Utangulizi.
Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine huchukua miaka kumi (10). Ndiyo, hicho ni kipindi ambacho mtu hujiandaa kuanza umiliki wa ardhi au...
Na Mwl Udadis, Tarime
Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
Rais Samia Suluhu Hasan, kamwe hawezi kujilaumu kwa kutofanya jitihada, tokea mwanzo wa utawala wake kuona umuhimu wa kushawishi makundi mbalimbali katika jamii kuungana naye katika juhudi zake za kusaka ngwe yake mwenyewe ya utawala hapo ifikapo 2025.
Mwanzo kabisa, katika makundi aliyoyawekea...
Kumekuwa na malalamiko hata baada ya kufanyika marekebisho ya mikataba ya HGA na IGA .na wengine wakifikia Kuilaumu TEC kwa kutokuwa na msimamo.
Bila kujua kuwa TEC walisema kuwa kama mkataba utaendelea kuwa hivyo ni bora kufutwa na Serikali iwasikilize wananchi.
Wananchi walitaka maboresho ya...
Kuna haya mazao hapa
Almonds
Macadamia
Cashew nuts
Palm
Nimeyafanyia utafiti sana na nimeona yana potential kubwa ya kutengeneza pesa.
Embu naombeni mawazo wadau. Kuna amefanikiwa kulima hayo mavitu?
Nimetafiti kidogo ni mazao ambayo yanahitaji kuwa na subira mfano Almonds na Macadamia...
Mbunge wa Viti Maalum (Anayewakilisha Wafanyakazi Nchini) Anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate, leo tarehe 10 Oktoba, 2023 ameendeSemina ya Watendaji wa Kata na Maafisa Tarafa wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Semina hiyo iliyohudhuriwa pia na baadhi ya viongozi wa CCM Wilaya na...
Hakuna wakati muafaka Kama huu kwa chama Cha CHADEMA kwenda kuwekeza nguvu Zanzibar. Sababu zangu kwa ombi Hilo ni zifuatazo.
1. Kwanza, Kwa Sasa harakati za kisiasa Zanzibar zimepoa baada ya Maalim seif Kuondoka duniani. Hivyo kwa Sasa upinzani Zanzibar hauna political figure kama ilivyokuwa...
Tunapokuwa chini juhudi zetu huwa ni kusimama na tunaposimama juhudi zetu huwa ni kuhakikisha haturudi chini hivi vitu viwili vyote vinahitaji nguvu sawa.
Hivyo fahamu tu kuwa mapambano yetu huwa hayaishii Kupata kitu kipya ila hata kupambania ulichonacho kisipotee ni mapambano pia.
Endelea...
Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu, maana hawana uzoefu wowote wa biashara.
"The younger you start, the more successful you'll be".
Kujiajiri ni jambo linalofaa na kama unatengeneza brand nzuri na huduma na bidhaa zenye ubora, utafanikiwa sana miaka 5 tu mbele...
Ushauri umetolewa kwa Walimu nchini kuondokana na mikopo ya kausha damu na badala yake waitumie Benki ya Biashara ya Mwalimu (MCB) kwa ajili ya kuikuza na kujinufaisha wao wenyewe.
Wito huo umetolewa na Wanahisa wa MCB wakati wa mkutano wa saba wa wanahisa mwaka 2023 uliofanyika Jijini Dodoma...
Leo naandika kwa masikitiko makubwa kuhusu hali ya watanzania wengi kutokuwa waaminifu kwenye mambo ya msingi hasa yanayohusu pesa, kuna taarifa nimezipokea kutoka kwa rafiki wa rafiki yangu kwamba kuna rafikiye alipata connection ya kuingia partnership ya kibiashara na mtanzania mmoja aishie...
NCHI za Afrika zimeshauriwa kuwekeza katika utafiti wa mbegu asili kwa kuwa zina lishe bora, uhakika wa chakula na salama kwa afya ya mtumiaji.
Ushauri huo umetolewa na wadau mbegu asili kutoka nchi 25 za Bara la Afrika, Marekani na Ulaya ambao wanakutana jijini Dar es Salaam kwa siku tatu...
Nadhani wote ni mashahidi kupitia SMO kule Ukraine wa kitu gani haya madude yanaweza kufanya kwenye uwanja wa vita.
Napendekeza jeshi letu liwekeze kwenye teknolojia hii ili kujiweka tayari,napendekeza kwa kuanzia kiwanda cha drone kijengwe Zanzibar.
Au MK254 unasemaje
Waziri Mbarawa akiongea na waandishi wa habari leo Julai 14, 2023 Dar ikiwa ni zoezi la kutoa elimu kuhusu uwekezaji kwenye bandari, amesema kama Taifa litapata muwekezaji mzuri kwenye bandari, asilimia 67 ya bajeti ya Tanzania itatoka bandari ya Dar.
Mbarawa anasema Serikali inajenga miradi...
Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imekubali ombi la Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH-Upanga & Mloganzila) la kutoa elimu kwa wafanyakazi wake 3,600 juu ya masuala ya kifedha, fursa mbalimbali zilizopo na vihatarishi vyake ili waweze kuchukua hatua stahiki kabla ya kukopa au kuwekeza.
Ahadi hiyo...
Baada ya kuona watanzania wamekataa mkataba wao uliohusu umiliki na uendeshaji bandari zote nchini Tanzania,
DP World wameamua kufichua ukweli kwamba walilazimishwa kuwekeza Tanzania kutoka kwa Rais Samia, hivyo wamesema iliwabidi kuweka mkataba wa hovyo na usiokubalika ili kukataa uwekezaji...
Za jioni wadau,
Naomba mchango wa mawazo yenu, nikiwa na milioni 170 za kitanzania naweza wekeza wapi pesa hii nikapata rejesho lenye tija?
Kwangu mimi rejesho lenye tija ni angalau milioni 2 kwa mwezi.
Natanguliza shukrani.
Habari za Kazi Wana JF, niende Moja Kwa Moja kwenye mada.
Vijana wengi hatufahamu kabisa umuhimu WA kuinvest katika umri mdogo, miaka 20+/- ndio wakati sahihi wa Kuanza kufanya uwekezaji.
Hii ni Kwa kwa sababu zifuatazo;
1. Ni vizuri kupata uzoefu WA kutosha katika uwekezaji, hivyo ni vyema...
Kinadharia, rasilimali za Tanzania, ikiwemo bandari, ni mali ya wananchi (umma) wa Tanzania. Kiuhalisia, mwenye maamuzi ya kuhusu lolote linaloweza kufanyika kwenye bandari ni Rais wa JMT. Kutokana na huu mjadala unaoendelea sasa, pengine ni wakati muafaka Watanzania wakaanza kuwekeza kidogo...
Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World?
Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi?
Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.