Habari wanajukwaa!
Ningependa kujua kwa nini baadhi ya wanyama, hasa mamalia na wengine, hula watoto wao dhaifu au waliokufa mara tu baada ya kuzaliwa. Mara nyingi huwa ni tabia ambayo ipo kwa paka, mbwa, fisi pamoja na wanyama wengine, kwani ni vigumu sana kuona amezaa na kukuta vitoto vyake...
Ndoa ziheshimiwe na ndio maana halisi ya ndoa.
Viungo viwili vya uzazi vinapokutana kitendo ni kimoja ila majina ya kile kitendo yanatofautiana kutokana na mukhtadha!
Ukiwa umeoana , mume na mke basi "wanafanya tendo la ndoa'.
Ukiwa una mke na mwezio ana mume ila mkakutanisha vioungo vyenu basi...
Richa ya kua kuna huduma za PMTCT lakini kuna watoto wengine huwa wanapata maambukizi licha ya kua wamezaliwa kituoni.
Hai galantii kwamba kwasababu wazazi wako positive na wanatumia ndio watazaa mtoto asiye na maambukizi?!!
Nataka njia au evidence based stories za hawa watu
Aisee mara utasikia kosea nini sijui ila usikosee kuoa.
Wakuu, mimi nasema kosea yote lakini usikosee ukazaa na mwanamke kichaa au wa uswahilini.
Kuna rafiki yangu ana kila kitu ila alifanya kosa na kuzaa na nusu chizi, nusu taahira. Kila akinisimulia anayopitia namuonea sana huruma, hana...
UKIOA MALAYA/MDANGAJI KUZAA MABINTI MALAYA HAKUEPUKIKI NI UHAKIKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hakuna sababu hata Moja ya maana ya mwanamke kuwa Kahaba. Kuwa Kahaba ni uchaguzi wa Mtu na hakutokani na hali ngumu ya Maisha.
Uchaguzi wa Mtu hutokea ndani Kabisa ya nafsi ya Mtu na Wala sio...
Kuna kamsemo huwa kanasikika sana mitaani hasa pale katika uchaguzi mkuu ambapo unakuta Mgombea mwanamke anapata kura asilimia 0.2 ilihali wapiga kura zaidi ya 50% ni wanawake..
“Wanawake hawapendani….”
Je, kauli hii inaweza kuzaa matunda Oktoba?
Ni utamaduni wa waafrika wengi kuwa strict sana kwenye kulea damu zao ndio maana huwa wanaumia sana wakigundua watoto ni wa nje.
Mfano kwenye kabila letu (nisingependa kulitaja), naambiwa hapo zamani ilikuwa kaka akitembea na mke wa ndugu yake, haikuleta shida, cha muhimu kilikuwa damu iwe...
Nina 25 years, nimeajiriwa ni mrefu, mweupe kiasi nahitaji mwenyewe sifa zifuatazo:
19 to 32 years
Mweupe na beautiful
Mrefu kiasi
Sio mnene wala mwembamba sana
Mwenye dimpoz
Awe tayari kushiriki tendo
Mwenye kujua kulea mtoto
Nitamtunza kila kitu kuanzia ujauzito mpaka mtoto akifikisha 3...
Unakuta kijana amezaa akiwa na umri mdogo, na kuanza kubeba majukumu mazito ndani ya umri mdogo, ata maisha anakuwa hajayafurahia.
Mbaya zaidi anazaa watoto wengi, inayopelekea katika maisha yake yote ya ujanani mpaka uzeeni anaishi kwa kuteseka, kwa kugharamia familia kwenye mahitaji na elimu...
Mwezi uliopita niliwasema Vijana wa kiume wa Jiji la Arusha kwa lengo la kuisaidia jamii hii ijirekebisha na kutunza Tunu ya Vijana mbayo ni nguvu kazi ya Taifa.
Hata hivyo baada ya muda mchache nilifika Mkoa wa Lindi Wilaya ya Ruangwa kwa PM.
Wajameni tunahitaji intervention, hali inatisha...
Nianze kwa kusema Watoto si Baraka, Watoto ni Gharama.
Kabla hujafikiria kuleta kiumbe kwenye hii dunia tambua hili mapema.
Kabla ya kufikiria kuzaa watoto hapa duniani, Kaa chini wewe na mwenza wako mpange kabisa namna mtakavyo lea na kuhudumia watoto wenu hadi watakapo fika umri wa...
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji
Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's
👉Aslimia kubwa ya wengi wanaomiliki mali wanaishia kuzaa watoto maximum watatu ni
u-busy?, uoga wa kuwagombanisha watoto...
Salaam wana Jambi,kama kawaida wakati umewadia wa kuingia mashamban.
Naomba kuuliza ni mbolea gani inafaa kuweka kwenye shamba la kahawa inayoanza kuzaa matunda? Maana ningekua nikiekezwa umuhimu wa kujua mbolea sahihi.
Wakuu
Ndugu yangu limemkuta (chovyachovya imemponza)
Walifanya siri ila leo dogo amezaliwa na wazazi hawajui( mama na mjomba)
Sasa nimeombwa ushauri, ila nmemwambia anipe mda maana maza namjua vzuri( hachekeshi)
Ushauri gani umfae kwa sasa?
Habari!
Leo mchana nikiwa ofisini kwangu somewhere in Dar amefika dada Mwenye umri wa miaka 24
Amekuja kwangu kimakosa alielekezwa aende kwa Afisa ustawi wa jamii wa kata yake kwani ana changamoto za kimahusiano na mwenza wake
Kiukweli shauku ikanijia nikamuuliza kwanni unataka kwenda ofisin...
Kwa maisha ya dunia ya sasa ukizaa watoto watano au sita kuna ubaya gani??
Sasa kuna jamii bado zinazaa watoto 12 kama wana wa Israel.
Tuambiane ukweli,ardhi zimeshachoka na uwezo wa kukea hao watoto ni changanoto,hii inapelejea uharibifu wa nazingira na jukosekana wataalan wa afya,walimu wa...
Ameshauri wawe wajanja kuzaa kuijaza dunia Mungu hakumaanisha Kuwa na watoto wengi Bali kufanya vitu vingi..pia amedai alikataa Dola za kimarekani elfu 20 kutoka Kwa kigogo alietaka kulala nae..hivi ndo anatangaza dau lake kijanja au anajisafisha mbele ya jamii Ione Kuwa Huwa hadangi
Habari wadau.
Kwa wapenzi wa wedding industry jina la MC Katokisha sio geni. ni Mc mmojawapo wa class ya juu anaechaji hela nyingi kwenye soko la harusi. Pia MC Katokisha ni msomi mwenye CPA, na degree za kutosha za chuo kikuu cha Dar es salaam na experience ya kutosha ya big four firm, Ernst...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.