kutoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Kwa mara ya kwanza duniani, Ubelgiji yatangaza kuanza kutoa bima ya afya, maternity leave na sick pay kwa madada poa!

    Wakuu, Wakati huku kwetu mkuu wa wilaya ya Ubungo akiwa busy kukamata madada poa pale Kitambaa Cheupe, huko Ubelgiji mambo yameendelea kuwa sukari sana. Hivi karibuni Serikali ya Ubelgiji imetangaza kwamba itaanza kutoa bima ya afya, maternity leave na kulipa madada poa kama watakuwa wanaumwa...
  2. Roving Journalist

    Watu 6 kutoa ushahidi Kesi ya Mwalimu wa Shule ya Green Acres anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake

    Mtuhumiwa Upande wa Jamhuri katika kesi namba Cc 32444/24 inayomkabili Saleh Ayoub (39) mkazi wa Salasala Jijini Dar es Salaam ambaye ni Mwalimu wa Shule ya Green Acres iliyopo maeneo ya Mbezi Beach Africana, Dar anayetuhumiwa kumlawiti Mwanafunzi wake (11) umesema kuwa unatarajia kuwa na...
  3. Bams

    LGE2024 Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa, Hakuna Kiongozi hata mmoja wa Serikali aliyewahi kutoa karipio Juu ya Uovu Uliokuwa Ukitendeka

    Nchi yetu ya ajabu sana, iliyojaliwa kuwa na viongozi wa ajabu pia, viongozi wanaobariki maovu alimradi maovu hayo yawe ni dhuluma ya kuwanufaisha CCM. Fikiria, waziri Mchemgerwa ndiye mwenye jukumu la kutengeneza kanuni za uchaguzi, akatengeneza kanuni za hovyo kabisa, ikiwemo ile ya kifungo...
  4. kyagata

    Baba au mama mkwe akifariki unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?

    Wakuu,hivi ikitokea mmoja kati ya baba au mama mkwe katangulia mbele za haki. Unatakiwa kutoa mchango kiasi gani?
  5. Logikos

    Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mwanamke anayeweza kujihatarisha yeye mwenyewe Kwa kutoa mimba muogope kama ukoma!

    Waswahili wanasema sikio la kufa halisikii dawa. Ndivyo walivyo baadhi ya wanaume ni kenge haswa kusikia kwao Hadi Damu masikioni iwatoke. Hapo Sasa ndo ataanza kushituka. Ukweli ni kwamba mwanamke anayeweza kumeza vidoge(dawa) Ili au kiumbe kilicho ndani ya tumbo lake mwenyewe ni wakugopwa...
  7. Magical power

    Sijui jamaa alikuwa anakwenda kutoa pesa akanunue nini mpaka akavurugwa hivi

    Sijui jamaa alikuwa anakwenda kutoa pesa akanunue nini mpaka akavurugwa hivi 🙄🙄🙄🙄🙄🙄
  8. Waufukweni

    BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni. Meneja...
  9. Logikos

    Bendera ya Mozambique (Msumbuji), Je ni Wakati wa kutoa hii AK 47

    Hapana haujakosea hio ni bendera ya nchi na hio ni AK 47 ikiwa na Jembe..., Ndio naelewa kwamba kuna kipindi walikuwa wanapigania Mapinduzi / Uhuru hio AK ilikuwa na kazi mahususi je wakati haujafika kubadilisha hio AK na kuweka angalau kalamu iendane na hicho kitabu ? Clothes Make the...
  10. Komeo Lachuma

    Vita ya Kagera: Nimemaliza kutoa Mahari, Simu inaita naambiwa haraka niende Vitani

    Wallah hili lilikuwa ni moja ya jaribu zito maishani mwangu. Baada ya kukata ile simu nlikuwa kama nimemwagiwa maji ya baridi. Nlinywea.... Nakumbuka mshenga na mjomba wangu walikuwa wa kwanza kuniuliza "Yusuf umepatwa na nini ?" Nlianza kuwaza ina maana sasa yule binti nitamwoa au inakuaje...
  11. britanicca

