kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je! kati ya UTT Amis na CRDB, wapi kuna nafuu nikitaka kuwekeza?

    Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi: 1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
  2. R

    Ni wapi naweza kuhudhuria maonyesho ya projects za computers, apps, softwares, n.k. lengo ni kuwekeza, nipeni pia elimu na tahadhari kabla sijawekeza

    Najua kuna vijana wengi wana mawazo yao lakini changamoto huwa ni fedha. Ningependa kujua ni wapi naweza kupata fursa ya kuweza kuhudhuria maonyesho ya projects zinazodeal na mambo ya computers, simu, apps, n.k. Kwa sasa nipo Njombe, huku ni bila bila. sehemu ya karibu nayohisi kuna hayo mambo...
  3. Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

    Wakuu habari . Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo . Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo. Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi . Maana at the age...
  4. TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa wanayo dhamira ya kuimarisha nafasi ya TCB katika sekta ya kibenki nchini. Akizungumza kwa niaba ya...
  5. I

    Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  6. Kijana Mwenye kuhitaji kuwekeza kwenye soko la mbao, nguzo za umeme kwa mtaji wa milioni mbili tu nipo hapa nitamsaidia

    Vijana kama unatamani mafanikio na unamtaji mdogo na unatamani kuwa mfanya biashara mkubwa mimi kijana mwenzenu nipo hapa kukusaidia najua kuna wengine mna mitaji hamjui wapi muwekeze na mpate faida ya haraka Karibuni tuwekeze kwenye soko la miti ya mbao pamoja na nguzo za umeme Kwa mtaji...
  7. Wanaume wengi siku hizi wakiombwa msaada wa kipesa na wadada, wanahisi wanatapeliwa

    Hello wanajf Wanaume wengi siku hizi nimegundua tumekua wagumu wa kuweka effort kwenye mahusiano, hasa yakiwa mapya, namaanisha effort ya attention, pesa na juhudi, wanaume zamani tulikua tuko tayari kumsuburia mdada njiani masaa 3 huku tukiumwa na mbu na kumfukuzia miezi 8 hata miaka,, ili tu...
  8. Hatifungani ya Samia Kianzio Tsh 500000: Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu

    Wale Mliotaka Kuwekeza Kwenye Hati Fungani (Bond) Hii Hapa Samia Infrastructure Bond Kianzio Tsh 500,000 Tu Kwa kuanza, unaweza kuwekeza kuanzia TZS 500,000 kwenye Samia Infrastructure Bond kwa muda wa miaka 5. Hii ni fursa maalum ya kufadhili miradi ya ujenzi wa miundombinu nchini, hususan...
  9. kuwekeza nguvu nyingi kwa mwanamke ni wastage of time

    Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,, Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa. Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
  10. Kwa Wale Mnaotaka Kuwekeza Mwaka Huu Pitieni Hapa Hii Idea Inaweza Kuwafaa

    Kama unataka kuwekeza kwenye ufugaji samaki basi anza kufikiria kwenye uuzaji wa Vifaa vinavyotumika kwenye ufugaji samaki (fish farming facilities) au uzalishaji wa mbegu bora ya samaki (sato na kambale), huku ndipo kuna maslahi zaidi kuliko kufuga samaki na baadae kuuza samaki kama kitoweo...
  11. M

    Kafulila: Anayetaka kuwekeza TANESCO na aje,Tanzania inajengeka kwa Kasi mno mwaka 2050 tutahitaji zaidi ya Megawatt 60K wakati leo tuna Megawatt 4K

    == Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila akihojiwa katika Kipindi Cha One on One Cha Wasafi TV amesema haya, " Tanzania katika miaka 25 ijayo inatarajia kujenga Uchumi mkubwa karibu mara mbili ya Uchumi wote wa Africa ya Kusini ya leo...
  12. AzamTv kama wanaweza kuwekeza kwenye ligi ya kenya watakula bingo

    Wakenya hawana kitu cha kuwashughulisha sana,tabaka la chini la Kenya wanaipenda sana ligi yao ila hawana support. AzamTv wakiwekeza mpunga kwenye ligi ya kenya hasa wakiweza kuproduce live,pia wastream kwenye app yao kwa kushirikiana na media za kenya atapata pesa bila ya kua na king’amuzi...
  13. Mwenye Mgahawa huu angekuja kuwekeza hapa Tanzania

    Huu mgahawa upo japani ni special kwa wavivu tu
  14. J

    Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  15. ME NI TRAINER NAITAJ MTU MTU WA KUWEKEZA KATKA GYM ME NIWE TREINER WAKE

    NAITWA GERALD NAPATKANA TABATA, NA NI TRAINER WA AEROBICS , YOGA NA WORKOUT KIUJUMLA NAJAMA UKIWA UNAITAJ ANZA IYO BIASHARA NA HUJUI PAKUANZIA ME NIPO TUTAFANYA BEGA KWA BEGA MBAKA ITAPOFANIKIWA NITAANZA KUTRAINER.+255788317776
  16. Mwaka 2024 umeisha, mwaka 2025 wanaume tuache kuwekeza sana kwa wanawake wasio na mpango na sisi

    Habarini, Mainstream dating advice from media, na kutoka kwa baadhi ya wanawake na wanaume wanaotuzunguka inatuambia wanaume kuwa ukitaka upate mwanamke wa ndoto zako inatakiwa ufanye moja ya hivi vitu: MYTH NO: 1 1) Utafte hela na umhonge mdada pesa, na uwe na personality nzuri: UKWELI Pesa...
  17. Leverage: Namna biashara imara inavyoweza kunufaika kwa kuwekeza pesa ya ziada kwenye mali za muda mrefu

    Kwenye masuala yanayohusu mikopo, Leverage ni neno linalomaanisha ‘getting more from less’, maana yake unaweza ukawa na shilingi elfu kumi mfukoni mwako halafu ukaitumia hiyo elfu kumi yako kupata elfu kumi na mbili kutoka kwenye taasisi ya fedha kwa njia ya mkopo. Kunufaika na ‘Leverage’...
  18. G

    Nina milioni 2 ningependa kuwekeza biashara za online naomba mawazo nijaribu kitu gani?

    nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube adsense, nina rafiki yangu yupo states aliwahi kunipa wazo hilo kibongo bongo views buku kwa wastani ni...
  19. Pelekeni SGR as a seperate company DSE kabla haijaanza kuleta hasara , tupo tayari kuwekeza.

    Serikali imetangaza SGR imekusanya bil 15 kwa miezi hii michache japo haijasema matumizi ni kiasi gani bado kuna dalili njema kwamba mambo ni mazuri. Serikali iuze share kwa watanzania , ili kukuza mtaji na kuboresha utendaji. Serikali ibakie na 49 % na itakua na uhakika wa kupata gawio kubwa...
  20. Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza

    Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza. Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake. Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…