kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Dogoli kinyamkela

    Kutoka kwenye kitabu cha namba

    KUTOKA KWENYE KITABU CHA NAMBA NAMBA YA BAHATI : NAMBA 21 ili kuvutia bahati nzuri na furaha, rudia namba "Ishirini na moja." Kwa sababu hii ni namba ya neno"furaha", hii ni kwa sababu ukibadilisha neno furaha kuwa namba unapata namba 21. Katika maisha, namba 21 hubeba nishati nzuri kwa...
  2. Mashamba Makubwa Nalima

    Niko na shida nahitaji kumbadilisha jina mwanangu kutoka Samia kuwa Amina, Utaratibu ukoje?

    Kiufupi baada ya kupata mtoto wangu 2021 nilimpa Jina la Samia kutokana na mafanikia ya bi mkubwa mmoja mtaani ambaye alikuwa mwanamke wa kwanza pale mtaani kuwa na Master of Science in Computer Science, lakini namna alivyokuwa ghafla hizi siku za karibuni, siamini kama anaweza kuwa mfano mzuri...
  3. A

    KERO LATRA fuatilieni baadhi ya Kampuni za Mabasi zinazokatisha tiketi ‘mkononi’ zinatoza nauli tofauti na hazitoi tiketi za Elektroniki

    Hello habari! Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh 150,000 - 200,000. Wahusika hao wanaokatisha tiketi mkononi kwa maana ya ‘physically’ ukijaribu...
  4. R

    Hizi hapa responses kutoka kwa wasomaji kuhus Lissu kusema sasa ni siasa za mshike mshike, siyo maridhiano tena

    Lissu: "Hakuna kuimbiana maridhiano yasiyokuwepo, hakuna tena habari ya kualikana kwenye vikao vya kuzungumza mambo yasiyojulikana. Bali ni muda wa mapambano ya kudai mabadiliko ya kimsingi ya nchi yetu na zinatakuwa siasa za mshike mshike kweli kweli" Tundu Lisu , Makamu Mwenyekiti Bara wa...
  5. nipo online

    Nimemleta Anko kutoka kijijini, wife kaanza vijitabia vya ubinafsi

    Dogo kamaliza form four nikaona aje apige kazi ya salon, picha nimeona dalili sio nzuri, Juzi nimemkuta dogo anakula maandazi kashika mkononi, aliambiwa achukue tu katika deli, badala ya amuandalie wakati siku za mwanzo alikuwa anamuandalia. Nikamwambia hakikisha unamwandalia Chakula isijirudie...
  6. R

    Khanga Kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Material: Cotton Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: sh 18,000/= kuanzia Khanga 3. Tunapatikana tabata kinyerezi/Makumbusho (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Contact/Mawasiliano: 0784...
  7. Teko Modise

    Kutoka Maktaba, sio mbaya kukumbushana

    Mnyama Simba aliongoza kundi mbele ya mabingwa wa kihistoria Al Ahly katika Ligi ya Mabingwa Afrika. Mambo kama haya ni wakubwa wa kazi tu, timu yako kama ina watoto wanaopaka rangi nywele huwezi kufika huko.
  8. Financial Analyst

    Hivi kile kizazi cha watumwa waliokuwa wanachukuliwa na waarabu kutoka Tanganyika kiliishia katika taifa/mataifa yapi?

    Leo tunaona 13% ya population ya Marekani ikiwa ni ya watu weusi wengi wao kwa asilimia maradufu ni kizazi cha watumwa waliochukuliwa kutoka west africa. Hivi wale waliokuwa wanatekwa wakina abushiri walipelekwa wapi na mark yao leo iko wapi. Au walichukuliwa kwa uchache na kusambazwa maeneo...
  9. P

    Pre GE2025 Bapance of power, CHADEMA wajifunze kutoka kwa chama kikubwa kama ANC, La sivyo watapotea

    Power Balance , Kazi kubwa kwa CHADEMA ya sasa . Ni ukweli kwamba CHADEMA ni chama kikubwa cha pili kwa Tanzania ukiachana na CCM ambayo ni chama kikubwa na cha pili Afrika kwa utajiri wake ukiachana na ANC ya Afrika Kusini . Transformation iliyotokea kuanzia mwaka 2000 mpaka 2015 , yaani miaka...
  10. A

