Tupo kwenye dunia ambayo mageuzo ni makubwa na athari ni kubwa hasa kwa jamii ambayo haijajiandaa.
Mbaya zaidi mageuzo hao hayajali umejiandaa au hujajiandaa, umeelewa au hujaelewa.
Hivi leo, kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ikiwemo maendeleo ya teknolojia, dunia inakabiliwa na changamoto...