kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jerlamarel

    Hamisa Mobetto kwenye penzi zito na Rick Ross, wapo Dubai wakila bata

    Mrembo na mwanamitindo Hamisa Mobetto na staa wa hip hop kutokea Marekani, Rick Ross wakijiachia Dubai kwa mara ya kwanza na kuweka wazi mahusiano yao. Kupitia Snapchat Hamisa ame-share picha akiwa amevaa t-shirt ya Rick Ross aliyokuwa amevaa wakiwa club.
  2. Camilo Cienfuegos

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Wawekezaji njooni tuna umeme wa kutosha

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha. Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
  3. Red Giant

    Serikali ingeruhusu/Ingerahisisha sekta binafsi kuwekeza kwenye microhydropower dams na kuuza umeme locally

    Tanzania ina potential kubwa sana ya uzalishaji mdogo wa umeme wa maji. Hizi ni zile zinazoweza zalisha 5KW hadi 10MW. Utafiti uliofanyika unaonyesha mikoa kama Ruvuma, Rukwa, Njombe, Mbeya, Songwe, Kagera na zingine kwa kiasi zina potential kubwa sana za micro hydro dam, ni kama inafika 500MW...
  4. Kididimo

    Kila viongozi wetu wawapo nje, wanaomba wageni waje kuwekeza na siyo kutuombea tukawekeze. Hii ni hatari kwa vizazi vikavyo

    Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha. Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu? Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa nje, nimemsikia Waziri Mkuu akimkaribisha na kumweleza mcheza filamu maarufu wa India aje kuwekeza...
  5. J

    DC Muro: Wadau kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti Ikungi

    WADAU KUWEKEZA KWENYE KILIMO CHA ALIZETI IKUNGI Serikali ya wilaya ya Ikungi imefanikiwa kuwaunganisha wadau wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha alizeti na taasisi za kifedha ikiwemo benki ya Maendeleo ya kilimo Hatua hiyo imekuja baada ya kumalizika kwa kikao maalum cha majadiliano ya...
  6. Ramon Abbas

    Inawezekana kuwekeza kisasa kwenye upikaji wa Gongo?

    Naona ndugu zetu wanahangaika sana kutumia kuni, Je tutumie mbinu gani kupika Gongo tupunguze matumizi ya kuni?
  7. TODAYS

    Kampuni ya Uswidi inaleta Mapinduzi Katika Usafiri wa Umma Nchini

    Wakati juhudi za kurahisisha huduma za uchukuzi wa umma wa kidijitali ukiongezeka kwa kasi duniani, kampuni ya Uswidi imeingia kwenye soko la Tanzania kuwezesha usafiri wa umma wa kisasa. Kampuni iitwayo EnrouteQ imeanzisha jukwaa la usafirishaji linaloruhusu muundo wa njia, shughuli za gari za...
  8. CM 1774858

    Royal Tour ya Rais Samia yaanza kujibu | Rapper Rick Ross kuwekeza karibu Tshs 8.1bl Tanzania

    Nawasalimu kwa jina la JMT, |Rapper maarufu duniani raia wa Marekani Mr William Leonard Roberts II a.k.a Rick Ross aonesha nia ya kuwekeza Tanzania kiasi cha $3.5M karibu Tshs 8.1BL katika sekta ya Ujenzi|mali zisizohamishika| |Rick Ross kufika tu Tanzania tayari tutavuna waatali wengine...
  9. E

    Tunahitaji kuwekeza kwenye engineering knowledge ili tupige hatua zaidi

    Ukikaa na kijana wa kiyahudi (Israeli) anachowaza ni kuvumbua, mtoto analelewa tangu mtoto kuwa yeye anaakili sana na anapaswa kuzitumia kuvumbua. Tuje kwetu kijana anahitimu degree hajaenda field na hajui atafanya kazi gani baada ya kuhitimu na hata ukimwajiri tofauti yake na form four ni...
  10. TheDreamer Thebeliever

    Nataka kwenda kuwekeza kampuni ya ujenzi nje ya Tanzania ni nchi gani nzuri na taratibu zake zipoje kwa muwekezaji mgeni?

