Hello wakuu, naomba kuuliza
Kwa mtu anaetaka kuagiza Dawa ambazo hazipatikani Tanzania Kuna utaratibu Gani?
Mfano mtu anataka kuagiza DMT,Steroids,whey protein au drysol .
Mimi nataka kuagiza drysol,Ni antiperspirant kama deodorant za Nivea.
Mwenye kujua utaratibu anisaidie