kutoka

Kutoka Interactive was an educational software company founded in Montreal, Quebec, in 1995. The company produced, developed, and distributed both subject-based and grade-based video games for Windows and Macintosh from 1996 to 2017. They were most famous for their Mia games.

View More On Wikipedia.org
  1. Mad Max

    Maisha ni kuchagua: Ili kuagiza BMW 3 series cheap kabisa kutoka JP unatakiwa uwe na Mil 14, ila IST lazima uwe na angalau Mil 17!

    Niliona juzi kati kunaa mdau anaulizia gari ambalo akiendesha watu wajue amejipata. Sasa leo nikawa nafanya comparison ya kutaka kuagiza magari mawili, yote ya mwaka mmoja 2006. BMW 3 series, 2006 generation ya E90, model 320i, ikiwa mpya 2006 iliuzwa $40,000 na leo naweza ipata kwa $930...
  2. magnifico

    Salamu Za Krismasi kutoka kwa Mohammed Salah Na Familia yake

  3. J

    INVERTER ZA SOLAR KUTOKA INDIA

    SU VASTIKA SOLAR INVERTER SU-VASTIKA Inverter kutoka India zenya ubora wa hali ya juu Kwa sasa zinapatikana dukani kwetu zipo size kwanzia 850VA hadi 5500VA Warranty ipo.. karibu sana ndugu mteja 0653 615 773
  4. BLACK MOVEMENT

    Wa Protestant wa kweli ni SDA church na Mashahidi wa Jehova, hawa hawaku copy chochote kutoka RC.Chrstimass ni kwa ajili ya Catholic

    Uprotestant uliasisiwa na Martini Luther Karine ya 16 huko na ni baada ya kuto kubaliana na mambo mengi ndani ya Catholic church. Ila Martini Luther alicopy vitu vingi mno kutoka kanisa la Roman, hii ikawa sasa haina maana hasa kwenye yale mageuzi yake. King Henrry nae wakati anaasisi...
  5. H

    Waziri Kombo apokea hati za utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini

    WAZIRI KOMBO APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA NCHINI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thatib Kombo amepokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Susan Namondo katika Ofisi Ndogo...
  6. matunduizi

    Mama kutoka Ghana aliwahi kuniambia Wachaga na Wanyantuzu ndio wanajituma kama watu wa Afrika Magharibi, Wengine ni wapole sana

    Huyu mama amekaa TZ kwa miaka kama 12. Anadai watu wote wa Afrika Magharibi hasa Nigeria na Ghana ni machachari ( agressive) sio wapole wapole kwenye mambo ya msingi ya maisha. Nilimbishia ila kwa kauli ya Aliyekuwa Rais wetu JK kuwa watanzania wengine hatujitumi kama wachaga naona kama yule...
  7. N

    Barua ya wazi kutoka kwa Suleiman Said Bungara (Bwege) kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan

    Barua ya wazi Kutoka Kwa Suleiman Said Bungara ( Bwege) Aliyekuwa Mbunge wa Kilwa Kusini kwenda kwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan
  8. enzo1988

    Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

    Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani?? Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri! Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
  9. I

    Mkeo aliwahi kukulaza lock up, baada ya kutoka maisha yalikuwaje?

    Hali zenu? Wakuu, siku ya jumatano majira ya saa 1 jioni nikiwa nimefika nyumbani kutoka mihangaikoni, kulitokea kutokuelewana na wife,nikajikuta napandwa na hasira nikamshika nikachomoa mkanda wangu wa suruali nikamtandika nao hatari alivyopata upenyo akakimbilia nje. Kumbe mashosti zake...
  10. S

    Trump aziambia nchi za umoja wa ulaya zinunue gesi na mafuta zaidi kutoka Marekani au ataongeza ushuru kwa bidhaa za kutoka jumuiya hiyo

    Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameonya kuongeza ushuru kwa bidhaa za jumuiya ya Ulaya zinazoingia Marekani endapo jumuiya hiyo haitaongeza viwango vya mafuta na gesi inavyonunua kutoka Marekani. Trump alitoa taarifa hiyo kupitia post katika mtandao wa Truth aliyoichapisha Alhamisi usiku...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  12. Manfried

    MBOWE , wewe ni mfanyabiashara na kawaida ya wafanyabiashara huwa wanatafuta favor kutoka serikalini , hivyo ni ngumu wewe kuitoa ccm madarakani.

    Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako. Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi. Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
  13. L

    CCM Itavuna na kupokea Viongozi wengi Sana waandamizi na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika kwa uchaguzi wake Mapema Mwakani

    Ndugu zangu Watanzania, Jiandaeni kisaikolojia,jiandaeni kububujikwa na machozi ya furaha na wengine machozi ya huzuni na Majuto hapo Mapema Mwakani. pale ambapo chama cha Mapinduzi kitakapo vuna na kupokea viongozi mbalimbali waandamizi pamoja na wanachama kutoka CHADEMA baada ya kumalizika...
  14. MaT2B

    Sehemu gani nzuri Kwa Dar es Salaam Ya kutoka na Mpenzi?

    Habari za jioni. Mwisho wa wiki hii nataka kutoka na Mpenzi wangu. Sehemu iwe imetulia(kusiwe na vurugu nyingi) Chakula kizuri, Mziki kwa mbalii, Gharama isiwe kubwa sana( bajeti iwe <100K). Pia isiwe nje ya jiji sana. Nilitaka kumpeleka kwa wahindi, skweez( tatizo hakuna mziki). M. Thread...
  15. P

    Karanga kubwa kutoka Mawali

    KARANGA KUBWA KUTOKA MALAWI Bei 25kg 105,000/= Maongezi yapo kidogo zipo tani 300 Location Moshi Kilimanjaro Namba 0682 761740. Karibuni wateja.
  16. Wakusoma 12

    Kwanini gharama za kutuma pesa kutoka Akaunti ya benki kwenda mtandao ya simu ni kubwa sana?

    Hili suala limekaaje kitaalamu, mfano benki kama NMB ukitaka kutuma pesa kwa mtu kutoka kwenye Akaunti ya benki kwenda kwa namba yake ya simu Cha mtema Kuni utakiona. Je hii ni sawa wakuu? Kwanza gharama za makato hazionekani kabla ya kutuma pesa, ila utakutana nazo tu ukishatuma tayari. Hii si...
  17. D

    Hii ni kwa wale wanaohitaji usafiri kutoka Dar kwenda Rombo

    Wakuu huu ni msimu wa Kupiga hela Kuna abiria wengi sana wanaotoka Dar kwenda Mikoa ya kanda ya kaskazini hasa Mkoa wa Kilimanjaro hivyo uhitaji ni Mkubwa sana. Huku JF kwa matajiri najua kuna wenye Magari Madogo au Coaster Nicheki tufanye biashara. Nina jamaa kibao sana wanahitaji Usafiri...
  18. Manyanza

    Luis Nani - Kutoka Maisha Magumu Hadi Ustaa wa Soka

    Wakuu hii ni historia ya Mwanasoka Luis Nani, ni Historia inayoelezea mapito na magumu aliyoyapitia huyu jamaa. Lengo la kukuletea hii kukutia moyo Kijana mwenzangu Dada/Kaka na wadogo zangu mnao isoma hii habari. Kimsingi kila jambo unalopitia haijalishi linaonekana vipi lakini wewe unao...
  19. Marcy

    Je umeshawahi kukumbana na kadhia hii kutoka kwa watu?

    Ni pale mpo katika kundi kutekeleza kazi fulani Katika lile kundi wapo watakao kaa pembeni kuangalia hawagusi chochote, Wapo watakao papasa tu ili mradi waonekane nao walishiriki kwenye hiyo kazi Na yupo mhanga atakae jitolea kuitekeleza ile kazi kikamilifu. Endapo kazi itatiki vyema basi sifa...
  20. Roving Journalist

    Rais Samia amteua Wilbert Haji kuwa Mkurugenzi wa NIDA

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA). Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, Bw. James Wilbert Kaji...
Back
Top Bottom