kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MamaSamia2025

    Ninajitolea kutoa namba za machimbo ya China kwa wapambanaji wenzangu

    Ili kuunga mkono ilani ya uchaguzi ya CCM leo nami nimeona nichangie angalau connection ya machimbo kadhaa ya vitu mbalimbali huko China. Haya ni machimbo ambayo nimekuwa nikifanya nayo kazi kwa miaka kadhaa sasa. Ninatumaini itasaidia kwa wapambanaji ambao wanahangaika kupata connection hadi...
  2. jerryperry2020

    Wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele

    Nawasalimu wadau Bila kupoteza muda, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele na kuziweka ndani, hii hali nimeiona zaidi nikiwa mkoa wa dodoma. Sasa sijui ndo mageuzi au basi tu ni kupungua kwa...
  3. BARD AI

    Wizara ya Afya kutoa Chanjo ya Polio kwenye Mikoa inayopakana na nchi jirani

    Zaidi ya watoto 402,000 wa mkoa wa Songwe wanatarajiwa kupata chanjo ya polio katika zoezi linalotarajia kuanza Septemba 21 hadi Septemba 24 mwaka huu. Ofisa Program Wizara ya Afya, Idara ya Kinga, Penford Joely amesema hayo alipozungumza na mwandishi wa habari hizi kuhusu kampeni ya kuanza...
  4. BARD AI

    Wastaafu waweka ngumu Serikali kutoa Elimu ya Katiba kwa Miaka 3

    Mpango wa Serikali kutumia miaka mitatu kutoa elimu ya Katiba kwa wananchi kabla ya kuendelea na mchakato umepata upinzani mpya baada ya mawaziri wakuu watatu wastaafu kuhoji sababu za uelimishaji huo. Mawaziri wakuu hao ni, Cleopa Msuya na Frederick Sumaye na Jaji Joseph Warioba kwa nyakati...
  5. anti-Glazer

    Usithubitu kutoa fedha benk kwenda halopesa Kwa NMB Mobile inakula kwako

    Wakuu this is the second time yananikuta. Nilifanya transaction kweny 🏧 pesa niipokee Kwa wakala ikakwama ilikuwa miez kadhaa myuma. Wakati mwingine nikajitoa ufaham nikaweka fedha ndefu kutoka mwenye ATM kwenda Kwa halopesa kuepuka kutembea na banch of money. Yakanikuta tena jaman huu...
  6. Suley2019

    Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  7. dyuteromaikota

    Mamlaka ya kutoa leseni za udereva angalieni watu mnaowapa hizo leseni

    Unakuta mtu yupo yupo tu lakini basics za barabarani hajui hata kidogo. Mtu ameblock barabara na wala haoni shida. Mtu amekukuta umepaki sehemu anakuja kukublock ushindwe kutoka mpaka umuite! Mbaya zaidi wakati anapark kulikuwa na nafasi kubwa tu ya kumfanya asikublock. Inaudhi sana.
  8. Nsanzagee

    Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  9. JanguKamaJangu

    Mwanza: Mradi wa maji Butimba wafikia 94%, utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15, 2023

    Mradi wa maji Butimba wafikia asilimia 94, kuongeza upatikanaji wa maji kutoka lita 90 hadi 138. Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya Sh69 Bilioni unaojengwa eneo la Butimba jijini Mwanza umefikia asilimia 94 na utaanza majaribio ya kutoa maji Septemba 15 mwaka huu. Waziri wa Maji, Jumaa...
  10. Baraka Mina

    Dkt. Shoo: Kanisa litaendelea kutoa waraka

    Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dkt. Fredrick Shoo akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya KKKT jijini Arusha amesema kanisa litaendelea kukemea yale yote ambayo yapo kinyume. Katika kufanya hivyo, kanisa lisihesabike kuwa linachanganya dini na siasa bali Serikali...
  11. Nkaburu

    Wenye masikio wasikie na Wenye macho waone: Bunge linawaalika wadau kutoa maoni

    Kamati tatu za Kudumu za Bunge zinawaalika wadau kutoa maoni kuhusu Itifaki mbili na Katiba ya Tume ya Afrika ya Usafiri wa Anga ya mwaka 2009
  12. GENTAMYCINE

    Kwahiyo mnataka kumtoa Phiri mnayemchukia kwa Mkopo ili mumlete huyo Mtogo wenu aliyekubali kutoa 10% Kwenu?

