kada wa Chama Cha Mapinduzi wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amejikuta katika hali ya mshangao baada ya Katibu wa Chama hicho wilaya ya Rujifi kumnyima fomu ya kukiomba Chama chake kumteua kugombea Ubunge wa Jimbo la Rufiji, Matwebe anatajiwa kuchuana na Mbunge anayemaliza muda wake Mohamed Mchengerwa ambaye ni Waziri wa TAMISEMI

View attachment 3390269
Haahaa hii ndo ccm sasa, Kuna wenye chama na wanachama...
 
Ccm kuna vituko sana.
Screenshot_20250701_150256_Instagram.jpg
 
Mpaka dakika hii , hii habari haipo millard ayo lakini kuna Habari ya Mchegerwa kuchukua form pamoja na mkewe.Nadhano mnaona Millard anavyoiharbu brand yake.
 
Aliyezoea vya kunyonga ????
Mchengerwa amezoea kunyonga. Lakini rufiji siyo temeke.
 
Back
Top Bottom