kutumia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Big Up, TRA Kutumia Media Kuelimisha Umma Elimu ya Kodi na Umuhimu wa Kodi Kila Mtu Alipe Kodi. Je Wajua Viongozi Wetu Wakuu Hawalipi Kodi?. Kwanini?!

    Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo 1/09/2024 Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na swali, hoja kisha jibu utatoa wewe mwenyewe. Mada ya leo ni pongezi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA kuwatumia wahariri...
  2. G

    Msaada: nahitaji router ya kuweza kuwabana watumiaji kwenye speed na MB.

    Speed - niweze kuseti speed ya juu kwa kila mtumiaji, mfano asivuke speed ya kudonload MB 1 kwa dakika MB - iwe kama tunavyonunua mabando ya MB kwenye mitandao ya simu, ukimaliza MB connection inakata.
  3. Je, ni kosa Kisheria kutumia Starlink Kenya ndani ya Tanzania?

    Nauliza, Je nikosa kisheria kutumia mtandao wa internet wa Nchi nyingine ndani ya Tanzania Kwa matumizi binafsi?
  4. Naomba kuelekezwa jinsi ya kutumia NBC APP kwa Account ya kikundi

    Habari, Wana JF naomba kufahamishwa namna ya kutumia NBC APP kwa account ya kikundi wote wenye access waweze ku access Taarifa through App.
  5. J

    Majaliwa aingilia kati sakata la RC, DC, kutumia nguvu ya madaraka vibaya

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameingilia sakata la wakuu wa mikoa na wilaya kutumia nguvu na madaraka vibaya ambayo amesema kuwa ipo sheria ya viongozi hao inawaruhusu kuwakamata watu na kuwaweka ndani, hii ni kwasababu ya kulinda usalama wake au usalama wa huyo aliyewekwa ndani kwa...
  6. Kama una Pixel 9 Pro XL, na hauna chaja basi hizi ndio chaja inaweza kutumia zikafaa.

    Hata hivyo, ikiwa unatafuta chaja ya wahusika wengine ambayo inafanya kazi na Google Pixel 9 Pro XL, utahitaji kuhakikisha kwamba inatumia voltage inayohitajika. Baadhi ya chaguo ni pamoja na chaja ya Samsung ya 45W ambayo inatumia hadi 20V/2.25A kupitia PPS, au 45W Nano II ya Anker, ambayo pia...
  7. G

    Hamas / hezbollah wanapenda kutumia raia kama ngao, kwa maksudi wanatunza na kurusha silaha kwenye makazi ya watu, Gaidi ni gaidi hata awe ndugu !!

    Siku chache zilizopita Israel imelipua ghala kuu la silaha wanazotumia Hezbollah kushambulia miji ya Israel, Ghala limejengwa kati kati ya mji wenye makazi ya watu wengine, Israel iliposhambulio kuna makombora yalianza kufyatuka bila mpangilio, Watu kadhaa wamefariki lakini hii imefichwa sababu...
  8. Mama siwezi kukutumia hiyo elfu hamsini uliyoniomba kwasababu kesho natakiwa kulipa ada ya mtoto shuleni

    Hayo si maneno yangu, ni maneno ya kilaza mmoja aliechangamka ambae anaamini kwamba umasikini unasababishwa na kutojua lugha ya kiingereza utotoni. ( πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ utoto raha nyie/ you can just think any how) Si yeye peke yake bali hadi ndugu zake (kaka zake) wengine wanne ( wa tumbo moja) wote...
  9. ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia

    ACT Wazalendo wanatoa tamko kuhusu Polisi kutumia nguvu dhidi ya Raia Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Taifa,Othman Masoud Othman Mfumo wa sasa hivi kwamba Polisi wanapokea amri hasa ngazi ya Mkoa na Wilaya wanapokea amri kutoka wanaojifanya ni Wanasiasa, kutoka kwa Wakuu Wa Mikoa. Tunajuwa kuwa...
  10. Hivi kama Serikali kutumia polisi wanataka matatizo ya wananchi wasikilizwe wapi?

    Vilio vya wananchi vimekuwa vingi sana mpaka wabunge wa CCM naona kama pale dodoma ni kujaza vyoo vya dodoma. wananchi ndio viongozi wao ila leo mpaka mawaziri wakiongea kwa kejeli kuwa wanajitka,hakuna kosa kwenye serikali kukosea,TRA siyo tatizo. ili litafikia mwisho kwa nchi zilizochoka...
  11. Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

    Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknolojia ya kisasa, Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili, hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!, Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa. Lete...
  12. Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa.

