kuwekeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kibenje KK

    Uwekezaji ambao hautakuangusha ni kuwekeza kwenye Ardhi, haiozi na inapanda thamani kila siku. Kwa sasa mkoa wa Pwani ni deal hasa Morogoro road.

    Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu kutoka barabara ya zege miter 400 tu maji umeme vipo hapo Eneo lingine lipo mkoa wa pwani pia...
  2. nyamchele

    Mbia wa kuwekeza kwenye kituo cha Afya

    Habarini, Nina maabara ya Afya na nimekuwa kwenye harakati za kuongeza huduma na kuwa Zahanati/Kituo cha Afya. Ni DSM. Karibuni
  3. S

    Bila Katiba Mpya hakuna mwekezaji atakuja kuwekeza Tanzania, Kenya waula

    Rais mpya wa Kenya amesema nchi yake inakimbiliwa na wawekezji kwasababu kuna demokrasia na hivyo mustakabali wake unatabirika. Uchaguzi uliyopita umeithubitishia dunia kwamba Kenya Ina misingi imara ya kidemokrasia na hivyo haitayumbishwa na yeyote. Hapa Tanzania kwa katiba ya sasa ambayo...
  4. V

    SoC02 Mambo ya kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa

    Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
  5. M

    Coco Beach kuwa eneo la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira

    #HABARI MANISPAA ya Kinondoni imesema imejipanga kuhakikisha eneo la ‘Coco Beach’ linakuwa la uwekezaji, kivutio na utunzaji wa mazingira. ======= Ofisa Elimu Manispaa hiyo, Theresia Kyara, alieleza mikakati hiyo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa upandaji wa miti uliofanywa na kampuni...
  6. Aliko Musa

    SEMINA; Mbinu 7 Za Kuwekeza Kwenye Ardhi Na Majengo Katika Mazingira Yako

  7. Poker

    Irene Uwoya kuwekeza kwenye mall

    Celebrity wa kike tajiri Tanzania bara na visiwa vyake Irene uwoya rasmi sasa anajikita katika uwekezaji wa biashara ya mall nchini Tanzania. Katika maeneo ambayo ameona patafaa ni kigamboni au mbezi beach. Pia tajiri huyo wakike ameunda timu ya watu 10 wakiwemo wachumi na wanasiasa kwaajili ya...
  8. simplemind

    Ufaransa kuwekeza dola bilioni 4.2 Tanzania

    Haijawahi kutokea- Ufaransa mbioni kuwa muwekezaji nambari wani Tanzania. Ufaransa itawekeza zaidi ya dola bilioni 4.2 katika kipindi cha miaka mitano. Asiyemuelewa mama kindly spare us the noise. === Dar es Salaam. The French public and private commitment for Tanzania over the next five years...
  9. MK254

    Msanii Rihanna kuwekeza Kenya

    Tunaendelea vizuri, wanakuja wote. ======= Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna. PHOTO | COURTESY Global pop star turned billionaire businesswoman Rihanna has announced plans to open her new skincare and beauty products line in Kenya. The Kenya launch of the Fenty Beauty...
  10. Kibosho1

    Endelea kuwatafuta mama lakini!!! Ni mwekezaji gani atakuja kuwekeza kwenye nchi iliyojaa uhalifu kila kukicha na umeme usio na uhakika?

    Nimeshuhudia matukio ma4 ya uhalifu ndani ya wiki moja. 1. Ndugu yangu kabisa kavunjiwa duka wezi wamekuja na gari wamezoa kila kitu (Tahadhari: kama una biashara ya vinywaji usilaze friji nje usiku likifanya kazi, wahalifu wanatumia umeme huo kukata milango na kofuli) 2. Ndugu ya jirani yangu...
  11. OLS

    Uhaba wa magari kwa magereza nchini inaleta ulazima wa kuwekeza kwenye teknolojia

    Nimesoma ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali kuhusu magereza yetu nchini ambayo mbali na kuwepo na matatizo mengi. Ametaja shida ya kutokuwepo kwa magari kwa ajili ya kuwasafirisha wafungwa na mahabusu kutoka magereza hadi mahakamani. Ripoti imeonesha magaereza zina uhaba wa magari kwa...
  12. UPIMAJI NA RAMANI

    Kwanini kuwekeza kwenye Ardhi usiyo ijua?