    Ni dharau kubwa Kiongozi wa Taifa letu kutoa risala huko Brazil wakati wanaotakiwa kusikiliza wanaendelea na shughuli za kupakua chakula

    Nimepitia risala alotoa mheshimiwa Rais wetu huko Brazil sijapenda the way walivyo mpa sikio, Watu wameonekana Kama vile hawana muda na anachozungumza, wanazunguka na sahani za Chakula, Ni Kama kwenye sherehe wakati wa chakula wanaweka kibwagizo...
  12. G

    Kuna benki unasubiri saa zima kuweka/ kutoa pesa. Ni benki gani ya kuaminika ambayo nitahudumiwa fasta?

    Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda bank, mawakala wengi huwezi kuingiza au kutoa zaidi ya milioni 1. Unaingia Benki, unatoa kikaratasi...
  13. jmushi1

    US Admiral: Kutoa silaha kwa Ukraine na Israel, kunapunguza uwezo wa kupambana na China!

    Admiral anasema silaha zinatolewa nyingi kiasi kwamba watashindwa kukabiliana na Mchina… Adm. Sam Paparo ana wasiwasi kwamba Marekani inatoa na kumaliza ulinzi muhimu unaohitajika kukabiliana na China. "Sasa inakula katika hifadhi," alisema Jumanne ya usafirishaji wa silaha za hali ya juu...
  14. U

    Seneta John Thune asema Marekani kuiwekea vikwazo ICC ikithubutu kutoa hati ya kukamatwa Netanyau au viongozi wengine

    Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo: Times of Israel Incoming Senate majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
  15. D

    Manara hajawahi kushiriki matamasha ya walemavu wa ngozi na hataki kutoa ushirikiano anapohitajika

    Siyo kwa nia mbaya ! Katika kuboresha na hamasa kwa walemavu hufanyika matamasha mbalimbali kila mwaka! Viongozi na watu mashuhuli wamekuwa ni mchango mkubwa kufikisha ujumbe kwa jamii! Haji manara huwa hataki kabisa kushirikishwa kwenye jambo ili awe msemaji wa walemavu wanao omba msaada...
  16. jingalao

    Hospitali ya Muhimbili izingatie weledi katika kutoa taarifa wakati wa Majanga!

    Nasikitika kuona "kiherehere" cha hospitali ya Taifa ya Muhimbili katika kutoa Taarifa zinazohusu majanga bila kuzingatia chain of command. Sio afya kwa hospitali hii as an entity kukimbilia kwenye media na kutoa taarifa bila kuzingatia taratibu za uhabarishaji umma wakati wa tukio la majanga...
  17. Ritz

    Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa

    Wanaukumbi. Redio ya Jeshi la Israeli: Eneo la 7.7-decare kwenye Mlima Herzl litahamishiwa kwa Wizara ya Ulinzi ya Israeli ili kutoa mahali pa kuwazika wanajeshi wa Israeli waliokufa.. ========================= Israeli Army Radio: A 7.7-decare area on Mount Herzl will be transferred to the...
  18. M

    Diamond na Zuchu kila wanapotaka kutoa wimbo lazima WASEME WAMEACHANA

    Naona ka Zuhura tayari kametangaza kuachana na Diamond. Wasanii wa Bongo bhana
  19. Mindyou

    LGE2024 Geita: Wagombea walioenguliwa watuhumiwa kutoa vitisho kwa wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Kumbe CCM wakiwatishia wapinzani ni sawa tu lakini Waoinzani wakiwatishia CCM, viongozi wake wanaenda hadi kwenye vyombo vya habari kulialia Hivi karibuni nimemuona Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Yefred Myenzi, akieleza kuwa baadhi ya wagombea ambao majina yao yalikatwa...
  20. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
Back
Top Bottom