    Habari wadau..! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nipeni mawazo nikawekeze nchi gani,wajuzi mtupe taratibu za uwekezaji wa kamapuni ya Building and Civil katika nchi husika.
  11. LellozWho

    Nafikiria kuwekeza Zanzibar

    Habari mdau! Nina Tamani sana kuwekeza Zanzibar. Nahitaji mawazo na ushauri kwa waoifaham vizuri. Pros and Cons Upatikanaji ardhi(beach Au inland) Service Demands Challenges. Nitashukuru sana.
  12. M

    Tuipongeze CCM kuwaleta Elsewedy Electric Ltd kuwekeza nchini. Watajenga Industrial park ya Sq M milion mbili

    Hapa tunasema kuwa mama anaupiga mwingi. Kwa kimombo ni diagonal balls. Sasa kampuni ya Elsewedy Electrical itakuja kuwekeza nchini na kujenga Industrial park kubwa yenye ukubwa wa Sq metre milioni mbili. Kwa uwekezaji huu ajira na ujuzi utalifaidisha taifa letu. Ama kwa hakika, mama anaupiga...
  13. Thailand

    SoC01 Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

    Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani

    Kama kichwa cha bandiko hili kinavyojieleza kwamba. "Ningeweza kupandisha uchumi wa Tanzania kwa kuwekeza katika bidhaa mpya zenye thamani kwa sasa duniani". Ndugu zangu, Naomba nianze kwa kueleza sababu moja inayofanya Gross Domestic Product per capital yetu kuwa ndogo. Gross Domestic...
  15. N

    SoC01 Mapambano dhidi ya COVID-19: Tuwekeze zaidi katika Elimu ya kuzuia Maambukizi

    Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention) Afya ya msingi inayoanzia katika jamii ni muhimu sana na hasa ndio msingi ambao unawagusa wananchi moja kwa moja hususa ni walioko maeneo ya vijijini na...
  16. I

    Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
  17. Balqior

    Mwanamke anayesumbua kukukubali, huyo siyo mwanake wa kuoa

    Kwa uzoefu wangu mdada akikuzungusha wakati wa ww kumtongoza bhas huyo Mdada hana hisia za kimapenzi na wewe na kakuona wewe ni option yake ya 867 kama uhusiano alionao ukibuma, akikuzungusha mda mrefu hata akija kukubali baadae, atakukubali kwasababu ya pesa zako akuchune hela yako wee, au...
  18. Roving Journalist

    Geita yakubali kuundwa Mkoa wa Chato; Kakonko, Biharamulo na Ngara kumegwa. Sengerema kwenda Geita..

    Geita yaridhia kuanzishwa Mkoa wa Chato. RCC yatoa mapendekezo. Baadhi ya maeneo kutoka mikoa jirani. RC Geita Mhe Rosemary Sitaki awashukuru Wananchi kukubaliana kwa hekima bila ushabiki. Kikao cha Kamati ya Ushauri ya mkoa - REGIONAL CONSULTATIVE COMMITTEE (RCC), Kilichokaa kama kikao Maalum...
  19. William Mshumbusi

    JK alimleta Dangote, Rais Samia mlete Elon Musk, bilionea namba moja duniani ambaye mabilioni yanamchanganya na anayewaza kuwekeza Mars

    Utajili wa Dangote ni mkubwa Sana kwa Afrika. Kwa uwekezaji wake wa kiwanda kimoja tu Cha cement alifanikiwa Sana kuukuza uchumi na kupúnguza Bei ya cement na kuikuza sekta ya ujenzi Tanzania. Ila Kuna ili jini la sasaivi tajili lisiloshikika duniani Mtengenezaji wa gari la umeme Tesla na...
  20. Mwanza kwetu pia

    Natafuta mtu anayeweza kuwekeza kwa mtaji wa milioni 50 na kupata faida ya hadi milioni 70

    Ndugu wadau habari zenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, Mimi nipo Geita najishughulisha na biashara ya madini ya dhahabu offisi ni ya watu so Mimi ni msimamizi na wakati mwingine natoa ushauri pale inapobidi, ili kazi iwe yenye tija zaidi. Kwa upande wangu huwa tu nalipwa...
Back
Top Bottom