kuwait

  1. Tuendelee kuwaenzi wafadhili toka Saudia, Kuwait & Iran

    Wafadhili hawa wamefanya mkubwa nchini, 1. Visima vya maji, 2. Ufadhili wa masomo (ngazi ya uzamili na uzamivu-Master na PhD), 3. Nyumba za Ibada na Ujenzi wa barabara ya Dar-Rufiji-Lindi-Mtwara. 4. Tende.
  2. Bila tawala za sasa za Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait kuondolewa madarakani, Israel itaendelea kushikilia ardhi ya Palestina kwa muda mrefu

    Wanaoifanya israel iendelee kuwepo kwenye ardhi ya palestina ni tawala za siri za kizayuni zinazoshikilia madaraka Saudi Arabia, Jordan, Egypt, UAE, Kuwait, Bahrain, Qatar na Oman. Bila ya tawala za nchi hizo kung'olewa madarakani ni kazi bure tu. Hizo ndiyo tawala zinazolipia gharama zote za...
  3. Mataifa ya waarabu yaanza kuagiza raia wake waondoke Lebanon, huku Israel ikianza maandalizi ya kuifanya Lebanon iwe kama Gaza

    Lebanon iliachia nchi yake itumike na magaidi wa kiislamu, sasa leo hii inapotaka kufanywa kama Gaza, waarabu wanaihama badala ya kubaki wapambane dhidi ya Israel. ================== The Kuwaiti Foreign Affairs Ministry has called on its citizens who are currently in Lebanon to leave the...
  4. Mbunge ataka wageni wa Kuwait, walipie ushuru wa hewa wanayopumua

    Hii ingesemwa uzunguni, mngesikia makelele hadi kuzimu...hawa waarabu ni makatili sana na mnavyopenda kuwaabudu huku mkivaa mikanzu na kuotesha mindevu mfanane nao... Kuwait MP calls for foreign workers to be charged “for the air they breathe” Safa Al-Hashem is among a group of MPs calling for...
  5. F

    Rais Samia umesikitika kifo cha Emir wa Kuwait, lakini umenyamaza kuhusu vifo vya Watanzania

    Nimesoma Daily News kuwa Rais Samia amesikitishwa na kifo cha Emir wa Kuwait ambaye amekufa akiwa na umri wa miaka 86 lakini hajasikitishwa na watoto wa kitanzania waliouawa na HAMAS huko Gaza na kwenye Kibbutz Orr huko Israel. Mheshimiwa sana Mama rais, sijakuelewa. Je, ni kwamba husikitishwi...
  6. NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  7. Hivi hapa bongo kuna benki ya Kuwait?

    Wakuu naomba kujuzwa kama hapa Bongo kuna benki ya Kuwait kama ilivyo benki ya India! Kama ipo, utaratibu wa kufungua akaunti upoje?
  8. M

    See the properties of the richest man in Kuwait who died a year ago

    Riches are sweet when a man is alive and enjoying all the riches but when breathe seize, all is gone and all you experience at that time is left for those you left behind to decide. Some take the pain of burying the dead man in good casket and even special burial ground just to give the last...
  9. Waarabu wa Kuwait wanaendeleza Utumwa

    Inasikitisha bado hawa watu wanauza binadamu wenzao. Guess what, wengi wanaouzwa ni Waafrika. Cheki link ya BBC. https://www.bbc.com/news/technology-50266663
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…