    Salim Abdallah Mhene ' Try Again' Mimi GENTAMYCINE nakuonya kwa mara ya mwisho na huyu Mshambuliaji wangu Kinara na Kwangu Mimi ndiyo namba Moja Simba SC Moses Phiri akitolewa kwa Mkopo au Akiachwa kama ambavyo unapanga na Kushinikiza utanisamehe mno kwani nitaenda Kufunguka mengi yanayokuhusu...
  13. R

    Nani mwenye mamlaka ya kutoa tamko la kiserikali Tanzania?

    Nimeona tamko la Nape, nikajiuliza yeye anayo mamlaka yakutoa tangazo kama lile? Kwanini kukamatwa na kuwekwa mahabusu watuhumiwa iwe jukumu la Nape kutangaza? Mfumo wa serikali upo vipi?
  14. Analogia Malenga

    "‘Kwa Usalama wa Taifa" kichaka cha kunyima uhuru wa kutoa taarifa na kuhabarishwa

    Prof Chachage S Chachage ni kati ya watu waliokuwa mstari wa mbele kwenye kutetea uhuru wa kuongea, kupata taarifa na kuhabarishwa. Suala hili liko wazi kwenye kazi zake ikiwemo Makuadi wa Soko Huria na kazi nyinginezo ambazo ameonesha uhitaji wake wa kuwa na uhuru wa kutoa na kupata taarifa...
  15. R

    Tatizo ninaloliona si kushitakiwa Mwabukusi na Mdude bali uhuru wa vyombo vya kutoa haki

    Hii si kesi ya maana ni ya kubumba. Kama tungelikuwa na mahakama huru, wangeliachiwa siku ya kwanza ya mention! Tatizo ni majaji kama wale watatu wa Mbeya! Ndio mwendo wa dictators wa Afrika.
  16. Mzalendo Uchwara

    Bunge linawaalika kutoa maoni ya muswada wa kulinda rasilimali za taifa

    Kweli wamedhamiria, mnaalikwa kwenda kutoa maoni juu ya mabadiliko ya sheria mbalimbali kama tangazo linavyoonekana. Miongoni mwa sheria zinazobadilishwa ni 'The natural wealth and resources act". Ni wazi kuwa mabadiliko hayo yanafanyika ili kuhalalisha haramu ya mkataba wa DPW. Kazi kwenu...
  17. Kichwamoto

    Je, wabunge wa CCM wenye akili wametishwa kutoa maoni mkataba wa Bandari?

    Habarini nyote, Kuna kila ishara ya wingu la utisho mkubwa dhidi ya wabunge wa CCM wenye akili ambao kwa hakika wanajua fika huo mkataba wa Bandari ni utopolo na umangungo mtupu. Na nadhani awamu hii huo utisho ni mithili ya mkondo wa maji ajali ya meli ya titanic. Hadi wabunge makini...
  18. Emmanuel Mkwama

    Je, serikali inashindwa kutoa mikopo ya trekta kwa wakulima wajasiriamali?

    Wanajukwaa heri nyingi ziwafikie. Dhumuni la kuja kwenu leo, ni kujaribu kushare nanyi kuhusu inshu ya serikali yetu kushindwa kutoa mikopo ya tractor kwa wajasilia mali wakulima wenye kumiliki mashamba kwanzia heka 10 na kuendelea. Natumai hili swala ni zuri sana kama wenye kulifanya hili...
  19. SAYVILLE

    Hili zoezi la kutoa documentary, Yanga wamekurupuka

    Nimeona kipande cha documentary ambayo Yanga wametangaza kwenda kuizindua wiki ijayo. Nimekuwa na kawaida ya kuikosoa Yanga na pamoja na vigurunyembe fulani humu JF kunidhihaki au kuleta mabishano yasiyo na maana, nimeona mara kadhaa yale ninayoyasema wahusika wanayarekebisha mara moja. Kwa...
  20. BARD AI

    Utoaji Fomu za PF3 bado una utata Nchini licha ya agizo la Serikali tangu miaka 7 iliyopita

    Miaka saba tangu Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu alipoagiza fomu ya Polisi namba tatu (PF3) kutolewa hospitalini na miaka miwili baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mabadiliko ya utaratibu wa kudai fomu hiyo kabla ya tiba kutolewa, utekelezaji wa maagizo hayo umegubikwa na utata. Agosti 22...
Back
Top Bottom