kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. The Mongolian Savage

    Mwanaume hutakiwi kupokea zawadi kutoka kwa mwanaume mwenzako

    Inakuwaje wanajamvi. Inawezekanaje kweli mwanaume mwenzako anakununulia zawadi na kukupa halafu wewe unapokea? Haingii akilini kabisa. Eti dume mwenzako anakutoa out lunch ama dinner na unaenda tu. Pia mwanaume hutakiwi kusema nampenda mwanaume flani sema namkubali. Kuna vitu vingine kwa...
  2. goldcall

    Serikali tunaomba muunge mkono sera ya kuupinga ushoga kutoka kwa Rais wa Marekani, Donald Trump

    Kichwa chahusika. wanajamvi, serikali kwa ujumla na watu wa haki za binadamu, tumuunge mkono raisi trump kwa kupinga ushoga na usagaji, tuone hao wa haki za binadamu watapitia wapi labda wakamuulize Trump kuwa anakandamiza haki za binadamu. hivyo basi, mashoga na wasagaji wawe ni maadui...
  3. Waufukweni

    Baba Levo atangaza Mbosso kuondoka WCB Wasafi na uamuzi wa Diamond

    Wakuu Mtangazaji na mtu wa karibu na Diamond Platnumz, Baba Levo amesema Mbosso amepata baraka zote sasa ni ruksa kuondoka WCB Wasafi na hatolipa gharama yoyote kama ilivyokuwa kwa Harmonize, Rayvanny
  4. A

    KERO Hujuma ya Huduma ya Maji Kinyerezi - Kifuru kutoka Dawasa Kinyerezi

    Salaam wakuu Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa yoyote kutoka Dawasa Kinyerezi ya kwanini huduma hiyo haipatikani Tatizo la Maji maeneo haya...
  5. milele amina

    Utaratibu wa urejeshwaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani

    Katika kipindi hiki, cha utawala wa Trump, kumekuwa na habari za kuhamasisha na kuangazia urejeleaji wa Watanzania 301 kutoka Marekani. Ref: Marekani yatoa orodha yenye watanzania 301 wanaorejeshwa Tanzania Hata hivyo, kuna maswali mengi ambayo yanahitaji kujibiwa ili kuondoa wasiwasi miongoni...
  6. Abuu Kauthar

    Kubadili Usukani wa gari kutoka kushoto kwenda kulia

    Watu wa magari, naulizia kwe wenye uzoefu. Kuna Gari inatakiwa Ila ni Left hand...Sasa naulizia kwa wazoefu, je Kuna kampuni bongo zinaweza kubadili Sterling kutoka left side to right side? Kama ndio garama zikoje? Na je baada ya kubadili hakuna tatizo lolote kwenye Gari husika...kwa maana...
  7. Teknocrat

    Goma: Jeshi la Mamluki kutoka Romania wajisalimisha Rwanda

    Jeshi la kukodiwa la kutoka Romania, wameona moto uliukuwa unatembezwa na M23 na RDF, na kuamua kujisalimisha kwa UN, ambapo, waliombewa kuingiwa Rwanda kwa mipango ya kusafirishwa na kurudi kwa Romania...
  8. comte

    Kutoka uchaguzi wa kidemokrasia hadi mapindizu yasiyo ya kumwaga damu CHADEMA

    Mchakato uchaguzi wa kidemokrasia huishia na makabidhiano ya mamlaka, madaraka na ofisi. Leo Lissu kaingia ofisini na mtangulizi wake Mbowe hakuwepo kumkabidhi mamlaka, madaraka na ofisi. Hii inafanya uchaguzi wao kuwa mapinduzi https://www.youtube.com/watch?v=sg4irUqemHs
  9. Marie Antoinette

    Mercenaries kutoka Romania waomba njia Rwanda kurudi kwao

    Kundi la wazungu 288, waliokuwa wakioigana vita na M23 upande wa DRC, leo wametolewa kwenye kambi ya MONUSCO huko Goma, kuelekea mpakani mwa Rwanda na DRC. Wakisindikizwa na jeshi la M23, kundi hilo limekabidhiwa serikali ya Rwanda, ambayo itawasafirisha mpaka uwanja wa ndege Kigali, na...
  10. R

    Mwl Mwakasege: Niliwahi kutoka nje ya mwili wangu nikaenda Mbinguni na kukutana na Nabii mkubwa, nikamtambua

    Salaam, Shalom!! Akifundisha katika semina jijini Mbeya Jana tarehe 26 January,Mwalimu Christopher Mwakasege amerudia kauli aliyowahi kuitoa kabla. Amesema, asubuhi, walipokuwa katika bible study ya familia asubuhi ya jumapili hiyo, Mkewe alimuuliza swali kuwa ikitokea ametokewa na YESU...
  11. R

    E-mail kutoka TaESA.

