kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kirchhoff

    2030: CCM kutoa Wagombea Wapya JMT na Zanzibar

    Matokeo ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Taifa yamewatangaza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Pamoja Na Rais Dkt Hussein Ali Mwinyi Kuwa wagombea Urais 2025-2030. Marais hawa watakuwa wanakamilisha Ngwe zao za Pili za Uongozi katika Ngazi ya Urais Katika Serikali za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. P

    DODOMA: CHADEMA Mkoa wa Dodoma wamkataa kata kata Mbowe wasema Kwa sasa ni Lissu Wanakuwa ni Mkoa wa 20 kutoa azimio hilo kati ya Mikoa 31

    https://www.youtube.com/live/3eUZr56l98U?si=Ri2UPJYSDc5O1vN2 Tuache Kudanganyana Mbowe hawezi kushinda huu Uchaguzi tuweni wa kweli na Mungu atatubariki Mbowe hatakiwi kabisa. Mjumbe hata kama utapewa pesa toka CCM ili umchague Mbowe usifanye hivyo utakiua chama.
  3. Financial Analyst

    Kutokana na hii story yangu hauwezi nikuta humu nashabikia kutoa watoto EMs na ISs na kuwapeleka kayumba

    IT IS A SIMPLE STORY BUT VERY MEANINGFUL.... Kile kipindi cha shule za EM zimeanza kuingia bongo kiliwakuta wazazi wangu wamejaliwa na Mungu uwezo. Wakaamua wanitoe kayumba na kunipeleka EM. Kufika kule wale walimu walishangaa ni namna gani napaswa kuwa darasa la sita, wakati hakuna...
  4. Magical power

    Kutoa na kupokea, ni moja ya sheria ya ulimwengu

    Kutoa na kupokea 👇👇 👉sheria ya ulimwengu. Hii ni moja ya sheria ya ulimwengu /universal laws. Muda wote ulimwengu unatoa Ulimwengu unatoa uhai , Ulimwengu unatoa Baraka Ulimwengu unatoa maumivu kwa watu na vitu. Ulimwengu unatoa fursa mbalimbali kwa watu . Ulimwengu unatoa maarifa nk...
  5. Stephano Mgendanyi

    Sekondari Mpya Kijijini Muhoji: Wazazi Waamua Kutoa Chakula cha Mchana kwa Watoto Wao

    SEKONDARI MPYA KIJIJINI MUHOJI: WAZAZI WAAMUA KUTOA CHAKULA CHA MCHANA KWA WATOTO WAO Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21, lina Sekondari za Kata 26 na 2 za Binafsi. Sekondari mpya 6 zimepagwa kufunguliwa mwaka huu. Matayarisho ya kuanza ujenzi wa sekondari nyingine sita (6) yamekamilika...
  6. Roving Journalist

    ACT yaipongeza Tume ya Haki za Binaamu kutangaza kuchunguza mauaji yaliyotokea Kaskazini 'A' Unguja

    TAARIFA KWA UMMA ACT Wazalendo tunaipongeza Tume ya Haki za Binaamu na Utawala Bora (THBUB) kwa taarifa yake iliyotoa kwa umma kwamba inafuatilia matukio mawili ya mauaji yaliyotokea hivi karibuni hapa Zanzibar, tukio la kwanza lililotokea Kidoti, Wilaya ya Kaskazini 'A' Unguja tarehe...
  7. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aitaka Idara ya Uhamiaji Kutoa Huduma Nzuri kwa Wageni, Kuchochea Utalii

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali. Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  8. MEK_TZ

    Msaada juu ya kufungua kampuni inayojihusisha na kutoa huduma mbali mbali (GENERAL DEALERS)

    Wakuu Mungu katupa uzima tumeuanza mwaka salama ni jambo la kumshukuru. Naomba nijikite kwenye mada nahitaji elimu juu ya kufungua kampuni inayo jihusisha na utoaji wa huduma mbali mbali kwenye jamii. Nipo kwenye mchakato wa kufungua kampuni hiyo sina ujuzi wala elimu kuhusu uendeshaji wa...
  9. A

    KERO Ucheleweshaji wa kutoa vyeti Zanzibar University

    Mimi ni mdau niliyesoma Chuo Kikuu cha ZANZIBAR Tunguu Mkoa wa Kusini Zanzibar, nalalamikia kwamba katika kipindi hichi Wanafunzi tuliomaliza Mwaka 2024 - 2025 katika kozi tofauti chuoni hapo tunacheleweshewa kupewa vyeti vyetu pamoja na transcript ambazo zinatusaidia katika kutafuta ajira na...
  10. G