    Kwako Mwananchi, Nchini kwetu kumekua na migogoro mingi au usumbufu mwingi wa masuala ya ARDHI, Moja ya sababu inayochangia migogoro mingi ya ardhi Nchini ni kununua eneo la Ardhi kimazoea au kiholela. Mfano ( A) Imezoelekea kununua eneo la Ardhi kwa kushirikisha Serikali ya mtaa...
  13. BLUE BALAA

    Natafuta mtu wa kuwekeza mtaji kwenye biashara ya utalii

    Mimi ni mfanya biashara wa mambo ya utalii katika malazi na ushauri wa biashara katika mambo yanayo husiana na uwekezaji katika biashara ya utalii. Nina uzoefu mkubwa katika biashara hii na ni msomi wa ngazi ya stashahada na shahada ya utalii na utawala wa biashara. Nimeyumba katika biashara...
  14. Kididimo

    Watanzania tujiulize: Ikiwa sisi ndiyo wenye mali, nini kinatukimbiza nje kutafuta wa kuja kuzila (eti kuwekeza)?

    Watanzania wenzangu, kuna kitu hakiko sawa! Tutachanganyiwa lugha zote kuwa tunafungua nchi kumbe kuna hila ndani yake. Sikubaliani kabisa viongozi kuzunguka dunia nzima kuomba pesa na uwekezaji. Tunajidhalilisha! Tuna bunge, Mawaziri, Wasomi, Wanasiasa, Wafanyabiashara maarufu nk...
  15. L

    Mfuko wa serikali wa kuwekeza

    SOVEREIGN WEALTH FUND Kwajina lengine huitwa social wealth fund. Huu ni mfuko wa serikali ambao husaidia kuepuka athari zinazo sababishwa na nchi kuwa na rasilimali kama mafuta, gas, madini nk Inshort, huu ni mfuko ambao husaidia kutunza pesa ambazo zinatokana na faida ya nchi kuwa na...
  16. Greatest Of All Time

    Mo Dewji: Kuwekeza Simba ni hasara, nimeshatoa Bilioni 45

    Ndugu mwanamichezo, una maoni gani kuhusu kauli ya Mo Dewji aliyoitoa leo alipotembelea kikosi cha Simba, Bunju Complex
  17. Aliko Musa

    Mambo Saba (7) Unayotakiwa Kufanya Ili Kuongeza Kipato Chako Mara Mbili Kwa Kuwekeza Kwenye Viwanja Na Nyumba

    Haiwezekani kila anayewekeza kwenye viwanja na nyumba apate mafanikio makubwa. Hii inasababishwa na sababu mbalimbali. Kwenye ukurasa huu nimekuandalia mambo saba ambayo yatakufanya kipato kiongezeke mara mbili kilivyo sasa. Mambo 7 Ya Kuzingatia Ili Uongeze Kipato Mara Mbili. MOJA. Mtazamo...
  18. Konseli Mkuu Andrew

    Mtoto wa Msukuma apata 'A' zote kwenye matokeo ya kidato cha pili

    Wakati mnapigania elimu bure, nyie mnajua jinsi ya kuwekeza kwenye elimu bora. Namba 5
  19. T

    Ningekuwa kiongozi mkubwa, leo hii serikali ya mkoa wa Kilimanjaro na baadhi ya idara wangepata misukosuko isiyosahaulika

    Niliumia sana nilipomsikia yule mkulima wa kiholanzi aliyewekeza mabilioni yake kwenye kilimo cha maua na kuajiri zaidi ya watanzania 1200. Wakati juzi hapa niliona gazetini kuwa serikali ilitangaza nafasi 350 za kazi lkin waliojitokeza kuomba kazi walikuwa 22000. Napata tabu sana kuelewa...
  20. aleesha

    Masharti ya kuwekeza Zanzibar kwa Mtanzania bara na mgeni

    "Mgeni sio kwamba ananunua ardhi, na sio kwamba anapewa umiliki wa 100% hapana anapewa kibali cha kuwekeza kwa miaka kadhaa. Kwa mtu anayetoka Tanzania Bara ambaye anataka kufanya Uwekezaji Zanzibar anatumia utaratibu huo huo" Rais wa Zanzibar, Dkt Hussein Ally Mwinyi. ==== Rais Mwinyi...
Back
Top Bottom