    Habari wapendwa. Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
  12. kancher

    Msaada wa kibiashara:- Nahitaji shareholder au mkopo wa bidhaa kutoka kwa nuuzaji wa jumla.

    Habari wakuu. Husika na mada hapo juu, mimi ni mfanyabiashara napatikana kanda ya kaskazini, najishughurisha na biashara ya duka la nguo za kisasa mchanganyiko za kiume na kike. Nahitaji msaada kwa mtu yeyote tuingie share tufanye biashara pamoja kwa yeye kuweka mtaji au mfanyabiashara ambaye...
  13. Logikos

    Mkutano wa Nishati; Tuutumie kwa kuneemesha Wananchi tuna Uwezo wa Kuwauzia Umeme Afrika nzima wala hatuna Sababu ya Kununua Gesi kutoka Nje

    Uwezo tunao ingawa sina uhakika kama tuna Nia.., Nilishasema kitambo kwa Kutumia Tanesco tuna uwezo wa kufanya mwananchi akatumia Umeme kwa bei ndogo (mfano kupikia kwa gharama ya chini ya Tshs 100 mpaka 0/=) na kuuza ziada kwa nchi nyingine...
  14. Roving Journalist

    Chuo Kikuu Huria: Matokeo yanatarajiwa kuanza kutoka muda wowote kuanzia leo Januari 27, 2025

    Kufuatia hoja iliyoibuliwa na Mdau wa JamiiForums.com kuwa Chuo Kukuu Huria cha Tanzania (OUT) kimekuwa na kawaida ya kuchelewesha matokeo ya mitihani, ufafanuzi umetolewa kutoka chuo. Kusoma hoja ya Mdau, bonyeza hapa ~ Chuo Kuu Huria hakitoi kwa wakati matokeo ya Mitihani, tunalazimika kutoa...
  15. Chance ndoto

    KULIPA PARKING WAKATI WA KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

    Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
  16. Ojuolegbha

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,

    Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeongeza urefu wa mtandao wa barabara za lami za mikoa na wilaya kutoka kilomita 13,235.1 mwaka 2020 hadi 15,366.36 mwaka 2024. Huo ni utekelezaji wa ujezi wa barabara zenye urefu wa kilomita 2,131.26. Pakua Samia App kupitia...
  17. B

    Mkutano wa Uchaguzi ulijaa Raia kutoka Asia ya Mbali na Uchina. Hii ina maana gani kwa siasa zetu?

    Ktk Dunia hii ambayo mbabe ni Mtu mwenye uchumi imara na ustawi wa watu tumezoea kuona Nchi za Asia ya mashariki na mbali ikijikita hasa kwenye siasa za uchumi na maendeleo. Ni ktk hali hiyo tumeona China huwa haiingili wala kujihusisha na siasa za nchi nyingine. Kwa Lugha nyingine huwa hawana...
  18. Damaso

    Athari Tatu za Kuondoka kwa Lewis Hamilton Kutoka Mercedes

    Mercedes Benz ilimpa Lewis dola milioni 100 kwa miaka miwili na akakataa offa yao. Mercedes Benz, ikagoma katukatu kumpa Sir Lewis Hamilton nafasi ya ubalozi. BONGE LA MISTAKE! Ferrari haikumpa dola milioni 100, lakini iliwekeza dola milioni 446 kwa Sir Lewis Hamilton na taasisi zake za...
  19. Ojuolegbha

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka

    Zoezi la kusitisha uvuvi kwa muda katika ziwa Tanganyika limeongeza uzalishaji wa samaki kutoka tani 4,700 mwaka 2023 hadi zaidi ya tani 15,000 mwaka 2024, likitoa fursa za ajira na viwanda vya kuchakata samaki kuongeza uzalishaji. Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store. #samiaapp...
  20. Mejasoko

    Lisu na Mbowe, Angalizo - Wakati sahihi kuingia, wakati sahihi wa kutoka,

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT, Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Tundu Lissu siyo Donald Trump. Wanafanana ukali wa maneno lakini hawafanani ujinga wa kisiasa. Wote walipigwa risasi, zikawaongezea kura zao. 2. Lissu ni hukumu isiyo na rufaa kwa watawala wanaotumia...
Back
Top Bottom