MADAKTARI BINGWA KCMC KUTUOA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITAL YA TPC
Moshi.
Hospital yenye hadhi ya nyota nne inayomilikiwa na kiwanda cha Sukari cha TPC,ipo katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kuingia makubaliano ya ushirikiano na Hospital ya Rufaa ya KCMC kwa ajili ya kutumia madaktari...
Ni namna gani unaweza kumueleza mwenzi wako, mathalani kwenye tupu, mdomoni, maskioni, kichwani, puani, kwapani, miguuni au mwilini kwa ujumla kwamba kunatao hewa na harufu kali na ngumu kuivumilia wala kuistahimili na asiweze kujiskia vibaya?
Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa.
Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji.
Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
Uwongozi wa Club ya Simba ni wakati sahihi sasa kujifunza jinsi ya kuendesha Club kisasa na siyo kisiasa.
Tukianzia Kwa upande wa watani zetu Yanga,tangu GSM apewe timu Club ya Yanga imebadilika sana kiuwendeshaji.
Wamejitahidi sana katika kufanya sajili bora kitaalamu na siyo kuokota okota...
Kwema,
Msaada jinsi ya kutoa matangazo uchwara kwenye simu yangu. Yaani nikiwasha data matangazo ya hovyo yanakuja mara 1× bet, yaani ya hovyo hovyo tu. 😫😫😫
Msaada please.
EWURA kupitia Mkurugenzi wao naona wanamvimbia Mh BITEKO, Hali ya utoaji huduma ya gesi asilia kwa magari ni mbaya sana! watu wanaenda kujaza magari vituo viwili tu Tanzania nzima kweli? tena wanakaa hadi masaa matatu kupata huduma
Kuna kampuni ya Dalbit tunaona imekamilisha kujenga kituo cha...
Kama kichwa cha habari. Naona huu utaratibu wa mbunge kupiga kelele ' taarifa, taarifa, taarifa' una distract anayeongea.
Yaani mimi huwa hata siwaelewi, unavuruga kabisa flow ya mchangiaji na hata usikivu kwa sisi wasikilizaji.
Nadhani hicho kipengele kiliwekwe kwa nia nzuri na Mabunge ya...
Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni.
Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri.
Katika Katiba...
Unajua ipo verse katika Kitabu cha Ayubu inasema: "Who is this cluttering the airwaves with unsound doctrine?"
Wastaafu wanatoa maoni yao kama watu wengine wanavyotoa maoni yao; wastaafu wanatoa maoni yao kama senior citizens, yaani, watu wa makamu wanatoa maoni,watu wenye umri wa miaka 70...
Wakuu,
Hivi mambo hayawezi kuanza kwa kumshukuru Mungu pekee na kwenda moja moja kufanya kilichokupeleka? Au kushukuru viongozi wengine waliojitoa kwa ujumla wao bila kutaja mtu mmoja mmoja na tuona watu wanasifiwa kwa kukamilisha tu majukumu yao utafikiri kodi zetu hazitumiki kwa wao kufanya...
Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa.
Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa.
Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...
Akiwa bungeni katika katika Mkutano wa 13, Kiako cha 1, leo Oktoba 31, 2023 Spika tulia amesema, ili waweze kukomboa Muda bunge liwe limepokea pongezi zote kwa mujibu wa kanuni zake, na sio kila mbunge akianza kuongea aanze kwanza kutoa pongezi.
Lakini wanatumia akili wapo makini, hawaingii kichwa kichwa kama Warusi walivyofanya Kyiv na kuangukia pua, hawa wanaingia kiaina yaani kikomando, na mpaka sasa wako Gaza ndani wanasukumiza kichapo.
Inabidi kutumia akili maana magaidi ya kidini sio wapiganaji wa kawaida, lazima utumie ukomando...
Kwa mara nyengine nchi za kiarabu ambazo zina udugu wa damu na kiimani na wapalestina wamekutana mjini Dubai na kutoa maneno yale yale ambayo wameshayasema mara nyingi.
Safari hii wamekutana katika wakati mgumu kuliko miaka yote tangu mzozo baina yao na Israel uanze. Katika hali hiyo wametoa...
Wakati baadhi ya Walalamikaji hao wameanza kuvaa sare za ccm , huku wengine wakihutubia kwenye Majukwaa ya CCM, imetangazwa kwamba hukumu ya kesi yao dhidi ya Chadema itatolewa Desemba 14 2023.
Ikumbukwe kwamba Halima Mdee na wenzake , akiwemo Dada yangu Sophia Mwakagenda walifungua kesi...
Hwl
Watu wengi wamekuwa wakipata Matatizo ya tumbo kujaa gas baada ya kula maharage na kujamba Sana.
Fanya hivi hakikisha katika maharage yako unayaunga na kuweka Sukari kidogo, unaweka tangawizi na limao kwa kufanya hivyo utakula maharage bila kukuletea shida Asante.
Salaam leo jumapili siku ya Bwana.
Kwenye mada.
Kwa hali hiyo sitegemei kusikia wanafunzi wa degree wamekosa ufadhili huu muhimu wa mkopo wa elimu ya juu.
Kwa sababu kama sikosei hili ndio lengo kuu la bodi ya mikopo ya elimu ya juu.Kuanzia degree kwenda juu.Kama ipo ya ziada basi sawa na...
Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa.
Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani.
Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni...
Je, umekua na shauku ya kutaka kujua Fedha haramu ni zipi na kwa nini zinataroshwa?
Karibu ujiunge nasi katika Mjadala na Wataalamu wa Uchumi utakaofanyika Alhamisi ya Oktoba 19, 2023 kuanzia Saa 12 Jioni hadi Saa 2 Usiku kupitia Xspaces ya JamiiForums
Katika Mjadala huu tutaangazia nini Maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.