    Mbowe na wanasiasa wengine wana mengi ya kujifunza kutoka wa Dosa Azizi

    Nimeona mh Mbowe akitaja fadhila ambazo amemfadhili mh Tundu Lissu tangu walipokutana mwaka 1995 na kuamua kushirikiana naye katika harakati za kisiasa nchini. Wahenga wanasema, "tenda wema uende zako" na sio kusubiri fadhila. Mwl Nyerere aliwahi kupewa nyumba ya kuishi na marehemu Dosa Azizi...
  11. Z

    Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  12. Faana

    Falcon asafiri kutoka Afrika Kusini mpaka Finland kwa umbali wa Kilomita 230 kwa siku

    Imeelezwa kuwa ndege huyo aina ya Faicon aliyefuatiliwa mwenendo wake na kifaa cha GPS amesafiri kutoka Afrika Kusini hadi Finland akikamilishsa Kilomita 230 kila siku na kukamilisha safari yake baada ya siku 42 Habari kamili ni hii hapa The female falcon was equipped with a GPS tracker during...
  13. jodac

    Kwanini ATM za Mabenki zinauliza kama tunataka Risiti wakati ni haki ya mteje kama kununua bidhaa?

    Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa . Kwanini risiti za ATM kuzipata kunamakato ilihali kudai risiti ni haki ya mteja?
  14. R

    "In the Name of the President: Tafsiri yake ni: Maagizo kutoka juu-by Erick Kabendera

    Nilishindwa kujua maana yake mpaka niliposikia clip ya Mohamed ghassani https://youtu.be/HfQqupIGlKM "In the Name of the President: Tafsiri yake ni : MAAGIZO KUTOKA JUU
  15. emmarki

    2025 ufanye nini? Kutoka kwa Mwalimu Mwakasege

    Salamu za Mwaka Mpya Wa 2025 Toka kwa Christopher Mwakasege 1. Nakusalimu katika jina la Yesu Kristo, aliye Bwana na Mwokozi wa maisha yetu. Tunamshukuru Mungu sana, kwa kutupa neema yake ya kuingia katika mwaka huu wa 2025. 2. Mungu amekuwa akinisemesha juu ya mambo kadha wa kadha, yanayokuja...
  16. T

    SI KWELI Video hii ya kuku akiruka kutoka ghorofa moja hadi lingine ni halisi

    Nimeona video inayosambaa ikimuonesha kuku ameruka kutoka ghorofa moja hadi lingine huku watu wakisema kuwa kuku akiacha uvivu anaweza kufanya hivyo. Je, hii ni kweli?
  17. Ben Zen Tarot

    Busara kutoka kwa baba tajiri

    Kutoka kwenye kitabu "Rich DAD Poor DAD" cha Robert Kiyosaki 1. Usifanye kazi kwaajili ya kutengeneza pesa (Don’t work for money): Watu matajiri huwa hawafanyii kazi pesa. Kama unaifanyia pesa kazi akili yako itaanza kufanya kazi kama akili ya mwajiriwa. Kama ukianza kufikiri tofauti kama mtu...
  18. Minjingu Jingu

    Kutoka Kilimanjaro Wapare ndo Kabila ambalo lina Waislamu wengi kwa Mkoa huo

    Yes ni wapare. And we are proud to be wapare. Tupo wapambanaji na tumezoea maneno yenu hayatuzuii kitu. Mkisusa kuwaoa wapare wao wanaoana na wala hamna shida kwani lazima kuolewa na ninyi? Mambo ya roho mbaya na ukatili ni ya kufikirika tu. Ni myths. Maana watu wamekuwa wakipakaza sana juu ya...
  19. M

    KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
  20. R

    Msanii "Pasha" kwa sasa yuko wapi?

    Hello.. Nilikua kwenye pitapita zangu nikakuta sehemu zinapigwa ngoma za zamani za bongo fleva.. Ghafla ikapigwa ngoma ya namuimbia ya Pasha aiseeh ilinisafirisha mbali sana kihisia huyu mwamba yuko wapi kwa sasa?.. Alikua amekamilika kuanzia vocal mpaka uandishi.. Kwenye hii ngoma ilipigwa biti...
Back
Top Bottom