GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

GE2025 Mshindani wa Mchengerwa ndani ya CCM adai kunyimwa fomu kutia nia ubunge Rufiji

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lengo langu ni kuonyesha Millard anavyoiharbu brand yake.
1751374487860.jpg
 
Yani reforms inafaida kwa wote hadi nyinyi ma ccm mkionewa kwenye li chama lenu mnauwezo wa kugombea na kupita kwenye Chama kingine
 
Nimekuwa nawaangalia vidomo domo vya humu wanaosema nanyinyi si mkachukie fomu mnapiga kelele humu. Tuliwakalia kimya, sababu kuna watu hufikiria kwa miguu na si kichwa.

Kuna watu wanajitosa kuchukua fomu, ila hawatopitishwa, sababu wana watu wao na majina yapo tayari. Sasa huyu ndiyo kanyimwa kabisa. Haya mko wapi mje kuwaambia watu wakachukue fomu, malako yenu.
😄
NRNE

ova
 
Wakuu,
Tulisisitiza sana kwamba haya mabadiliko ya sheria za uchaguzi yaliyoanza kudaiwa toka enzi za akina Mchungaji Mtikila mwaka 1992, kisha na wananchi wengi kupitia maoni yao katika rasimu ya katiba kwa tume ya Warioba kwa ufupi yana manufaa kwa wananchi wote,na vyama vyote kama tunataka kuendesha uchaguzi wa haki na hivyo kulinda amani.
Mpinzani wa Mchengerwa katika kiti cha ubunge bwana Shaaban Madobekatika amelalamika kuwekewa zengwe na katibu wa ccm,wilaya kwa kumnyima fomu ya uchaguzi kwa sababu ambazo hazieleweki ili Mchengerwa apite bila kupingwa katika kura za maoni ndani ya chama .

Hayo yasingetokea kama kungekuwa na mabadiliko ya sheria za uchaguzi.
 

Attachments

  • Mwenyekiti_wa_mitandao_ya_kijamii_Shaban_Omary_Matwebe_ambaye_ni_mtia_nia_jimbo_la_Rufijii_ame...mp4
    2 MB
Back
Top Bottom