Habari Wakuu,
Ninaomba kufahamishwa sheria ya ndoa Tanzania inasemaje ikiwa umezaa na mke wa mtu? nataka kujua kama unaweza endelea kutoa matunzo ya mtoto akiwa kwenye familia nyingine. Na unatakiwa kufata utaratibu gani kumchukua mtoto anapo fikisha umri wa kulelewa na baba.
Hii imenitokea...
Kama wewe ni mwanamke na hutaki kuzaa basi njoo tuzungumze, yawezekana tukaishia kufunga ndoa mi nawe.
Mimi sihitaji mtoto kabisa.
Mimi naishi Dar es salaam.
Dini yangu ni mkristo.
Kwa upande wa mwanamke sina vigezo vingi kwasababu kigezo kikibwa tayari kipo kwamba huitaji kuzaa/huna mpango...
FIRST ELEVEN YA USHINDI TUPU
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein Zimbwe
4. Kennedy Wilson
5. Joash Onyango
6. Jonas Mkude Deco de Souza
7. Duncan Nyoni
8. Rally Bwalya
9. Meddie Kagere Mkombozi
10. Ibrahim Ajib Fundi wa Mpira
11. Kibu Denis Mpambanaji
SUBSTITUTES WA USHINDI...
Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu.
Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!?
Yaani hii ni kinyume kabisa na mila na desturi zetu. Mgonjwa kiasi hiki kutelekezwa na watoto wake wa kuzaa! Inaumaaaa...
Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia?
Tuachane na kifo, ujiulize nazaa na huyu mwanamke ama namuoa, je hali yangu ya kiuchumi ikibadilika...
Amani na iwe nanyi!
Nahitaji mwanamke wa kuzaa nae
Wasifu wangu
1. Umri : Mtu mzima (Matured)40+ Years
2. Urefu: 5.6 Futi
3. Uzito: 80 Kg.
4. Rangi: Maji ya kunde
5. Kazi: Mjasiriamali
6. Elimu Degreee
7. Polite in nature
8. Hobbies Napendelea Kusoma vitabu (Addicted to reading books)
9. I am...
Mwanamke wa Afrika Kusini , Gosiame Thamara Sithole amejifungua watoto 10 na kuvunja rekodi ya kuzaa watoto wengi.
Mara nyingi huwa ni matokeo ya kufanya tiba ya uzazi - lakini wapenzi hawa wanasema wao walitumia njia ya asili kupata mimba.
Teboho Tsotetsi, mume wa mwanamke huyo mwenye miaka 37...
Nina mchumba wangu huyo amekuwa akinishawishi tuzae mtoto upande wangu kiukweli kimaisha bado sijasimama hapa nilipo ninawaza hiyo mimba nitaileaje mtoto nitamleaje wakati kipato changu chenyewe hakieleweki lakini pia kwao sijulikani na yeye kwetu hatambuliki.
Lakini binti amekomaa tuzae mtoto...
Case study iwe ya Majani, P funk na mwanae Paula aliyezaa na Kajala.
1. Usizae na mwanamke mwanaharakati maarufu kama Feminist, yeye hajua kushindwa wala kukosa, kichwani mwao hawa wanawake kumejaa fikra za kuonewa na kukandamizwa na kufight kutoka kweny hali hiyo.
2. Usizae na mwanamke msomi...
Ushauri wenu ni muhimu sana.
Umri wangu ni miaka 50, nimeoa mke kanisani huu ni mwaka wa 25 naishi naye na tumejaliwa watoto wanne, wa kwanza na wapili wamemaliza tayari chuo kikuu na wa tatu yupo chuo kikuu mwaka wa pili. Wa nne kamaliza kidato cha 4 mwaka jana, katikati hapo miaka 18...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.