Wiki kadhaa niliposti uzi wa kulishauri jeshi (JWTZ) kuwekeza kwenye technolojia bahati nzuri kila mtu alitoa mawazo yake kuna walio kosoa kuna walio unga mkono nk nk!!
Lakini leo acha niongelee hili kidogo! na nitapenda kuongea na hawa wavaa miwani myeusi (TISS) maana naamini kwenye nchi...
Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu.
Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
Habari wakuu, Natumai kila mmoja wetu yuko vizuri na tunaendelea kupambana katika ulimwengu wa biashara na ujasiriamali. Mada ya Leo inahusu kitu ambacho kina mchango mkubwa sana katika kuikuza biashara yako mwaka huu 2021. Haijalishi wewe ni mfanyabiashara mdogo, unauzia Insta tu au ni...
Rais Samia: Zipo kampuni 30 za Tanzania ambazo zimewekeza mtaji ndani ya Kenya wenye thamani wa shilingi za Kenya, Bilioni 19 na kutoa ajira kwa watu 2,640 lakini nikaweka ahadi kwamba, Tanzania sasa tutakuja kwa nguvu yote kuwekeza Kenya ili kukuza ujazo wa biashara
Awali Rais Samia alisema...
Hiki ndicho kinacho litesa sana taifa kwa sasa na itachukua muda kidogo kwa taifa kuondokana na tatizo hili na kuzifuta element hizi.
Hii haikuwa legacy nzuri ambayo JPM ameliachia taifa na ndicho kinacho leta shida kwa sasa kwa wananchi hata sasa bungeni.
Kuna haja kama taifa kutengeza mfumo...
Nina milioni 25, naweza wekeza kwenye nini ili nipate pesa nzuri kwa muda mfupi?
Wadau mawazo yenu Tafadhali.
Mchango wa mdau
Pia soma: Biashara gani zinazoingiza mamilioni kwa muda mfupi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.