    Hawa ni wasanii walioweza kutoa ngoma zilizokimbiza chati zaidi ya miezi 6

    Mr Nice - Kidali Po, Hii Track ilishika kote kuanzia party za watoto, disco, clubs, MAhafali, n.k. huu moto sidhani kama utakuja kufikiwa. ana ana ana dooo kachani ka basto displine matido lalalalalahhh. ×2 Mb Dogg - Latifah, Huyo ndo King wa kubana pua aliewa inspire kina Ali Kiba, Z anto...
  11. Lycaon pictus

    Hivi vyama vya siasa vinawajibika kutoa taarifa ya mapato na matumizi kwa umma? Vinakaguliwa na CAG?

    Ukizingatia kuwa vinapewa ruzuku ambayo ni pesa ya umma. Je vinawajibika kuujulisha umma kuhusu mapato na matumizi? Vinakaguliwa na CAG?
  12. Loading failed

    Satr Anise zipi ni salama? nimesoma mahali kuna zenye sumu. Noamba ushauri kabla sijazitumia

    Wakuu wangu habari za wakati huu.. Naombeni msaada wa haya madude. Hapa chini Nataka niwe na kunywa chai ya star anise na nimeenda sokoni kununua star anise. Cha kushangaza wakati na peruzi peruzi kabla sijanywa nikakutana na hili tishio huku lisemalo star anise za kichina ndiyo salama...
  13. Mparee2

    Mashine za kutoa Coupon Ndani ya Bank

    Kumekuwa na huu utaratibu wa kuweka mashine ambapo mteja anatakiwa kuchukua coupon na kusubiri kuitwa ndio apate huduma; Naomba kupata maoni yako 1. Kama unazipenda au kama huzipendi na kwa nini? 2. Je zinapunguza muda wa kusubiri huduma ya Bank au Zinaongeza? 3. Nini kiboreshwe?
  14. Waufukweni

    Dulla Makabila anajutia kutoa talaka kwa Zaiylissa, mke wa Haji Manara kwa sasa

    Kataa ndoa, mwanenu Makabila yamemshinda sasa anajuta == Nyota wa muziki wa Singeli nchini Dulla Makabila ameweka wazi leo kuwa moja ya maamuzi anayoyajutia kwenye mahusiano yake na aliyekuwa mke wake Zaiylissa ni kutoa talaka. Pia, Soma: Couple ya Manara na ZaiyLissa ni couple yenye mvuto...
  15. M

    NMB MLIMANI CITY WAMESITISHA HUDUMA LEO BILA TAARIFA/MAELEKEZO. WATEJA WANAPATA SHIDA HAPA.

    Nipo hapa mlimani city Iko shida kwa wateja wengi tuliopata usumbufu. Wafanyakazi waache kutoa huduma kwa mazoea.
  16. Torra Siabba

    DOKEZO Baadhi ya Watumishi Kituo cha Afya Rusumo (Kagera) hawana lugha nzuri na hawatoi huduma nzuri pia kwa Wagonjwa

    Wana JF kuna Kero moja ambayo imekuwa ikitutafuna sisi wakazi wa Kijiji cha Mshikamano, Kata ya Rusumo ambayo ni wahudumu wa Kituo cha Afya cha Rusumo kilichopo Wilayani Ngara mkoani Kagera. Hiki kituo kilijengwa mahususi kwaajili ya kurahisisha huduma za afya kwa wakazi wa kijiji hicho na...
  17. Mr Why

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  18. Wazolee

    BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  19. goldcall

    Tunauza pograms kutoa mafunzo ya quickbooks na tally accounting system

    Karibuni wateja na wahasibu, Tunatoa mafunzo ya Accounting package kama Tally na Quickbooks, Pograms cracks pia tunazo Karibuni sana.. Email: hybridprojectmanagement@gmail.com Whatsapp: 0693300971
  20. Kitimoto

    Israel Imeanza Kutoa Kichapo kwa Magaidi wa Hoath wa Yemen

    Kufuatia kuidhinishwa kwa mipango ya utendaji kazi na Mkuu wa Majeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi na Waziri Mkuu, ndege za kivita za IAF zilifanya mashambulizi ya kiintelejensia dhidi ya malengo ya kijeshi ya utawala wa kigaidi wa Houthi kwenye pwani ya magharibi na ndani ya Yemen kwa muda mfupi...
Back
Top Bottom