    Pata tovuti ya kijanja iliyotengenezwa na Mswahili kwa kutumia teknologia ya kisasa, Tovuti za kijanja zinazotumia lugha namba moja ya Kiswahili, kwa wewe mgeni ambaye ujuhi Kiswahili, hakuna noma, bonyeza kitufe hicho , change language, oh Yes!, Gharama ni ya kawaida tu , sababu nina njaa...
  13. Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  14. Serikali kuanza kutumia β€˜drone’ kwenye uchimbaji wa madini Kijiji cha Lemishuku

    WAZIRI wa Madini, Anthony Mavunde amefanya ziara kukagua shughuli za uchimbaji madini na kusikiliza changamoto za wachimbaji wadogo katika eneo la Lemishuku,Wilayani Simanjiro eneo ambalo ni maarufu kwa uchimbaji wa madini vito ya Green Garnet Waziri Mavunde amepata nafasi ya kukagua uwekezaji...
  15. Mliowahi kutumia β€œForever Living Product” Je ziliwasaidia?

    Ni zaidi ya Miaka 10 sasa naona hizi Product zao lakini nimekuwa naogopa sana kuzitumia. Naomba ushuhuda kwa mliowahi kuzitumia kama ziliwasaidia? Na Je zimethibitishwa na Mamlaka husika?
  16. Kiwango cha Sukari unachotakiwa kutumia kwa Siku kulingana na Umri

    Kwa mujibu wa taasisi ya Moyo ya Marekani (AHA) binadamu yeyote ana kiwango maalumu cha Sukari anachopaswa kutumia kwa siku kulingana na umri wake. Watoto wenye Miaka 0 hadi 2 hawatakiwi kutumia Sukari kabisa Watoto wenye miaka 2 hadi 17 hawatakiwi kuzidi Vijiko 6 Vidogo vya Sukari kwa siku...
  17. Je inawezekana kuijua ID ya mtu kwa kutumia screenshoot aliyoituma au link alizo share mtandaoni?

    Habari wakuu, Kwa mfano tupo kati kati ya mjadala fulani wa michezo nikaamua kuingia google nikaenda kwenye website ya mwanasport ni mfano tu lakini nikascreenshoot picha kama hii hapo chini Kisha nikaipost humu ili kunogesha mjadala Inaonyesha muda nilio screenshoot ni saa 12 na dakika...
  18. Maajabu ya Club ya Simba kutumia milioni 823 kusajili wachezaji waliofunga magoli mawili kwa msimu mzima

    Lionel Christian Ateba πŸ‡¨πŸ‡² β—‰ 02 - Years deal (Tsh 523 million) β—‰ 16 - Games premier league 23 | 24 β—‰ 01 - Goal scored. β—‰ 03 - Assist Kibu Denis Prosper πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β—‰ 02 - Years deal (Tsh 300 million) β—‰ 26 - Games premier league 23 | 24 β—‰ 01 - Goal scored. β—‰ 02 - Assists ℹ️ Value for money iko sawa?
  19. G

    Hongera kwa Wanarwanda kwa kutumia lugha yenu kujadili mambo yenu , baadhi ya Watz wangeweza kuingilia mijadala yenu na kuwashauri yaliyowashinda πŸ˜€

    Kwa tabia ya baadhi watz kutaka kushauri na kuchambua na hata kukosoa mataifa makubwa Kama Us China kwenye mambo waliooshindwa Nisengeshangaa kuwashauri Wanyarwanda Endeleeni kuitana huku muendelee kujadili mambo yenu πŸ™ INGAwa bado natamani Sana umoja wa EA ufikie level za juu kiasi kwamba...
  20. K

    Mgodi wa GGML waaanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. Sasa watatumia Umeme wa TANESCO badala ya Mafuta

    MGODI WA GGM WAANZA KUTUMIA UMEME WA GRIDI BADALA YA MAFUTA πŸ“Œ Dkt.Biteko azindua kituo cha kupoza umeme cha GGM (MW 34) πŸ“Œ Asema kitaongeza mapato ya mgodi kwa Serikali πŸ“Œ Aipongeza GGM kuzipa kipaumbele kampuni za kizawa πŸ“Œ TANESCO kuingiza mapato ya sh.Bilioni 2 hadi 3 kwa mwezi Naibu Waziri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…